Mtangazaji 'Diva The Bawse' aaga rasmi Wasafi Media

Media Houses are a dying breed (evolving) it's time for podcast.., kwahio kama una following na content anzisha podcast yako ila usiache kwenye media houses huko unakuwa unakwenda part time hata usipolipwa inakuwa ni kama promo tu... na kuongeza connection...
 
At her age 37 yrs hana Nyumba ,hana ndoa hana mtoto anabidi kujitafakari Sana akumbuke Malinzi sio Baba yake hivyo anaweza asimpe urithi.
Hivyo ni vigezo vyako vya maisha yeye huenda ana vigezo vingine na kama dream yake ilikuwa ni kuwa a famous news personality tunaweza kusema ame achieve that to some extent (that is why hata wewe unamjua kwa undani wake)

To each their Own....

Mamlaka zilitoa maelekezo kuwa mwandishi wa habari anatakiwa ajisajili na awe na elimu kwanzia ngazi ya Stashahada, sasa deadline tayari , Maulid kitenge hasikiki, Zembwela kimya, Masoud kipanya kimya na huyo nae ameaga labda kakosa vigezo anaenda kujiendeleza kielimu
Huu ni upuuzi wa hali ya juu na wala hautawasumbua hawa celebrities (wenye kipaji cha kubwabwaja) bali media zenyewe kwa kukosa nguvu kazi ambazo nyingi zilikuwa cheap...

Hawa waende tu kufungua podcast zao tupo kwenye karne ya podcast, news on demand na citizen journalists....
 
Mtangazaji maarufu na kipenzi cha mashabiki, Diva Gissele Malinzi almaarufu Diva The Bawse, ametangaza rasmi kuachana na kituo cha Wasafi Media, akieleza kuwa amefikia hatua ya kuanza ukurasa mpya katika maisha yake ya kazi.

Kupitia ujumbe uliojaa hisia, shukrani na upendo mkubwa kwa familia ya Lavidavi na timu nzima ya Wasafi, Diva amesema amewasilisha barua yake ya kuondoka mapema leo asubuhi, ameeleza kuwa kipindi cha Lavidavi kilikuwa moja ya sura nzuri zaidi katika taaluma yake, na kwamba kila usiku, kila sauti ya msikilizaji na kila ujumbe vilikuwa sehemu ya moyo wake.

"Tumejenga nyumba ya hadithi halisi za mapenzi, uponyaji, vicheko, ujasiri na mazungumzo ya kweli. Mmenilea, mmenisukuma, na mmenifanya kuwa bora zaidi," ameandika Diva.

Akiwaaga kwa heshima timu nzima ya Wasafi, kuanzia kwa watayarishaji, timu ya kidijitali, wahandisi wa sauti hadi uongozi, Diva amesema anaanza msimu mpya wa maisha, lakini akasisitiza kuwa huu si mwisho wa safari, bali ni pumziko la heshima.

"Popote nitakapokwenda, roho ya Lavidavi itaendelea kuishi. Endeleeni kupenda, kupona, na kuamini katika mapenzi."

Kwa miaka kadhaa, Diva The Bawse amekuwa sauti ya kipekee usiku katika redio ya Wasafi, akitoa nafasi kwa simulizi za mapenzi, mafanikio na changamoto za maisha, huku akibaki kuwa miongoni mwa watangazaji wenye ushawishi mkubwa Tanzania.

Ndiyo hawa mara ya mwisho walionekana kwenye mkutano mkuu wa CCM Dodoma?
 
Media Houses are a dying breed (evolving) it's time for podcast.., kwahio kama una following na content anzisha podcast yako ila usiache kwenye media houses huko unakuwa unakwenda part time hata usipolipwa inakuwa ni kama promo tu... na kuongeza connection...
Millard Ayo pekee naona ndo aliushtukia mchezo mapema aliitumia clouds kujibrand vizuri sana na kazi ya uandishi imempa pesa nyingi sana leo hategemei ajira tena huko clouds Fm kabaki tu kama sehemu ya kuinufaisha radio na yeye kunufaika kwa kuendeleza brand yake.

Hawa wengine wamechelewa kuushtukia mchezo leo ndo wanaanza kufata nyayo za Millard akiwa amewaacha kwa gape la miaka 10
 
At her age 37 yrs hana Nyumba ,hana ndoa hana mtoto anabidi kujitafakari Sana akumbuke Malinzi sio Baba yake hivyo anaweza asimpe urithi.
Nyumba, ndoa au watoto ni vitu too personal na kila mtu ana priorities zake katika maisha. Hatujui yeye alilenga nini kama achievement kwenye maisha yake.
 
Millard Ayo pekee naona ndo aliushtukia mchezo mapema aliitumia clouds kujibrand vizuri sana na kazi ya uandishi imempa pesa nyingi sana leo hategemei ajira tena huko clouds Fm kabaki tu kama sehemu ya kuinufaisha radio na yeye kunufaika kwa kuendeleza brand yake.

Hawa wengine wamechelewa kuushtukia mchezo leo ndo wanaanza kufata nyayo za Millard akiwa amewaacha kwa gape la miaka 10
It's like a jungle in this habitat" sio wote wanaweza na shida ni kupata following...; ila kama huyu tayari ana wasikilizaji ni rahisi kuingia na kwenye podcast; yaani podcast kwa sasa ni muhimu sana na kitu cha lazima kwa mtoa habari yoyote (in short sio huku tu teknolojia imefanya industry zote kuwa ngumu, kuna a lot of competition) inabidi ku capitalize kwenye following yako
 
Mtangazaji maarufu na kipenzi cha mashabiki, Diva Gissele Malinzi almaarufu Diva The Bawse, ametangaza rasmi kuachana na kituo cha Wasafi Media, akieleza kuwa amefikia hatua ya kuanza ukurasa mpya katika maisha yake ya kazi.

Kupitia ujumbe uliojaa hisia, shukrani na upendo mkubwa kwa familia ya Lavidavi na timu nzima ya Wasafi, Diva amesema amewasilisha barua yake ya kuondoka mapema leo asubuhi, ameeleza kuwa kipindi cha Lavidavi kilikuwa moja ya sura nzuri zaidi katika taaluma yake, na kwamba kila usiku, kila sauti ya msikilizaji na kila ujumbe vilikuwa sehemu ya moyo wake.

"Tumejenga nyumba ya hadithi halisi za mapenzi, uponyaji, vicheko, ujasiri na mazungumzo ya kweli. Mmenilea, mmenisukuma, na mmenifanya kuwa bora zaidi," ameandika Diva.

Akiwaaga kwa heshima timu nzima ya Wasafi, kuanzia kwa watayarishaji, timu ya kidijitali, wahandisi wa sauti hadi uongozi, Diva amesema anaanza msimu mpya wa maisha, lakini akasisitiza kuwa huu si mwisho wa safari, bali ni pumziko la heshima.

"Popote nitakapokwenda, roho ya Lavidavi itaendelea kuishi. Endeleeni kupenda, kupona, na kuamini katika mapenzi."

Kwa miaka kadhaa, Diva The Bawse amekuwa sauti ya kipekee usiku katika redio ya Wasafi, akitoa nafasi kwa simulizi za mapenzi, mafanikio na changamoto za maisha, huku akibaki kuwa miongoni mwa watangazaji wenye ushawishi mkubwa Tanzania.

Hana cheti cha uandishi na utangazaji
 
Back
Top Bottom