Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,344
- 3,023
Mashoga wana nguvuMbona akina Juma lokole wantangaza bado je juma lokole Ana diploma?
Mashoga wana nguvuMbona akina Juma lokole wantangaza bado je juma lokole Ana diploma?
Jamaa ana chuki tu huyo.You're too personal why? Alikunyima Mbunye yake? Mchango wako umejaa Chuki kubwa Kwake ambayo nina uhakika hata Shetani nae anakushangaa huko aliko.
Yes nimemuona jana nadhani kashamalizana na WAZEE WA ITHIBATI.(JAB)Bongo ukilopokalopoka basi unaingizwa redioni
Hivi jamaa yangu kumwembe alipiga shule naona
Ova
Amshukuru sana salum mwalimu maana yeye ndy alimhingiza kwenye media kuonekana wkt huo s.mwalimu yuko dtvYes nimemuona jana nadhani kashamalizana na WAZEE WA ITHIBATI.(JAB)
Ataendelea kuuza papuchi kwa waganga wa kienyezi na wazee waliopokea nssf zaoDuh! Ataenda wapi sasa, au anaenda kufungua media yake
diva kasoma ana digirii ya uandishimkuu hao hawahitaji Diploma kufanya kazi, waki focus kwenye social media ataendelea na kazi, Bongo tuna sheria zilizoshapitwa na wakati. chakushangaza zaidi ndio kwanza zinatungwa.
Amesharudishwa naona walikuwa wanatafuta kikiAtaendelea kuuza papuchi kwa waganga wa kienyezi na wazee waliopokea nssf zao
ameridishwa,alikuwa kapata kazi crownMbona namwona bado yupo?
Aiseee... Ahsanteameridishwa,alikuwa kapata kazi crown