Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,152
- 11,209
Mwenyewe hajawahi kusema kama amefika 4th floor mkuu42 sio 37
Mwenyewe hajawahi kusema kama amefika 4th floor mkuu42 sio 37
Abdul huyu huyu wa mama sa100Loveness Gissele Malinzi,, a.k.a Former Mrs Abdul
Vip yamo au michosho tu? Bei elekezi ikoje? 😂Nilishapita hapo
Alimfanya nini Bushoke?Wakuu kweli BUSHOKE sio bwege kama vile alivyoimba. Nitakuwa wamwisho kuamini kuwa ule ujinga aliouonesha huyu mwanamama umepita bila madhara yoyote kwa wasafi na Diva.
Kibooo!! 😲Aseme ukweli hana vigezo vya kuwa mwandishi kwa mujibu wa wizara ya habari
Juzi kati hapa alimfukuza kwenye kipindi kisa hisia kutokana na majibu ya Bushoke japo hayakuwa na shida, madai yake eti Bushoke ana dharau. Upuuzi upuuzi tu. Itafute utaipata hiyo interview.Alimfanya nini Bushoke?
Abdul muuza zongo mkuuAbdul huyu huyu wa mama sa100
Non of your business....japokuwa sikuzote una roho mbaya na ya kishetani juu ya maisha ya wengine.At her age 37 yrs hana Nyumba ,hana ndoa hana mtoto anabidi kujitafakari Sana akumbuke Malinzi sio Baba yake hivyo anaweza asimpe urithi.
Hiyo ni filter mkuu. Hana sura ya kushtua kivileDiamond hajapina Naye kweli?kasura kanashawishishawishi kumudandia
Akili za kifukara hiziAt her age 37 yrs hana Nyumba ,hana ndoa hana mtoto anabidi kujitafakari Sana akumbuke Malinzi sio Baba yake hivyo anaweza asimpe urithi.
Aiseee🙄Juzi kati hapa alimfukuza kwenye kipindi kisa hisia kutokana na majibu ya Bushoke japo hayakuwa na shida, madai yake eti Bushoke ana dharau. Upuuzi upuuzi tu. Itafute utaipata hiyo interview.
Yupo hivyo sikuzote,na sidhani kama kichwani zimo huyu mtu,au huenda anauchawi wa kunyonya kwenye ziwa la grandmo wakeYou're too personal why? Alikuyinya Mbunye yake? Mchango wako umejaa Chuki kubwa Kwake ambayo nina uhakika hata Shetani nae anakushangaa huko aliko.
Umemjibu vyema huyu jamaa aliyekosa malezi mema na yenye upendo akiwa mtoto,basi moyo wake umekuwa mchafu sikuzoteNyumba, ndoa au watoto ni vitu too personal na kila mtu ana priorities zake katika maisha. Hatujui yeye alilenga nini kama achievement kwenye maisha yake.
Wanasemaga bas ,huyo ni bibi 0Mwenyewe hajawahi kusema kama amefika 4th floor mkuu
Akikujibu nitag please.Vip yamo au michosho tu? Bei elekezi ikoje? 😂
Hapana bruh Abdul flani hv mganga wa kienyeji 😂 saa hz jamaa namuonaga huko Juakali kwa LamataAbdul huyu huyu wa mama sa100
Ahsante mkuu, hawa madada wana stress gani sijui. Sasa mtu presenter halafu unakua na insecurities namna hiyo???Juzi kati hapa alimfukuza kwenye kipindi kisa hisia kutokana na majibu ya Bushoke japo hayakuwa na shida, madai yake eti Bushoke ana dharau. Upuuzi upuuzi tu. Itafute utaipata hiyo interview.
Noma sana, huwenda Diva haja move on bado kwa mwamba maana ni ex haoAhsante mkuu, hawa madada wana stress gani sijui. Sasa mtu presenter halafu unakua na insecurities namna hiyo???