Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,646
Sijui mimi nimenukuu tu ngoja wanaojua aliyesema watatuambiaHivi ni nan alisema wachina wana pesa
Sijui mimi nimenukuu tu ngoja wanaojua aliyesema watatuambiaHivi ni nan alisema wachina wana pesa
Wachina ni watu wenye dharau sana aisee
Kuna wengine mwaka jana kule Dodoma walikutwa wanamiliki kiwanda cha kienyeji cha kusindika nyama ya punda na kuisafirisha kwao.imagine,nyama ya punda!!!
Teh Teh.....mkuu yawezekana tushagumiana enzi hzo full magumashi life struggleHawa wadudu nikiamua kuongea kila kitu kuwahusu kitanuka mbaya...jamaa wa kona bar namfahamu vilivyo
Tatizo JF watu wengine ukisema kitu wanahitaji mpaka waone si kila kitu kitaonekana mpaka shuhuda yuko ktk nafasi gani.Unafikiri nimetunga hii habari?
Tungo tata japo nimekuelewaTena ufumuliwe kama mariinda
Si ni kule Ikungi njia ya kwenda Singida nyuma ya ma godown ya Bhanji? Nimekula ile nyama mara 3 kwa siku kwa siku 90 kuanzia supu ya asubuhi roast ya mchana mpaka mchemsho wa jioni...katika siku hizo 90 hakuna siku ambayo ilipita bila kula hiyo nyama ya pundaKuna wengine mwaka jana kule Dodoma walikutwa wanamiliki kiwanda cha kienyeji cha kusindika nyama ya punda na kuisafirisha kwao.imagine,nyama ya punda!!!
Kuna wengine mwaka jana kule Dodoma walikutwa wanamiliki kiwanda cha kienyeji cha kusindika nyama ya punda na kuisafirisha kwao.imagine,nyama ya punda!!!
Lkn hawa wachina anayewakaribisha na kuwapa work permit ni nani kama siyo sisi?Kuna vijana wetu pia wanateswa sana kwenye majumba ya wachina wengine mabinti wanaliwa mtungo huku wakirekodiwa
Duuuuuuuuhhhh....inasikitisha aiseeeeSERIKALI IWE MAKINI NA WACHINA WA FU JIAN
sio wachina wote ni wabaya kivile, lakini wachina wa FU JIAN ndio wenye matukio sana ndio maana baadhi ya mataifa wakiangalia mchina husika anatoka huko hawampi visa sisi huku hatujastuka...lakini ndio hawa wengi wanaofanya biashara za kamari hapa nchini
Kisa hiki cha mwaka jana
Kuna mchina alitafuta mabaunsa wa kumlinda (huyu mchina alikuwa na ugomvi na wenzake, wote ni wamiliki wa madanguro, hivyo wakapokonyana wateja)
akapata vijana watatu mabaunsa toka gym moja mwananyamala akawa anatembea nao popote aendapo
Siku moja akiwa na mabaunsa wake akakutana na wale wachina wengine zikapigwa kung fu za kufa mtu lakini wale walipozidiwa walimpiga risasi binti wa huyu mchina mwenye walinzi
Baunsa mmoja kuona vile akataka kumvamia yule mchina mwenye silaha ili ampokonye, aliishia kulishwa risasi 12 mwilini
Hii kesi haikufika popote na Baunsa alizikwa kwao bagamoyo kwa msaada mkubwa wa mchina
Kuna mengi ya wachina jamani
Hawa wadudu nikiamua kuongea kila kitu kuwahusu kitanuka mbaya...jamaa wa kona bar namfahamu vilivyo
....mziki wa uhamiaji ulipoisha ndio ikaanza sasa ule mtafutano na kuwindana mpaka siku walipokutana live na kusababisha kifo cha kijana wetu mtanzania aliyekuwa na ndoto nyingiImagine Kaka mkubwa Mshana Jr, hadi muda huu nilikuwa nakusubiria uliposema utaendelea. Nikiamka salama, naanza na Jf mengine yatafuata.
Muwe na Usiku Murua.
Ahsante!