Mtandao huu wa uhalifu wa wachina ufumuliwe

Mtandao huu wa uhalifu wa wachina ufumuliwe

Wachina hawana mashariti magumu, tuwafukuze harafu waje wale wenye mashariti ya kulana jinsia moja...!?
 
SERIKALI IWE MAKINI NA WACHINA WA FU JIAN
sio wachina wote ni wabaya kivile, lakini wachina wa FU JIAN ndio wenye matukio sana ndio maana baadhi ya mataifa wakiangalia mchina husika anatoka huko hawampi visa sisi huku hatujastuka...lakini ndio hawa wengi wanaofanya biashara za kamari hapa nchini

Kisa hiki cha mwaka jana
Kuna mchina alitafuta mabaunsa wa kumlinda (huyu mchina alikuwa na ugomvi na wenzake, wote ni wamiliki wa madanguro, hivyo wakapokonyana wateja)
akapata vijana watatu mabaunsa toka gym moja mwananyamala akawa anatembea nao popote aendapo
Siku moja akiwa na mabaunsa wake akakutana na wale wachina wengine zikapigwa kung fu za kufa mtu lakini wale walipozidiwa walimpiga risasi binti wa huyu mchina mwenye walinzi
Baunsa mmoja kuona vile akataka kumvamia yule mchina mwenye silaha ili ampokonye, aliishia kulishwa risasi 12 mwilini
Hii kesi haikufika popote na Baunsa alizikwa kwao bagamoyo kwa msaada mkubwa wa mchina
Kuna mengi ya wachina jamani
Aiseeer
 
Kama wanafanyiana wao kwa wao haina shida.!

Sisi tuna dada zetu huko uarabuni wapo kibao wanatumikishwa na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Waache wachina watesane!
 
Halafu cha ajabu sasa hivi kwenda China huna mtu wa kukupa invitation kwao hukanyagi ila huku kwetu wapo mpaka vichochoroni pengine bila vibali vya kuishi
Ila serikali yetu hii tukufu imekaa kimya
Alooo nimesahau " Wachina wana mapesa mengi wanakopesha hadi Marekani"
Hivi ni nan alisema wachina wana pesa
 
KUNA KIPINDI NILIKUWA NAPIGA MISHE FULANI WATEJA WANGU WAKUBWA WALIKUWA NI WACHINA NLIKUJA KUJUA ISHU NYINGI SAANA WANAO ZIFANYA HAPA TANZANIA..IN SHORT HATA HUYO MAMA MALKIA WA PEMBE NSHAKUTANA NAYE SANA TU,WAKATI ULE ALIKUWA NA HOTEL BEIJING RESTAURANT OPP NA SHOPERZ PLAZA,WANA DEALS NYINGI SANA NA MAGUMASHI...HIYO MAMA WAKUBWA WA POLICE WOTE ALIWATIA MKONONI,ALIKUWA PIA KAMA MKALIMANI WA BALOZI WA CHINA HAPA TZ.
WACHINA WANA GENGE WANAFANYA UHALIFU SANA HAPA TZ.

OVA
View attachment 424873

Wageni huja na mengi mazuri na mabaya! Tuna historia ya muda mrefu ya mahusiano mazuri na wachina lakini kuna mambo hayako sawa na viongozi wetu wa sasa ni butu mbele ya hawa raia.

Ukiachana na wale wauza pembe za ndovu mbao nk kuna huu uhalifu wa utekaji utesaji na kuua unaofanywa na hao watu

Mabinti wengi huchukuliwa huko china kwa ahadi ya kuja kufanya kazi nzuri lakini wakifika nchini hupelekwa mitaa ya mikocheni masaki nk kwenye magorofa na kufungiwa huko huku wakipokonywa hati zao za kusafiria

Baada ya hapo huuzwa kutoa huduma ya ngono kwa wachina wenzao na mataifa mengine kwa uchache na gharama ikiwa si chini ya dola 100 short time na si chini ya dola 300 usiku mzima

Hawa mabinti hupigishwa kazi mchana mzima na usiku wanachoka hasa
Sasa hutokea ugomvi kati ya wanaume ama wamiliki wa hao mabinti au wamiliki na mabinti

Binti yeyote anayeleta ukorofi na kutaka kurudi kwao huuliwa na kutupwa. ..kwa nyakati tofauti wameokotwa mabinti walioteswa na kuuawa mitaa ya ufukweni mapori ya chuo kikuu kibaha mkoani pwani na mkuranga

Inawezekana kabisa kuna wengine wameuawa na kuzikwa ndani ya majumba waliyopanga wachina

Kisa cha wiki hii kuhusiana na binti wa El grand casino kutekwa kuteswa sana kisa picha zake kutumwa kupitia mtandao wa wechat huko kwao watesaji wakitaka walipwe dola 19000 ndio wamwachie ni kielelezo kingine cha u mafia mpya

Yanayofanywa na wachina hapa nchini huku yakifumbiwa macho na viongozi wetu so hapa kuna magenge ya kusafirisha watu

Kuna magenge ya kusafirisha pesa vituo vinne vikubwa vinahusika hapa
Kariakoo
Palm beach casino
Chinese supermarket karibu na ubalozi wa kenya
Hotel ya wachina Kinondoni

View attachment 424875

Kuna mengi mabaya machafu yanayifanywa na wachina hapa nchini naomba kukatisha hii mada
 
KUNA KIPINDI NILIKUWA NAPIGA MISHE FULANI WATEJA WANGU WAKUBWA WALIKUWA NI WACHINA NLIKUJA KUJUA ISHU NYINGI SAANA WANAO ZIFANYA HAPA TANZANIA..IN SHORT HATA HUYO MAMA MALKIA WA PEMBE NSHAKUTANA NAYE SANA TU,WAKATI ULE ALIKUWA NA HOTEL BEIJING RESTAURANT OPP NA SHOPERZ PLAZA,WANA DEALS NYINGI SANA NA MAGUMASHI...HIYO MAMA WAKUBWA WA POLICE WOTE ALIWATIA MKONONI,ALIKUWA PIA KAMA MKALIMANI WA BALOZI WA CHINA HAPA TZ.
WACHINA WANA GENGE WANAFANYA UHALIFU SANA HAPA TZ.

OVA
Duu kweli unamjua kuna wakati alijifanya ile nyumba ni yake akaandikwa sana na magazeti ya udaku miaka ile ya 2000+ !alijifanya katapeliwa ile nyumba kumbe ndio alitaka kutapeli
 
Duu kweli unamjua kuna wakati alijifanya ile nyumba ni yake akaandikwa sana na magazeti ya udaku miaka ile ya 2000+ !alijifanya katapeliwa ile nyumba kumbe ndio alitaka kutapeli
Tulikuwa tunamuita mama feng full magumashi mwanzo mwisho...wageni toka China ashawapiga sana hela hotelini kwake....wale waliyokuwa wanakja nunua dhahabu tz....alikuwa na connection nzuri na Rpc yule aliyekuwa anavita sana fegi....
Kuna wakati dreva WAKE alimuibia balloon aka ripoti tu polisi basi wazee wakawa wanaenda mbio kutaka msaidia mama gari ipatikane mwishowe mama akasema ahh achaneni nayoo....
Alikuwa mafia fulani....mchina mwingine alikuwepo pale opposite na kona bar naye kakaa sana BONGO naye magumashi pia...tulimbatiza Jina la juma maana anaongea kiswazi kuliko hata sisi...
Kwa kifupi wachina asilimia kubwa fiksi kalamazooo

Hawa wadudu nikiamua kuongea kila kitu kuwahusu kitanuka mbaya...jamaa wa kona bar namfahamu vilivyo
 
Ningekuwa mkuu wa kituo hapo namwambia kamanda hebu huyo mchina wa kiume mpeleke selo halafu huyu wa kike ngoja nikamuhoji huko nyumbani kwangu............

Nitagegeda hadi akome kuja kufanya uhalifu tanzania.
Wewe bado una mawazo yale ya kitoto ya kusema ukiachiwa kuuza duka utakula pipi na biskuti mpaka zikukome!
 
Back
Top Bottom