Mtandao huu wa uhalifu wa wachina ufumuliwe

Mtandao huu wa uhalifu wa wachina ufumuliwe

Kuna mchina Maaruf wanamwita Ngosha yupo gereji ya pale SAYANSI kuelekea rose garden kuna siku alimfanyia unyanyasaji mkubwa kijana mmoja yupo pale kama fundi eti akazoe mavi kwa mikono ambayo walijinyea wachina baada ya kulewa usiku kucha..baada ya dogo wa kitaa kukataa alimpa kibano na kumfukuza kibarua kama mwizi.
Dogo ni wa kitaani baada ya kutupa stori tukaona hakuna haja ya kwenda polisi wala wapi maana kesi za aina hiyo zikienda jamaa wanakata mipunga kibao unageuziwa wewe..Tulimuwekaea mazingira Mchina Ngosha akaingia line kilichompata(sisemi) siku ya pili kampigia dogo arudi kazini na anamuheshimu kama Mao tse Tung..!!!
Nimeipenda hii, kwanini wakutese kwenye nchi yako
 
Back
Top Bottom