Mtandao huu wa uhalifu wa wachina ufumuliwe

Mtandao huu wa uhalifu wa wachina ufumuliwe

Kuna vijana wetu pia wanateswa sana kwenye majumba ya wachina wengine mabinti wanaliwa mtungo huku wakirekodiwa
Hapo kuwananii dada zetu, That's too much!!! Serikali yetu nayo kwa kujidai vipofu miksa viziwi hawajambo!!!
 
SERIKALI IWE MAKINI NA WACHINA WA FU JIAN
sio wachina wote ni wabaya kivile, lakini wachina wa FU JIAN ndio wenye matukio sana ndio maana baadhi ya mataifa wakiangalia mchina husika anatoka huko hawampi visa sisi huku hatujastuka...lakini ndio hawa wengi wanaofanya biashara za kamari hapa nchini

Kisa hiki cha mwaka jana
Kuna mchina alitafuta mabaunsa wa kumlinda (huyu mchina alikuwa na ugomvi na wenzake, wote ni wamiliki wa madanguro, hivyo wakapokonyana wateja)
akapata vijana watatu mabaunsa toka gym moja mwananyamala akawa anatembea nao popote aendapo
Siku moja akiwa na mabaunsa wake akakutana na wale wachina wengine zikapigwa kung fu za kufa mtu lakini wale walipozidiwa walimpiga risasi binti wa huyu mchina mwenye walinzi
Baunsa mmoja kuona vile akataka kumvamia yule mchina mwenye silaha ili ampokonye, aliishia kulishwa risasi 12 mwilini
Hii kesi haikufika popote na Baunsa alizikwa kwao bagamoyo kwa msaada mkubwa wa mchina
Kuna mengi ya wachina jamani
Hapa ndipo naona jinsi jeshi letu la polisi lilivyo “makini”[emoji125]
 
hawa wachina wachenguzwe kwa Karibu hata jamii zao hawataki kwa sababu ya magumashi yao. Umewahi kufuatilia ugomvi na visa vya wachina na waHong kong, ni paka na panya sababu ya mambo yao. Mi hata huwa sielewi humo nchini wanavyowakumbatia ila sio kabisa
 
SERIKALI IWE MAKINI NA WACHINA WA FU JIAN
sio wachina wote ni wabaya kivile, lakini wachina wa FU JIAN ndio wenye matukio sana ndio maana baadhi ya mataifa wakiangalia mchina husika anatoka huko hawampi visa sisi huku hatujastuka...lakini ndio hawa wengi wanaofanya biashara za kamari hapa nchini

Kisa hiki cha mwaka jana
Kuna mchina alitafuta mabaunsa wa kumlinda (huyu mchina alikuwa na ugomvi na wenzake, wote ni wamiliki wa madanguro, hivyo wakapokonyana wateja)
akapata vijana watatu mabaunsa toka gym moja mwananyamala akawa anatembea nao popote aendapo
Siku moja akiwa na mabaunsa wake akakutana na wale wachina wengine zikapigwa kung fu za kufa mtu lakini wale walipozidiwa walimpiga risasi binti wa huyu mchina mwenye walinzi
Baunsa mmoja kuona vile akataka kumvamia yule mchina mwenye silaha ili ampokonye, aliishia kulishwa risasi 12 mwilini
Hii kesi haikufika popote na Baunsa alizikwa kwao bagamoyo kwa msaada mkubwa wa mchina
Kuna mengi ya wachina jamani
Jamani,so sad aiseeee, ina maana Serikali yetu hawajui kabisaaa haya mambo
Hawa wachina kumbe ni wapuuzi kiasi hiki
 
Ama kweli wachina wana unasaba na ccm ukitibua mishe zao kesho utaamkia mabwepande huna kucha wala meno na ni majaaliwa ya Maanani kukuacha na roho yako!!
Ukienda kwenye makampuni ya barabara utawakuta wanafanya kazi mpaka za vibarua hali ya kuwa wazawa wanakosa kazi, ikitokea mradi umeisha ndo wanaanza kujiingiza kwenye kazi ya ujangili, naomba serikali yetu tukufu isiwaonee haya hawa jamaa
 
Hawa dawa yao ni serikali kupitia wizara ya mambo ya nje kuomba serikali ya China itusaidie kuleta makachero wa kichina na kufanya kazi hapa kama wauza miwa
 
1.
Wachina ni watu wenye dharau sana aisee

2.
Hawa watu kumbe ni washenzi kiasi hiki.!

3.
kuna mchina alikuwa na tabia hiyo wabongo wakamvizia wakamuua ..

4.
Jamani,so sad aiseeee, ina maana Serikali yetu hawajui kabisaaa haya mambo

Hawa wachina kumbe ni wapuuzi kiasi hiki

Nawachukia sana hawa watu, nafikiri matendo yao wanaonyesha ni kwa jinsi gani wanatudharau sisi watanzania. Sehemu kubwa ya wachina wanaokuja wana tabia zinazofanana.

Viongozi watu wamewakumbatia sana, hasa awamu iliyotoka walipata kichwa sana, hata alipokuja kiongozi wao mkuu waliona kama ndio wamekubaliwa sana, sina hakika kama wana permit za kuishi hapa Tz.
 
mkuu permit wanapewa sema pale uhamiaji wanakula pesa zao sana
 
Duh hawa jamaa kumbe ni janga lingine nchini kwetu!!
 
Uhamihaji watakuwa wanahusika sana nahawa watu, unapewaje permit kama huna shughuli inayoeleweka?
unakuta wanatoa permit kampuni moja manager kumi .. halafu wanakuja huku wanafanya kazi za wabongo... kingine uhamiaji wanakula rushwa sana kutoka kwa hawa watu.. wakiwakamata wachina wanawauliza unataka shilingi ngapi?
 
Waziri wa Fedha yupo kwao anatembeza bakuli kuomba msaada kama mbabu wa kigogo pale makutano ya bibi titi
 
Watanzania very naive people.

Mchina au wakuja yeyote huwezi kwenda Nigeria au S.Afr ukafanya vitu kama hivi mtaani, watakutumbukiza kwenye pipa la Hydrogen Fluoride.
 
Kwa hiyo hapa ni uhalifu wa wachina dhidi ya wachina, yeah? Well, kama serikali yao haioni tatizo na wala haitu-hold responsible then sioni umuhimu wa kuingilia. Tuna mambo mengi ya msingi ya kufuatilia kwa sasa.
 
mshana jr ungepata kwanza hard copy ya ile mikataba mlio saina na wachina kipindi kile rais wao alipo kuja Tanzania ukaupitia kuisoma kwa makini kabla ya kuanzisha hii thread!!

Rais wao akipitia hapa jf na kusoma hili bandiko lako, ataona mnaenda kinyume na mikataba aliyo isaini hapa tz!
 
Back
Top Bottom