Mbona kwenye Uzi wake, kataja vijana wa kike na wa kiume wa kitanzania nao wanahusika kwa namna moja ama nyengine? Mumsome tu vizuri mtamuelewa, na zaidi kasema hapo atafafanua baadae hilo la Logistic.
Nashukuru maelezo yangu yamefika, maana daah nilitoa macho kweli, na ningesikitika kama nilivyosikitika leo muda mfupi uliopita, kuna mwenzetu alileta uzi wa tatizo la kaka'ke kuwa ni shoga, nikaandika maombi na maoni yangu weeee, daah si yakakataliwa aisee, na Jf hakuna mahala pa Ku-save pointi zako ili zikigoma uongeze bando, urudi kuzitupia tena. Kwa kweli iliniuma sana. Na pia Jf hakuna pa ku-like post yako.
mengine mawazo na nyuzi zako, binafsi nakufuatilia sana, hujui tu, hata nisipo-like maelezo yako ila kaa ukijua nakufuatilia sana kwa kAgain, Mshana Jr, ahsante kwa hili na uwa najifunza machache mazuri tokea kwako.
Ahsante!