Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

unakuta hapa lengo lilikuwa ni kuchonganisha kati ya imani mbili ili amani isiwepo.
Nani sasa ananufaika kwa hili?hilo ndo swali la kujiuliza.
Saa nyengine unaweza ukakuta ni vyama vya siasa, watu wa nje ya nchi yetu au hata baadhi ya watu ndani ya serikali wanaweza kuwa wana ihujumu serikali bila kujua au matop siajabu wanajua what is going on. Matukio mengi yametokea ya uhalifu kwanini hili serikali imehamaki sana hadi mkuu wa nchi. Hapo ni kazi ya wana usalama kuchimba what is behind this people
 
Kuhusu elimu ni swala la desturi tu, mbona mwarabu anajenga masjidi kwenye kila shell ya mafuta lakini siyo nursery kwenye kila msikiti. Mkoloni wa Kizungu alijenga shule kila penye kanisa, mwarabu alifanya nini?, watu wanavutiwa zaidi kwenda saudia kusoma au wanavutiwa na Uingereza?. Haya mambo dusturi bwana hata boko haram maana yake elimu ya magharibi ni najsi
we we ndo unataka kuiharibu hii thread.

Hapa tunajadili mabomu arusha wewe unaweka vifungu vya bible hapa,hivi unadhani ni we peke yako unaejua vifungu vya bible?.
Jaribu kuwa na hekima bana.kama unataka mhadhara wa dini anzisha uzi ama la utaharibu uzi wa muhimu sana.
 
Mkisikia shehe mnakuja huku mbio hadi mnasahau nguo za ndani;
Hao wa kwenu wanapofanya mbona mnakaa kimya.
 
Tatizo ww umekuwa brain washed na umeingia kwenye mtego wa malengo ya kuanzishwa neno gaidi
Ulishawahi sikia mmarekani anaitwa gaidi? Je anayoyafanya ni sawa watu wamekufa iraq ,afghan stan,liberia, congo.....wanachofany israel ni sawa ?????ugaidi km upo ni ndani ya mtu na wewe unajua alshabab wanachpigania mbona hawakuja piga tz japo soon watakuja™™™

Gadafi kaonekana mbaya kisa kasema afrca ina utajiri mwing inaweza jiendesha bila misaada ya nje tuanzishe imf yetu na yy atatoa initial fund

Iraq kapigwa eti ana silaa za sumu lakini fact ni kuwa alikataa kuendelea kutumika kupigana na iran

Afghanstan ni islamic state km walivyoanzisha somalia
Kwahyo hapa ni either uwe mjinga tukisema tunataka gesi au madini kwa mikataba tunayotaka sisi utupe au ukikataa wewe ni gaidi na support kubwa tunawawpa sisi wenywe kwa kuendeleza slogan yao
Tatizo watu wanacheza kibwagizo wasichokijua. Marekani hata wananchi wana andamana kila siku kuipinga serikali yao. Lakini wanavyotufanya wajinga vyombo vyao vya habari hata haviripoti hayo maandamano. Ila waandamane waarabu sasa. Yaani sijui mambo ya nchi nyengine wao yanawauma nini.
 
Alitaja watuhumiwa wengine kuwa ni Abashar Hassan Omar (24)- shekh wa msikiti

Abdulrahman Hassan (41) - Imamu wa msikiti

Morris John Muzi (28) - mfanyakazi wa Benki ya Stanbic Arusha.

Mya take: Ukiangalia kwa makini style iliyotumika kutaja wasifu wa wahusika unaweza uka'note jambo .
 
Watu wa iman moja wakawa na kasoro moja,ya kuua watu.Tatizo ni iman hiyo na sio watu.Kuushinda ugaidi lazima Pawepo na mapambano juu ya iman hizi

mapambano na dini ya mtu hapo lazima uchemke
 
Alitaja watuhumiwa wengine kuwa ni Abashar Hassan Omar (24)- shekh wa msikiti

Abdulrahman Hassan (41) - Imamu wa msikiti

Morris John Muzi (28) - mfanyakazi wa Benki ya Stanbic Arusha.

Mya take: Ukiangalia kwa makini style iliyotumika kutaja wasifu wa wahusika unaweza uka'note jambo .
kinachotakiwa hapa ni ku run background check kwa hawa watu indeep.

Mfano huyo mtumishi wa benki usikute pesa ya kufinance matukio ikipitia kwake kwahiyo wanaweza kutrace money transaction na kuweza kujua wapi zinatoka pesa za kufinance hayo.
Hao viongozi wa msikiti ukute wao kazi yao ni ku recruit watu wa kufanya matukio.
 
unakuta hapa lengo lilikuwa ni kuchonganisha kati ya imani mbili ili amani isiwepo.
Nani sasa ananufaika kwa hili?hilo ndo swali la kujiuliza.

Hawa watu wana akili sana, ni vema Polisi wajipange vizuri kuithibitishia Mahakama kuwa ndio waliohusika na milipuko.
 
we we ndo unataka kuiharibu hii thread.

Hapa tunajadili mabomu arusha wewe unaweka vifungu vya bible hapa,hivi unadhani ni we peke yako unaejua vifungu vya bible?.
Jaribu kuwa na hekima bana.kama unataka mhadhara wa dini anzisha uzi ama la utaharibu uzi wa muhimu sana.

Lengo la kifungu cha bible ni kutaka watu wajue kwamba Bwana Yesu alie hai alitabiri ujio wa wajitoa Muhanga ili kumtolea Mungu ibada, wameripua bomu Olasit wakiwa lengo la kumuua barozi wa Vatican

Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
3 Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.
 
mkisikia shehe mnakuja huku mbio hadi mnasahau nguo za ndani;
hao wa kwenu wanapofanya mbona mnakaa kimya.

hv mhehe na uislamu ni lini?au ulipata bwana mpemba sbb huwa wanachukuaga nyanya hapo kwenu ilala,wakakuzoa huko huko
 
kinachotakiwa hapa ni ku run background check kwa hawa watu indeep.

Mfano huyo mtumishi wa benki usikute pesa ya kufinance matukio ikipitia kwake kwahiyo wanaweza kutrace money transaction na kuweza kujua wapi zinatoka pesa za kufinance hayo.
Hao viongozi wa msikiti ukute wao kazi yao ni ku recruit watu wa kufanya matukio.

Mkuu hilo unalosema ni kwa mujibu wa polisi au kwa mtazamo wako?
 
Hawa wauaji wa Arusha wanalitendea vyema agizo ili
Mungu anaagiza kiumbe chake kipige kiumbe kingine, ingawa viumbe vyote kaviumba yeye, na anaendelea kuumba kafir

Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.

Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
 
Mkisikia shehe mnakuja huku mbio hadi mnasahau nguo za ndani;
Hao wa kwenu wanapofanya mbona mnakaa kimya.
We si ulishawahi niambia ni kiongozi wa Kanisa, dah! aisee, ndio maana nilikwambia hilo kanisa unaloliongoza hao waumini sipati picha sijui ni vipi!?
 
kweli umechanganyikiwa masikini yaani hizo case zako unazisoma label tu content zake zitakushangaza sana ukizijua!!!!

Nakushauri sana utafute taarifa zaid ya hizi propaganda!!!

kwa hao wotew wahuni tu sio waisilamu eeh tuwatwange kabisa
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi (ACP), Liberates Sabas, alisema jana kwamba kati ya watuhumiwa hao ni pamoja na Sheikh wa Msikiti Mkuu, Mustafa Kihago (46), na Imamu wake Abdul Azizi (49), ambao wote kwa kushirikiana na watu wengine wanatuhumiwa kuhusika na mlipuko wa bomu uliotokea nyumbani kwa Sheikh Abdul Jonjo na kumjeruhi katika eneo la Esso jijini hapa Oktoba 25, 2012.
 
Kuwa kiongozi wa kanisa siyo maana ya kuwa na udini;
hata mama mmoja alikuja kwa mkutano pale akaanza kusema mambo ya
watu wa upande mwingine naye tulimtimua vile vile;

Mungu hakutuachia hayo;
alisema sisi wote ni mfano wake.
We si ulishawahi niambia ni kiongozi wa Kanisa, dah! aisee, ndio maana nilikwambia hilo kanisa unaloliongoza hao waumini sipati picha sijui ni vipi!?
 
Back
Top Bottom