Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Ndio Kaka kama ulivyo ukristo ni ushoga. makristo yanafungishwa ndoa za kishoga makanisani. ukristo unafuga ushenzi huu. makanisa yanatumika kuhamasisha ushoga. naamini kuwa kila mkristo anayeenda kanisani basi ni shoga kwa kuwa makanisa yanahamasisha ushoga. tupinge huu ushenzi wa ukristo ili tupambane na ushoga duniani.

Usimfuate hayawani, kwani hakika hajui aendako!!!!!
 
Baba yako sio Baba yangu.... Baba yangu wa kwanza ni Mungu,wa pili mzazi,wa tatu ni baba mzazi wa mke wangu.... !!
 
hahahhahhahha................mapoyoyo utayajua tuu huwaga hata hamnisumbui.................
stop labeling ndio hawa wamekosa why naming kwamba ni waislam wote?

Ndio Kaka kama ulivyo ukristo ni ushoga. makristo yanafungishwa ndoa za kishoga makanisani. ukristo unafuga ushenzi huu. makanisa yanatumika kuhamasisha ushoga. naamini kuwa kila mkristo anayeenda kanisani basi ni shoga kwa kuwa makanisa yanahamasisha ushoga. tupinge huu ushenzi wa ukristo ili tupambane na ushoga duniani.

Wakristo au kanisa ni wale watu walioamua kufundisha na kufuata mafundisho ya Yesu Kristo yaani Masihi.
Ni ukweli kwamba Yesu ndiye aliyekuja kufundisha ukweli kumuhusu Mungu anayepaswa kuabudiwa.

Yesu alifundisha mafundisho sahihi ya kumjua na kumuabudu Mungu.Hakuna kitabu kinachopinga hilo labda hivi vijarida vya magaidi lakini sio biblia wala kurani.Kwa hiyo kuuhusisha ukristo na Ushoga ni uongo kwani ushoga unafanywa dunia nzima kama dhambi nyingine za wizi ulevi,uzinzi,rushwa,chuki,uuaji,uchawi na kuabudu majini.

Yesu hakuwafundisha wakristo kuhukumu kwa kuua au kulaani kwani hiyo ni kazi ya Mungu. Unaposhika upanga au bomu na kumuua mtu eti ana dhambi inabidi ujiulize nani aliyemuumba shetani na kwa nini ameacha kumuangamza mpaka siku ya kiama?

Watu wanatua vitabu vya dini na dini vibaya ,iwe kwa waislam,wayahudi au wakristo. Mfano watu wanagombania ardhi wanaingiza udini,wanatafuta kazi wanaingiza udini,wanatafuta madaraka wanaingiza udini.

Mimi ni binadamu ninayependa kutendewa wema bila kuangalia dini.Mtu akipata ajali huwa hachagui mtu wa dini gani aje kumuokoa bali anaangalia binadamu aliyoko mbele yake aje kumuokoa hata kama ni shoga.

Ndugu yangu umezungumzia wakristo na ushoga lakini mimi ninachojua ni kwamba kama ni padri shoga au askofu shoga ni yeye mwenyewe na nafsi yake na hatumii bomu kumshawishi mtu na hawapiti kwenye nyumba za ibada kuhamasisha wale wasio mashoga wauawe .Shoga na basha ni watu waovu wanaotumia vibaya miili yao.
Ushoga ni matendo ya mwili wa mtu yanayosukumwa na tamaa mbaya sio matendo ya kufundishwa kwani hakuna maandiko yanayounga mkono vitendo hivyo.Sijawahi kupita kwenye mitaa nikasikia CD zinazohamasisha vitendo vya ushoga wazi wazi au CD za ushoga zikiwa zinauzwa kanisani.
Kuna jamaa ni Muislam ,alikua analipwa hela na shehe mmoja wa mkoa ambaye ni shoga ili amfanyie vitendo vichafu vya ulawiti.Yule jamaa hakuwa na ajira hivyo kila alipohitaji pesa alikua anakwenda kwa Yule shehe shoga.Ni jambo la kweli kabisa.Lakini ni suala la mtu ninafsi na wala hajamwagia mtu tindikali wala kulipua kaniasa au msikiti.

Jamani ugaidi unatisha kwani huwezi kuukwepa kama huna taarifa.Wazungu walipima na kuchekecha na kuona kuwa ugaidi ni adui namba moja wa usalama wao na sio ushoga kwani kama unaakili yako timamu na huwezi kujiingiza kwenye mambo ya ushoga. Hili ni jambo linaloweza kuepukwa na kila mtu.
 
Wewe! baada ya Mungu ni Mzazi. Kikwete kakuzaa?
 
hahahhahhahha................mapoyoyo utayajua tuu huwaga hata hamnisumbui.................
stop labeling ndio hawa wamekosa why naming kwamba ni waislam wote?

Ndio Kaka kama ulivyo ukristo ni ushoga. makristo yanafungishwa ndoa za kishoga makanisani. ukristo unafuga ushenzi huu. makanisa yanatumika kuhamasisha ushoga. naamini kuwa kila mkristo anayeenda kanisani basi ni shoga kwa kuwa makanisa yanahamasisha ushoga. tupinge huu ushenzi wa ukristo ili tupambane na ushoga duniani.

Wakristo au kanisa ni wale watu walioamua kufundisha na kufuata mafundisho ya Yesu Kristo yaani Masihi.
Ni ukweli kwamba Yesu ndiye aliyekuja kufundisha ukweli kumuhusu Mungu anayepaswa kuabudiwa.

Yesu alifundisha mafundisho sahihi ya kumjua na kumuabudu Mungu.Hakuna kitabu kinachopinga hilo labda hivi vijarida vya magaidi lakini sio biblia wala kurani.Kwa hiyo kuuhusisha ukristo na Ushoga ni uongo kwani ushoga unafanywa dunia nzima kama dhambi nyingine za wizi ulevi,uzinzi,rushwa,chuki,uuaji,uchawi na kuabudu majini.

Yesu hakuwafundisha wakristo kuhukumu kwa kuua au kulaani kwani hiyo ni kazi ya Mungu. Unaposhika upanga au bomu na kumuua mtu eti ana dhambi inabidi ujiulize nani aliyemuumba shetani na kwa nini ameacha kumuangamza mpaka siku ya kiama?

Watu wanatumia vitabu vya dini na dini vibaya ,iwe kwa waislam,wayahudi au wakristo. Mfano watu wanagombania ardhi wanaingiza udini,wanatafuta kazi wanaingiza udini,wanatafuta madaraka wanaingiza udini.

Mimi ni binadamu ninayependa kutendewa wema bila kuangalia dini.Mtu akipata ajali huwa hachagui mtu wa dini gani aje kumuokoa bali anaangalia binadamu aliyoko mbele yake aje kumuokoa hata kama ni shoga.

Ndugu yangu umezungumzia wakristo na ushoga lakini mimi ninachojua ni kwamba kama ni padri shoga au askofu shoga ni yeye mwenyewe na nafsi yake na hatumii bomu kumshawishi mtu na hawapiti kwenye nyumba za ibada kuhamasisha wale wasio mashoga wauawe .Shoga na basha ni watu waovu wanaotumia vibaya miili yao.
Ushoga ni matendo ya mwili wa mtu yanayosukumwa na tamaa mbaya sio matendo ya kufundishwa kwani hakuna maandiko yanayounga mkono vitendo hivyo.Sijawahi kupita kwenye mitaa nikasikia CD zinazohamasisha vitendo vya ushoga wazi wazi au CD za ushoga zikiwa zinauzwa kanisani.
Kuna jamaa ni Muislam ,alikua analipwa hela na shehe mmoja wa mkoa ambaye ni shoga ili amfanyie vitendo vichafu vya ulawiti.Yule jamaa kila alipohitaji pesa alikua anakwenda kwa Yule shehe shoga.Ni jambo la kweli kabisa.Lakini ni suala la mtu ninafsi na wala hajamwagia mtu tindikali wala kulipua kanisa au msikiti ni tamaa zake mwenyewe haziwanyimi watu wema usingizi wa kulipuliwa na bomu na kuua wasio na hatia.

Jamani ugaidi unatisha kwani huwezi kuukwepa kama huna taarifa.Wazungu walipima na kuchekecha na kuona kuwa ugaidi ni adui namba moja wa usalama wao na sio ushoga kwani kama unaakili yako timamu huwezi kujiingiza kwenye mambo ya ushoga. Hili ni jambo linaloweza kuepukwa na kila mtu.

''' 'Watu wanakosea kwa propoganda za uongo kwa kusema kuwa nchi za magharibi zinahamasisha ushoga lakini ni kwamba nchi za magharibi wanasema na kutetea kilio cha mashoga dhidi ya kutengwa na kunyanyapaliwa kwa sababu tu ya uamuzi wao ambo mara nyingine ni kutokana na kuzidiwa na mivutano ya mtu binafsi na maumbile yake.Hizi nchi zinapinga hawa watu kutendewa ukatili na binadamu wenzao kupitia sheria wanazotunga ktk mabunge yasiyo na dini.Makosa ya ushoga yaachiwe hukumu toka kwa yule aliyewaumba yaani Mungu kama ilivyo dhambi nyingine.''''
Haya ndio mawazo ya watu wenye maarifa na akili za kutafakari na kuvumbua mambo mengi mpaka kwenda mwezini.
 
Dhana ya utawala wa sheria hairuhusu rais kuwa na ushawishi kwenye hukumu za mahakama. Labda pale mtu anapohukumiwa kunyongwa, upo mwanya wa kumwomba rais atoe msamaha. Lakini rais hawezi kuiambia mahakama itoe hukumu ya kifo kwa mtu anayedhaniwa ni hatari kwa jamii!
 
sasa haya ndo ambayo nimekuwa nayapinga................
wewe wakristo ni mashoga umewaona wangapi? na kwann unawalebo wakristo wote vibaya?
kama ambavyo tunapinga kwamba sio waislam wote wabaya kadhalika sio wakristo mashoga.......FYI ushoga uko pwan na pwan ya bara hindi kwa hapa EA na mwambao huu umejaa waislam je tuseme waislam ni mashoga?

achen lebo kwa sababu ya dini, kila mtu akikosea anakosea kama yeye na sio kama kundi

cc matumbo

umesikia wapi ndoa ya mashoga msikitini??... bali kila cku utaona na kusikia ndoa za mashoga makanisani. kk kama tupinge kwa nguvu zote nguvu hii ya kanisa inayohamasisha ushoga.
 
Last edited by a moderator:
umesikia wapi ndoa ya mashoga msikitini??... bali kila cku utaona na kusikia ndoa za mashoga makanisani. kk kama tupinge kwa nguvu zote nguvu hii ya kanisa inayohamasisha ushoga.

Haufikirii sawa sawa ndio mana unapelekwa pelekwa na mawazo ya watu kwa kudanganywa kuwa siku ya kiama watu watahukumiwa kwa makundi.Kwa hiyo ukijiunga na msimamo fulani utapata pepo. Kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake na imani yake itapimwa kama yeye mwenyewe .Hukumwamini Yesu utapelekwa kwenye mizani ya matendo ya sheria. Hapa ndopo patakapo waangusha wengi kwenye moto wa jehanam mana watu mchana wanapinga uahoga usiku ni mabasha na mashoga.Hawa ndio walioshushiwa aya ya unafiki. Adhabu yao ni kubwa kama washirikina.
Someni vizuri vitabu vya dini usiangalie mfumo na taratibu za watu wanaojiwekea tu kama wanavyofanya magaidi na mashoga hawa ni kundi moja kwani taratibu zao haziko kwenye utakatifu wa Mungu.

Hebu jaribu kufikirisha akili yako nje ya dini uliyokaririshwa kwa Lugha na mila za wageni, tuliza ajili yako uliyopewa na Mungu ili ufanye vitu kwa usahihi.SOMA NA TAFAKARI YAFUATAYO:
==Wewe kama binadamu asiyetumia bangi wala madawa ya kulevya wala kufikiri kipumbavu ukisikia tetesi kwamba kesho kariakoo kuna MAGAIDI wamepanga kulipua soko la kariakoo; je,utakwenda kariakoo?
Lakini hali inakua kinyume chake ukisikia kwamba kesho kuna shoga atakwenda kariakoo kununua nguo ,sidhani kwamba utaogopa kwenda Kariakoo na zaidi utakwenda ili ujue kuwa huyo shoga ni mtu wa namna gani.!! Kwa taarifa yako ulaya kwa sasa ukisikia Kasisi au Mchungaji amefingisha ndoa kanisani usifikiri ni makanisa yanayotumika kama huku Tanzania .Kule ulaya makanisa ni majengo tu ya makumbusho ndio mana hata waislam mara nyingine wanapewa wayatumie .Hivyo hizo imani za kishetani pia wanayatumia kufanya ibada zao.
Sasa usipotafakari na kujifunza kwa kujua mazingira utakua mjinga na mbaya kuliko hata shetani.
Wazungu hawafikirii mambo ya dini kwa kwani hawana muda huo.Kwao jambo la msingi ni uhuru wa kuishi bila kumbughudhi mwenzake.

Unaposhabikia makanisa kuchomwa hapa Tanzania ni lazima ujiulize ni kanisa lipi linalohamasisha vitendo vya ushoga?
Mtu yoyote anaruhusiwa kuingia kanisani bila kubaguliwa.
Kanisa limekua kikipinga si vitendo tu vya mashoga bali hata kuwa na wanawake wengi kwani ni tabia inayokinzana na uwezo wa kudhibi tamaa ya mwili.

Pia nijuavyo mimi Biblia ndicho kitabu kilichoweka wazi chukizo lililopo kwa Mungu kutokana na vitendo vya kishoga.Na sijui kwamba kuna dini nyingine inayohubiri kwa uwazi vitendo vya kishoga hata kwa kusoma vitabu vingine vya mafundisho ya dini nyingine utaona viashiria vya kuwa ushoga ulikuwepo kwa watu wasiomjua Yesu Kristo.
Huwezi kumpinga shetani kwa kutumia nguvu za shetani.
 
Back
Top Bottom