Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

I have heard this phrase many times. ISLAM IS A RELIGION THAT PREACHES PEACE. but when I look around I do not get that impression. all terrorist attacks are parpetrated by muslim fundamentalist e.g sept eleven in NY. seven seven in London. The Boko haram in Nigeria. Al shabaab closer home. the suicide attacks in Pakistan and Iraq. The Arusha bombings. These examples leaves me with no alternative. Islam serves another master who does not advocate love among muslims themselves (Pakistan. Afghanistan and Iraq) and among other people.

Kweli umechanganyikiwa masikini yaani hizo case zako unazisoma label tu content zake zitakushangaza sana ukizijua!!!!

Nakushauri sana utafute taarifa zaid ya hizi propaganda!!!
 
Waislam wananyimwa elimu ajira ktk sekta rasmi unategemea tufanye kazi gani?yaani wewe jirani yangu unakula na kusaza mimi nikuangalie tuu huku mimi nakufa kwa njaa.Bakwata haina university hata moja mna kazi ya kuwaita tuu ktk futari
 
Deviant characters wakiwa na kitu kinachowaunganisha kama dini au pombe au bange lazima tuhoji hicho kinachowaunganisha. mf. kinachowaunganisha mateja ni unga. ili kutatua matatizo ya mateja lazima tu address unga. hivyo hivyo uislam kwasababu walipua mabom wote ni waislamu. magaidi wote ni waislam hii inatufanya to deduce kwamba uislam ni tatizo ndani ya jamii yetu. tuuepuke

kuna wachaga na warangi je?
 
Waislam wananyimwa elimu ajira ktk sekta rasmi unategemea tufanye kazi gani?yaani wewe jirani yangu unakula na kusaza mimi nikuangalie tuu huku mimi nakufa kwa njaa.Bakwata haina university hata moja mna kazi ya kuwaita tuu ktk futari

Mkuu, pamoja na madai yako, miongoni mwa watuhumiwa ni watu wenye kazi zao nzuri tu.
 
Sasa kama unataka kujua motive wakati tayari una inclination unawezaje kufanyia kazi hiyo "motive scrutinization" ???!!!!!
Hebu weka akili kikazi bhana achana na imani!!!

huwezi kujudge kitu kama hujajua motive ni nini.nakupa mfano wa Isis wanajiita islamic,japo wamepewa mafunzo ya kijeshi na wamarekani pale jordan kwa lengo la kumpindua assad kwani assad anatumika na iran na pia russia na hivo kuzuia maslahi ya marekani na kisha operation zao waka expand hadi irag kwa vile utawala wa irag nao unatumika na iran.yani kwa ufupi hao isis wanatumia mgongo wa dini kwa masilahi na ajenda zilizojificha.
Tukirudi hapa arusha,mtu hulipui tu watu kwa kujisikia kulipua watu lazima kuna motive,na kama haisemwi itakua ngumu kujua .maana sisi hatupakani na somalia,so kwanini hawa watu wameendesha ulipuaji wa makanisa na kutarget mashehe?.
Lengo lao ni nini?,kuvuruga amani?
Kama ndivyo,nani ananufaika na kuvurugwa kwa amani kwa sasa.,nani kawatuma?.
Nani anafinance?.
Nadhani makachero hawajaminya mapum*u kiasi cha kutosha hawa watu.
Ama hatuambiwi habari yote.
 
Kama unasema wachache then unaongelea quantitative, hapo sasa conclusion unaipataje wakati premise yako ni kuwa "wachache"???!!!

Recruitment na training hiyo ni procedural kuliko religious aspect, sasa ukikomaa na dini wakati unajua ni zaid ya hapo unakuwa na upeo mfupi na hii vita hushindi kamwe!!!!

I will be back, ngoja nifanye mawili matatu then nitarudi kujibu post yako
 
Waislam wananyimwa elimu ajira ktk sekta rasmi unategemea tufanye kazi gani?yaani wewe jirani yangu unakula na kusaza mimi nikuangalie tuu huku mimi nakufa kwa njaa.Bakwata haina university hata moja mna kazi ya kuwaita tuu ktk futari

Kijana temea mate chini. Muislam gani alinyimwa elimu au ajira kwa sababu ni muislamu ? Mawaziri. wakuu wa mikoa na wilaya na makatibu wakuu wengi ni waislamu.
 
Acheni unafiki kikwete akiteua muislam mnajiuliza mara kumi kumi?
 
Leo nimesikia ckip ya Rais JK akizungumzia hao watuhumiwa wa ulipuaji mabomu, ni kama vile ameungana na Polisi kuwa watuhumiwa ndio wahusika hasa.

Najiuliza, ikiwa Polisi [nao wanakazia sana juu ya tuhuma hizi] watashindwa kuthibitisha madai yao dhidi ya watuhumiwa na Mahakama ikawaachia huru itakuwaje? Naanza kuona tumevuka mto kabla ya kufikia kingo zake juu ya hawa Watuhumiwa.

Kwa mujibu wa clip ya hotuba ya JK jana [jinsi nilivyomuelewa], na kwa mujibu wa maelezo ya Polisi, ni wazi kuwa wana ushahidi usio shaka dhidi ya watuhumiwa, lkn kwa udhaifu wa Polisi wetu, sitashangaa iwapo Mahakama itawaachia huru [iwapo watashitakiwa kwa ugaidi] .

Sasa kwa hukumu hizi tunazotoa kwenye mjadala huu, hali itakuwaje?
 
huwezi kujudge kitu kama hujajua motive ni nini.nakupa mfano wa Isis wanajiita islamic,japo wamepewa mafunzo ya kijeshi na wamarekani pale jordan kwa lengo la kumpindua assad kwani assad anatumika na iran na pia russia na hivo kuzuia maslahi ya marekani na kisha operation zao waka expand hadi irag kwa vile utawala wa irag nao unatumika na iran.yani kwa ufupi hao isis wanatumia mgongo wa dini kwa masilahi na ajenda zilizojificha.
Tukirudi hapa arusha,mtu hulipui tu watu kwa kujisikia kulipua watu lazima kuna motive,na kama haisemwi itakua ngumu kujua .maana sisi hatupakani na somalia,so kwanini hawa watu wameendesha ulipuaji wa makanisa na kutarget mashehe?.
Lengo lao ni nini?,kuvuruga amani?
Kama ndivyo,nani ananufaika na kuvurugwa kwa amani kwa sasa.,nani kawatuma?.
Nani anafinance?.
Nadhani makachero hawajaminya mapum*u kiasi cha kutosha hawa watu.
Ama hatuambiwi habari yote.

Sasa pale kwa nini uli limit mawazo kwenye, "wanataka islamic state"????!!!
You are good to go now
 
Nimekusoma Mkuu.

Uko vizuri kwenye hiyo hoja yako.
 
Nadhani kuna haja ya kuchukua hatua hapa jf ili kuindoa chuki za kidini,kwa sasa zimezidi mpaka kero!
 
Sasa pale kwa nini uli limit mawazo kwenye, "wanataka islamic state"????!!!
You are good to go now

huo ulikua ni mfano tu,kwani haitakuwa ajabu ukakuta wanatekeleza ajenda ya nchi haitatawalika kama nilivyodokeza kuwa isis wanatumika na marekani ambao si islam.hawa wa arusha usione ajabu ikaja fahamika wanatumika na cdm.
 
Kutokana na hii nukuu yako, Nini ushauri wako kwa hivi vyombo vya habari? Viondolewe kabisa visiwepo kwa kuwa vinatuharibia hii dunia yetu na kutupotezea amani?

propaganda za vyombo vya Habari zimechangia kwa kiasi kikubwa kueneza chuki na fikra potofu, sio Tanzania tu bali ulimwenguni pote.

Matokeo yake Ndio tunayo yaona Leo, na Kuna hatari ya matokeo mabaya zaidi huko tuendako.
 
Hivi Waisrael wanaabudu dini gani?please I am serious,siijui dini ya majority ya waisrael
 
Kama kweli watuhumiwa waliyafanya hayo; kwa nini waliwalipua hadi Mashehe ambao ni Waislamu wenzao?
 
Naukataa huu utafiti wako, si kweli kama ulivyo andika hapo nilipo "Bold" nyekundu. maelezo yako ulianza vizuri, kama ulivyoelezea wala unga, hapo umewaunganisha na Waislamu wote, hao jamaa pamoja na kuwa wana dini ya Kiislamu, lakini wana kitu kinachowafanya wawe na tabia waliyonayo. Endelea kutafiti.

Back
Top Bottom