Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

tuendelee kujigawa kwa udini, tutaona matokeo yake siku sio nyingi.

Hatujajigawa kidini ila wanaosadikika kufanya ufedhuli huo ni wenye majina hayo.
Wewe ulitaka majina yapi?
Au majina hayo umeshayanasibisha na dini ipi?
Acheni ujinga tusiingilie vyombo vya usalama tuviachie vifanye kazi kwa weledi
hata kama wote waliokamatwa ni waislamu ama wakristo hakuna shida yeyote sheria ichukue mkondo ilimradi tu mtu asionewe au asibambikiwe kesi ambayo si yake.
Huu mzizi tuufumulie mbali kabla haujaenea chini zaidi
Halafu hao wahuni wakuja ndo wanatuharibia Arusha yetu ya amani na upendo.
 
Kuwa kiongozi wa kanisa siyo maana ya kuwa na udini;
hata mama mmoja alikuja kwa mkutano pale akaanza kusema mambo ya
watu wa upande mwingine naye tulimtimua vile vile;

Mungu hakutuachia hayo;
alisema sisi wote ni mfano wake.
kwa hiyo hiyo habari inazungumzia uongo, kwamba wanawasema tu? au unataka kusema nini?
 
We si ulishawahi niambia ni kiongozi wa Kanisa, dah! aisee, ndio maana nilikwambia hilo kanisa unaloliongoza hao waumini sipati picha sijui ni vipi!?
si mkatolic huyo.sema kuna wakatolic kama yeye ambao hawana udini ,na kasema wazi kuwa baadhi yenu wagala mko na matatizo ya kujaribu kuchokonoa waislamu kila mpatapo nafasi.
 
Hii ishu ya Arusha ni ngumu sana...Tatizo la waislam wanahisiwa sababu ya matendo yao,mtafundishanaje Judo misikitini?
Ila kwa ishu ya Arusha bado siamini kama ni ishu ya kidini uhenda anatafutiwa wa kuangushiwa jumba bovu tu...
 
kwa hiyo hiyo habari inazungumzia uongo, kwamba wanawasema tu? au unataka kusema nini?

ndo maana mi husema wewe ni mdini sana.mda wote uko vitani dhidi ya waislamu.hivi kwa akili yako unajhdanganya utashinda?
 
waislam kwa nini msiwe na utaratibu wa kuwatenga waumini wenye mielekeo ya kigaidi?
 
Mkisikia shehe mnakuja huku mbio hadi mnasahau nguo za ndani;
Hao wa kwenu wanapofanya mbona mnakaa kimya.

Wa kwao kina nani?
Watu wanatafuta suluhu wewe unaleta ukona bar hapa
Wahalifu hawana dini hata kama ni mapadre na mashehe
Wewe unataka hao walipuaji wasitajwe?
After all majina ya kiarabu ama ya kizungu hayasadifu dini za watu.
 
Na hatupo hapa kushabikia maovu ya baadhi ya watu wanaofanya kwa kutumia mgongo wa dini.

We are standing firm against those who use our beautiful religion as a shield for their interests.

Kuna siku nishawahi kuiskia audio speech ya mtu mmoja amejitambulisha kama muislam tena yupo msikitin huko huko arusha.

Alikuwa anaongea kwa kutumia lafudhi moja kama ya kilamu hivi.

Alikuwa anaongea speech moja mbaya sana na yenye chuki sana dhidi ya iman zingine.

1.alikuwa anasema kwamba damu yyte ya asiekuwa muislam ni haki.

2.alikuwa anasema kwamba mali zozote za asiekuwa muislam ni haki kuchukuliwa kwan wengine hawana haki hiyo na kadhalika.

3.polisi hawana haki kumiliki silaha mwenye haki ya kumiliki silaha hizo ni muislam na kwamba muislam yyte ukimkuta nazo silaha polisi ni ruksa kumpokonya na kuwa nazo.

4.ni ruksa kumuua kiongozi yyte asiesimamisha uislam tena ukimuua kikwete au pengo itakuwa bora zaid.

Na katika kauli hizo alikuwa anatumia vifungu vya maandiko kiupotoshaji huku akionekana kuungwa mkono na hao wanaomsikiliza.

You see watu kama hawa wakamatwe.

Na ikibid kama kufunguliwa mashitaka ya uchochez wafunguliwe kwani ni watu wanaoamua kwa makusudi kupotosha na kupandikiza chuki kwenye jamii.

Infact hata uislam wenyewe hausemi vitu kama hivyo.

Na haiwez kuvumilika kwa watu wengine kuja kuunyoshea vidole uislam kwa ujumla kwa vitendo vya wapuuz wachache.

Kwahiyo mkuu unakubali tatizo lipo baadhi ya extremist kutumia uislamu vibaya? Au unakataa hakuna tatizo? Siwezi kusema waislamu wote ni wauaji ila kuna watu wanahuharibu uislamu kwa makusudi au kutokujua.
 
Walewale wa mamdogo,hawa watu ni shiiida,hawatakiwi kabisa,wauwaji,wavurugaji wa amani duniani hawa
 
Ukitenda dhambi ambayo inakuathiri wewe na nafsi yako kwanini wengine tuumie? ila unapo amua kutenda dhambi ambayo inawaathiri watu wengine ndio tunalaani kwani hawa unao wahusisha wana makosa gani? mathalani ukienda kupiga bomu kwenye mkutano wa siasa amba unahusisha watu wa dini zote, makabila mengi,watoto kwa wakubwa,wenye dini na wasio na dini,Je, kwanini tusikushangae? maana inaonekana lengo lako lilikuwa ni kudhuru binadamu wenzako jambo ambalo si jemahata kidogo. binafsi najua kuwa wanao potoka hawakosekani katika kundi lolote iwe katika familia, ukoo,dini,kabila,kundi la siasa lakini inapo tokea kuwa kundi fulani kila wakati ni wao lazima tujiulize KWANINI WAO KILA WAKATI? LAZIMA KUNA JAMBO.

Exactly,na hii dini.inabidi ifatiliwe kwa undani sana,kuna makubwa na ya hatari yamefichika ndani,juzi nimesikia kwenye vyombo vya habari watz wamenaswa kenya wakielekea kuungana na alshabaab kwa ajili ya kuja kufanya mashambulizi hapa tz,hao wstu walikua wakihojiwa na majibu waliyojibu ni kwamba wanaitetea dini,na majina yao ndo yaleyale kina yusuph nk,hii ni tabu sana
 
Kwahiyo mkuu unakubali tatizo lipo baadhi ya extremist kutumia uislamu vibaya? Au unakataa hakuna tatizo? Siwezi kusema waislamu wote ni wauaji ila kuna watu wanahuharibu uislamu kwa makusudi au kutokujua.

the same as kuna wakristo wanauharibu ukristo kwa makusudi ama bila kujua.
 
Ni kweli mkuu.
lakini lazima tuwe tunajiuliza maswali ya msingi hata kama tunajaribu kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Jiulize kwa nini dini fulani tu ndio inahusika zaidi katika mambo haya ya ugaidi mifano halisi tunayo, Al shabaab, alqaeda, Boko, hamas na mengine kama hayo mengi tu. nini Kipo nyuma ya haya. Je ni mafundisho yanayotolewa? Au kuna nini, je nini dhamira ya haya yote mwisho wa siku.
mi nadhani kutetea ujinga ni sawa na kufuga bom ambalo kuna siku litalipuka na pasiwepo wa kuweza kulizuia na ndipo itakapo kuwa mwisho wa amani iliyopo sasa licha ya maisha kutupiga.

Hawa jamaa wapo serious and it seems that they are committed to what they are doing and this spirit is takinp up as time goes on. kama haitafanyika uchunguzi wa kutosha ili kujua chanzo, dhamira na kujua nini kinatakiwa kufanywa wakati huu bado mapema. Bas huko tuendako hali itakuwa tete zaidi.

Bila kusahau anti balaka
 
Exactly,na hii dini.inabidi ifatiliwe kwa undani sana,kuna makubwa na ya hatari yamefichika ndani,juzi nimesikia kwenye vyombo vya habari watz wamenaswa kenya wakielekea kuungana na alshabaab kwa ajili ya kuja kufanya mashambulizi hapa tz,hao wstu walikua wakihojiwa na majibu waliyojibu ni kwamba wanaitetea dini,na majina yao ndo yaleyale kina yusuph nk,hii ni tabu sana

Anti balaka
 
Walewale wa mamdogo,hawa watu ni shiiida,hawatakiwi kabisa,wauwaji,wavurugaji wa amani duniani hawa
Kina anti balaka hawatakiwi kabisa, Lord Resistance Army ni shida
 
Exactly,na hii dini.inabidi ifatiliwe kwa undani sana,kuna makubwa na ya hatari yamefichika ndani,juzi nimesikia kwenye vyombo vya habari watz wamenaswa kenya wakielekea kuungana na alshabaab kwa ajili ya kuja kufanya mashambulizi hapa tz,hao wstu walikua wakihojiwa na majibu waliyojibu ni kwamba wanaitetea dini,na majina yao ndo yaleyale kina yusuph nk,hii ni tabu sana
ila haukusikia yule mmarekani alieuawa gaza akilipigania taifa teule?.

Imani yake ndo imemtuma aende israel akajiunge vitani dhidi ya gaza eti anaamini kuwa ataelaani israel nae atalaaniwa.
So wewe umeona upande wa pili upande wako wajifanya huoni.huu ni unafiki.
 
Watu wa iman moja wakawa na kasoro moja,ya kuua watu.Tatizo ni iman hiyo na sio watu.Kuushinda ugaidi lazima Pawepo na mapambano juu ya iman hizi

sasa wewe ------, kwa hiyo ukristo ni ushoga kwamaana ndoa za mashoga zinafungiwa makanisani. ili kupambana na ushoga ni lazima tupambane kwanza na ukristo, ukristo ni ushenzi unaofuga mashoga.
 
sasa wewe ------, kwa hiyo ukristo ni ushoga kwamaana ndoa za mashoga zinafungiwa makanisani. ili kupambana na ushoga ni lazima tupambane kwanza na ukristo, ukristo ni ushenzi unaofuga mashoga.
kupambana na uislamu wataweza?.si wawaulize wale mapope wa zamani ile crusade iliishiaga wapi?..wanajipa matumaini tu.
 
Ni kweli lakini hakuna wakristo/mkristo wa kulipua halaiki ya watu mkuu.

kumbe huna taarifa kuwa bush kalipua watu kama milioni moja kule irag?.
Na milioni tena kule afghnstan.na wengine wakaripua
Milion tena kule vietnam.
Bila kusahau malaki ya watu kule hiroshima.
Ama we kuripua maanake mpaka utumie bomu la kujifunga kiunoni?
Please man.
 
Back
Top Bottom