Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

si mkatolic huyo.sema kuna wakatolic kama yeye ambao hawana udini ,na kasema wazi kuwa baadhi yenu wagala mko na matatizo ya kujaribu kuchokonoa waislamu kila mpatapo nafasi.
Wagala ndio kina nani?
 
Duh wadau sio vizuri kuhusisha uhalifu huu na dini, maana hata masheikhe wamemwagiwa tindikali zaidi ya mmoja. Tusichafue hali ya hewa na kupanda mbegu za chuki huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine tu kwa kujificha kwenye dini, maana ni mahali pa mwisho kuangaliwa, tukumbuke ya kibwetere, na hawa wenzetu mbona tunakula na kuishi nao jamaniii
 
Boya mkubwa wewe acha kushabikia ugaidi, najua huna kazi za kufanya.
we mburumundu ungekuwa na kazi ungeshinda kutwa nzima sebleni kwa dadayako ukiangalia al jazeera?
 
Nimeanza kuwaelewa waliokuwa wakisema kutenganisha ile dini na ugaidi ni jambo gumu sana. Asante sana Ponda kwa kutufikisha hapa. Umeshatugawa kwa mahubiri yako ya chuki, umefanikiwa mpango wako, ila hakuna tone la damu lililomwagika ambalo halitakurudia siku ya hukumu.
Ova.
 
My dear you are either trying to be nice, au you are in denial maana ukweli is so ugly. Msome jamaa hapo juu aliyepoint out kuwa watu wa imani ile Ile wakifanya Yale Yale unategemea nini?

Recruitment inafanyika wapi? Angalia Yule shehe wa msimamo wa Kati wanavyojaribu kumuua.

Of course si wote tena ni wachache sana, lkn hao wachache wana sauti na wanafanya madhara makubwa.

Dearest, am neither of the two, was trying to show the obvious facts.............despite the fact that wachache ni waovu haitufanyi hata wale ambao sio waovu na ni majority tuwavictimize.
 
Na kwa hatua hii, Nadhani tunahitaji mjadala kuhusu mustakabali wa nchi yety.

hilo ndilo la msingi, mwanzoni i had feelings kwamba ni waislamu ndo tatizo lakin nikaja gundua kwamba nakosea na kwamba tatizo liko kwa watu/mtu binafsi.

usishangae ukaskia kuna wengine ni christians wanabadili majin ili tu yasomeke ya kiisalam ili kuonyesha iyo picha mbaya sina maana kwamba ndivyo hali ilivyo.

to me the best move shall be kujadili kwa kina juu ya amani yetu na kwamba tunataka Tanzania iliyo vipi. priority yetu ni kwamba Amani tuliyo nayo tusiichezee manake kuiondoa ni just a fraction of minute lakin kuirudisha it may take years, tena with costs.
 
Sasa tumeshawagundua. si rahisi kutenganisha uislam na ughaidi. hata uislam ulivyoenezwa ilikuwa kwa njia za terror ya hali ya juu, zikiongozwa na Muddy. ilikuwa au unachaguwa kuvaa msuli au kuuliwa. nadhani habari hii ituamshe tufahamu aina ya watu tunaoishi nao. tuwe makini sana, waislamu ni maghaidi, full stop
 
Sasa tumeshawagundua. si rahisi kutenganisha uislam na ughaidi. hata uislam ulivyoenezwa ilikuwa kwa njia za terror ya hali ya juu, zikiongozwa na Muddy. ilikuwa au unachaguwa kuvaa msuli au kuuliwa. nadhani habari hii ituamshe tufahamu aina ya watu tunaoishi nao. tuwe makini sana, waislamu ni maghaidi, full stop

Ungekalisha your behind hapo ukaandika???!!!
 
Muheshimiwa Raisi wangu Kikwete, waheshimiwa wabunge, nawaombeni sana tena, mtunge sheria kali juu ya watu watakao tiwa hatiani kwa kosa la ugaidi, ni bora wauwawe kabisa. Mimi mwenyezi Mungu amenijalia kutembea nje ya Africa na ndani nchi za Africa, kwakweli nchi yetu ina amani sana. mambo mengine ya ukosefu wa ajira, uchumi, ufisadi ni kweli ni kero lakini amani ni jambo ambalo sijaliona nchi zote nilizo tembea. hawa magaidi wanataka kuivunja amani.

narudia, mheshimiwa Raisi nakuomba mimi raia wako izinisha wale watakao thibitika kabisa kuwa walihusika na mabomu wanyongwe tu. ndo hayo baba yangu.
 
Ni Kweli ndg, n lazima tupambane na hawa ma padree na maaskofu wanaofungisha ndoa za mashoga makanisani. makasisi wameona kuwa ni dili kuwalawiti watoto wa kiume. vinginevyo ukristo wetu utakuwa kama kijiji cha mashoga na makahaba.
Nadhani jina lako linajieleza kinagaubaga. Too selfish my brother
 
Tafteni chqnzo wala msiisingizie dini ya Mola wenu nyie. Kule kuitwa majina ya dini sio kuwa na imani ya hiyo dini. Ingelikuwa ni dini inagombana matukio hayo yoote yaliyofanywa na hao watu, ni mawili tu nimeona yapo nje ya dini hiyo ya majina hayo. Sasa, utasemaje ati ni dini inaendekeza hayo?? Huku ni kuonesha uvivu wetu wa kufikiri ndo maana tuna majibu rahisi tuu. Ati ni dini na ukabila na ukanda. Tukae chini na kufikiri, where is the loop hole?? Gaidi hana dini wala kabila.
 
Sasa tumeshawagundua. si rahisi kutenganisha uislam na ughaidi. hata uislam ulivyoenezwa ilikuwa kwa njia za terror ya hali ya juu, zikiongozwa na Muddy. ilikuwa au unachaguwa kuvaa msuli au kuuliwa. nadhani habari hii ituamshe tufahamu aina ya watu tunaoishi nao. tuwe makini sana, waislamu ni maghaidi, full stop

Ndio Kaka kama ulivyo ukristo ni ushoga. makristo yanafungishwa ndoa za kishoga makanisani. ukristo unafuga ushenzi huu. makanisa yanatumika kuhamasisha ushoga. naamini kuwa kila mkristo anayeenda kanisani basi ni shoga kwa kuwa makanisa yanahamasisha ushoga. tupinge huu ushenzi wa ukristo ili tupambane na ushoga duniani.
 
sote tumetenda dhambi na kupungukiwa na upungufu wa Mungu.
Ukialikwa karamuni ni vyema ukaa viti vya nyuma, ili mwenye karamu akukweze kwa wakati wake.

Unastruggle kumfuraisha OLESAIDIMU ili iweje au unamtaka?...maana moyoni mwako ukweli waujua fika
 
Last edited by a moderator:
Unastruggle kumfuraisha OLESAIDIMU ili iweje au unamtaka?...maana moyoni mwako ukweli waujua fika

hahahhahhahha................mapoyoyo utayajua tuu huwaga hata hamnisumbui.................
stop labeling ndio hawa wamekosa why naming kwamba ni waislam wote?
 
Ndio Kaka kama ulivyo ukristo ni ushoga. makristo yanafungishwa ndoa za kishoga makanisani. ukristo unafuga ushenzi huu. makanisa yanatumika kuhamasisha ushoga. naamini kuwa kila mkristo anayeenda kanisani basi ni shoga kwa kuwa makanisa yanahamasisha ushoga. tupinge huu ushenzi wa ukristo ili tupambane na ushoga duniani.
sasa haya ndo ambayo nimekuwa nayapinga................
wewe wakristo ni mashoga umewaona wangapi? na kwann unawalebo wakristo wote vibaya?
kama ambavyo tunapinga kwamba sio waislam wote wabaya kadhalika sio wakristo mashoga.......FYI ushoga uko pwan na pwan ya bara hindi kwa hapa EA na mwambao huu umejaa waislam je tuseme waislam ni mashoga?

achen lebo kwa sababu ya dini, kila mtu akikosea anakosea kama yeye na sio kama kundi

cc matumbo
 
Last edited by a moderator:
Unastruggle kumfuraisha OLESAIDIMU ili iweje au unamtaka?...maana moyoni mwako ukweli waujua fika

matumbo
1. Lets say yes ananifurahisha, mimi nikifurahi itasaidia kupata amani nchini mwetu na kufanya watu waishi bila hofu????!!!! Mgahawa uliolipuliwa hivi hasara ya owner inakadiriwa kuwa shilingi ngapi???!!!Hana mkopo huyu mtu na mipango mingine kutegemea pale????!!

2. Bila kumkosea heshima gfsonwin, say ananitaka au tunatakana au mimi namtaka yeye, wahanga wa haya matukio wanafaidika nini na uhusiano huo (kama
ungekuwepo)?????!!!!!

3. Say sisi ni wapenzi, tunatakana na kufurahishana hii inatosha kukubali amani itingishwe tufumbie macho sababu tu sie tumo dimbwi la mahaba???!!!! Kikinuka seriously hayo mahaba yatafanyikia wapi??????

4. Moyoni mwake ukweli anaujua fika, labda!!!! Yawezekana kajisahau ki ubinaadamu chukua jukumu la kumkumbusha kwa faida ya wote hapa mkuu!!!

Hili jambo sio la mtu mmoja wala la dini fulani ila tukiliacha likakua na kupata sehemu ya kujishikiza katika jamii yetu basi wahanga ni woote mpaka watoto wetu achilia mbali wapenzi wa kufikirika, wanairidhishana mitandaoni, na wanaoabudu pamoja!!!!

Kumbuka; 1994 genocide haikuchagua kanisa wala msikiti,password utaisahau na username utaikana hii!!!
 
Last edited by a moderator:

Mheshimiwa ninakuomba wewe ikiwa kama baba yetu wa pili wa nchi hii, kwa maana wa kwanza ni Mungu. ninakuomba sana kwamba hawa watuhumiwa wa matukio ya ugaidi, kesi zao zikisikilizwa vizuri, bila kuonea mtu yeyote, rangi yake au dini yake. ushahidi ukajitoshereza kabisa. watakao bainika kweli walilipua mabomu,, na kuomba uwanyongelee mbali.
au hayo mabomu walio kamatwa nao najua yatakuwa yako police, mheshimiwa rais nakuomba utoe amri hayo mabomu yaliyopo walipuliwe na wao live tuone ili wajue utamu wake.

Nimefikia hatua hii ya kutoa ombi hilo baada ya kuumia sana kuona na sisi Tanzania tumeaza ugaidi jamani!!! ninazo kumbukumbu za matukio ya ugaidi zilizo nikuta nikiwa nje ya nchi yaani kama si Mungu hata na mimi ningekufa.mfano mwaka 2008 nilikuwa Mombai india, mtu mmoja kutoka pakstani jina lake Casabu, alilipua jingo la hotel nililo kuwa nimelala paitwapo tajmahara presedantio hotel. watu walikufa na wengine tukapona.

Nimeshuhudia matukio kama hayo nchi nyingi, ila nikabaki namshukuru Mungu kwa ajili ya nchi yangu.nashangaa kuona na nchi yangu watu wameanza. tafadhari mheshimiwa wanyongelee mbali. na nyie police mlio wakamata mnastahili pongezi sana. asante sana yaani tena sana. MUNGU IBARIKI TANZANIA, ILINDE TANZANIA, MBARIKI RAIS WETU. AMINA
 
Back
Top Bottom