Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Haya madini mengine ya kipuuzi sana.

hivi we pimbi unazani tumekusahau? we si ndo ulianzisha mada ya al jazeera tv? umeacha kulala seblen kwa dada yako? mtu mwenyewe hata kubadili chanel hujui
 
Kama kweli watuhumiwa waliyafanya hayo; kwa nini waliwalipua hadi Mashehe ambao ni Waislamu wenzao?

unakuta hapa lengo lilikuwa ni kuchonganisha kati ya imani mbili ili amani isiwepo.
Nani sasa ananufaika kwa hili?hilo ndo swali la kujiuliza.
 
Hivi Waisrael wanaabudu dini gani?please I am serious,siijui dini ya majority ya waisrael

Wengi wao dini yao inaitwa JUDAISM japo kuna waislam wachache na wakristo wachache sana. Na dini yao ni Abrahamic kama ulivyo ukristo na uislamu.
 
hivi we pimbi unazani tumekusahau? we si ndo ulianzisha mada ya al jazeera tv? umeacha kulala seblen kwa dada yako? mtu mwenyewe hata kubadili chanel hujui
Boya mkubwa wewe acha kushabikia ugaidi, najua huna kazi za kufanya.
 
Hayo ndio matunda yanayoongelewa hapa, ni lazima unabii utimie

Matayo 7:15-20
Manabii Wa Uongo
[SUP]15 [/SUP]"Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. [SUP]16 [/SUP]Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? [SUP]17 [/SUP]Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. [SUP]18 [/SUP]Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. [SUP]19 [/SUP]Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. [SUP]20 [/SUP]Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao."

Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
3 Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.
4 Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.
 
As far as I know no religion teaches violence but people use their religious beliefs to justify their violence. The Crusades for example and you know how many more

Dig deep you will find the hypocrisy behind some religions
 
Ni kweli mkuu.
lakini lazima tuwe tunajiuliza maswali ya msingi hata kama tunajaribu kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Jiulize kwa nini dini fulani tu ndio inahusika zaidi katika mambo haya ya ugaidi mifano halisi tunayo, Al shabaab, alqaeda, Boko, hamas na mengine kama hayo mengi tu. nini Kipo nyuma ya haya. Je ni mafundisho yanayotolewa? Au kuna nini, je nini dhamira ya haya yote mwisho wa siku.
mi nadhani kutetea ujinga ni sawa na kufuga bom ambalo kuna siku litalipuka na pasiwepo wa kuweza kulizuia na ndipo itakapo kuwa mwisho wa amani iliyopo sasa licha ya maisha kutupiga.

Hawa jamaa wapo serious and it seems that they are committed to what they are doing and this spirit is takinp up as time goes on. kama haitafanyika uchunguzi wa kutosha ili kujua chanzo, dhamira na kujua nini kinatakiwa kufanywa wakati huu bado mapema. Bas huko tuendako hali itakuwa tete zaidi.

Tatizo ww umekuwa brain washed na umeingia kwenye mtego wa malengo ya kuanzishwa neno gaidi
Ulishawahi sikia mmarekani anaitwa gaidi? Je anayoyafanya ni sawa watu wamekufa iraq ,afghan stan,liberia, congo.....wanachofany israel ni sawa ?????ugaidi km upo ni ndani ya mtu na wewe unajua alshabab wanachpigania mbona hawakuja piga tz japo soon watakuja™™™

Gadafi kaonekana mbaya kisa kasema afrca ina utajiri mwing inaweza jiendesha bila misaada ya nje tuanzishe imf yetu na yy atatoa initial fund

Iraq kapigwa eti ana silaa za sumu lakini fact ni kuwa alikataa kuendelea kutumika kupigana na iran

Afghanstan ni islamic state km walivyoanzisha somalia
Kwahyo hapa ni either uwe mjinga tukisema tunataka gesi au madini kwa mikataba tunayotaka sisi utupe au ukikataa wewe ni gaidi na support kubwa tunawawpa sisi wenywe kwa kuendeleza slogan yao
 
Lakini suala la kukosa University hilo wakujilaumu ni waislamu wenyewe na Bakwata yao. Bakwata ilikuwa na viwanja vingi na vikubwa kwa ajili ya kuanzisha shughuli kama hizo lakini wanakuja wenzenu kama kina Manji wanavinunua viwanja hivyo kwa bei ya kutupa mnaangalia tuu.
Ziko jumuia za kimataifa kubwakubwa tuu huko uarabuni zingeweza kufadhili michakato ya kuanzisha vyuo vikuu kwa kushirikiana na Waislamu wa hapa ila kinachofanyika ni kuleta kwa mashindano kilo na kilo za Tende na watu wanafurahia.
matokeo yake ni vijana wa imani hiyo wengi kukosa elimu ya juu na kuwa ngumu kupata ajira.

A bitter pill, with medicinal value!!!!!
 
Hayo ndio matunda yanayoongelewa hapa, ni lazima unabii utimie

Matayo 7:15-20
Manabii Wa Uongo
[SUP]15 [/SUP]“Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. [SUP]16 [/SUP]Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? [SUP]17 [/SUP]Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. [SUP]18 [/SUP]Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. [SUP]19 [/SUP]Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. [SUP]20 [/SUP]Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.”

Yohana 16:2-4
2 Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada.
3 Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi.
4 Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.

unamaanisha nabii netanyau?
 
huwezi kujudge kitu kama hujajua motive ni nini.nakupa mfano wa Isis wanajiita islamic,japo wamepewa mafunzo ya kijeshi na wamarekani pale jordan kwa lengo la kumpindua assad kwani assad anatumika na iran na pia russia na hivo kuzuia maslahi ya marekani na kisha operation zao waka expand hadi irag kwa vile utawala wa irag nao unatumika na iran.yani kwa ufupi hao isis wanatumia mgongo wa dini kwa masilahi na ajenda zilizojificha.
Tukirudi hapa arusha,mtu hulipui tu watu kwa kujisikia kulipua watu lazima kuna motive,na kama haisemwi itakua ngumu kujua .maana sisi hatupakani na somalia,so kwanini hawa watu wameendesha ulipuaji wa makanisa na kutarget mashehe?.
Lengo lao ni nini?,kuvuruga amani?
Kama ndivyo,nani ananufaika na kuvurugwa kwa amani kwa sasa.,nani kawatuma?.
Nani anafinance?.
Nadhani makachero hawajaminya mapum*u kiasi cha kutosha hawa watu.
Ama hatuambiwi habari yote.
Intelligence yeyote ya watu makini na wenye upeo na tafakuri hujiuliza maswali haya. Na hapa ndo utaona hata wanaoitamani kazi ya uafisa usalama wakishindwa kujenga msingi mkuu wa namna ya kuzifanya kazi hizi. Haya ni maswali ambayo wachache wanaweza kaa chini kuyatengeneza na kutafuta majibu yake. Wengi wetu tunakurupuka bila kushughulisha akili zetu
 
Tatizo ww umekuwa brain washed na umeingia kwenye mtego wa malengo ya kuanzishwa neno gaidi
Ulishawahi sikia mmarekani anaitwa gaidi? Je anayoyafanya ni sawa watu wamekufa iraq ,afghan stan,liberia, congo.....wanachofany israel ni sawa ?????ugaidi km upo ni ndani ya mtu na wewe unajua alshabab wanachpigania mbona hawakuja piga tz japo soon watakuja™™™

Gadafi kaonekana mbaya kisa kasema afrca ina utajiri mwing inaweza jiendesha bila misaada ya nje tuanzishe imf yetu na yy atatoa initial fund

Iraq kapigwa eti ana silaa za sumu lakini fact ni kuwa alikataa kuendelea kutumika kupigana na iran

Afghanstan ni islamic state km walivyoanzisha somalia
Kwahyo hapa ni either uwe mjinga tukisema tunataka gesi au madini kwa mikataba tunayotaka sisi utupe au ukikataa wewe ni gaidi na support kubwa tunawawpa sisi wenywe kwa kuendeleza slogan yao
wamarekani wametakaswa kwa damu ya yesu na kila wanalofanya kimetakaswa.
 
Waislam wananyimwa elimu ajira ktk sekta rasmi unategemea tufanye kazi gani?yaani wewe jirani yangu unakula na kusaza mimi nikuangalie tuu huku mimi nakufa kwa njaa.Bakwata haina university hata moja mna kazi ya kuwaita tuu ktk futari

Kuhusu elimu ni swala la desturi tu, mbona mwarabu anajenga masjidi kwenye kila shell ya mafuta lakini siyo nursery kwenye kila msikiti. Mkoloni wa Kizungu alijenga shule kila penye kanisa, mwarabu alifanya nini?, watu wanavutiwa zaidi kwenda saudia kusoma au wanavutiwa na Uingereza?. Haya mambo dusturi bwana hata boko haram maana yake elimu ya magharibi ni najsi
 
hayo ndio matunda yanayoongelewa hapa, ni lazima unabii utimie

matayo 7:15-20
manabii wa uongo
[sup]15 [/sup]“jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. [sup]16 [/sup]mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? [sup]17 [/sup]vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. [sup]18 [/sup]mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. [sup]19 [/sup]kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. [sup]20 [/sup]hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.”

yohana 16:2-4
2 watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea mungu ibada.
3 na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua baba wala mimi.
4 lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia. Sikuwaambia hayo tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwapo pamoja nanyi.

kila siku mada zinazopata comment nyingi ni zile zenye mahusiano na mazingira ya kuandika vibaya uislam ,mnafanya mkidhani mnaushusha kumbe ndo kwanza mnaupandisha

your plan:to fight against islam

allah's plan :to protect islam

result;:islam grows like never before
 
Back
Top Bottom