kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
- Thread starter
- #161
Huzipendi kucha zako na meno yako? Au unataka kuwa mgeni wa mabwepande?kama ni soweto walipuaji ni polisi...
Huzipendi kucha zako na meno yako? Au unataka kuwa mgeni wa mabwepande?kama ni soweto walipuaji ni polisi...
Na kinachowaponza walio wengi hasa humu jamvini, ni kusapoti kila kinachofanywa na wenzao wa dini hiyo hata kama ni kibaya. Kwa mfano support inayotolewa kwa wapalestina kisa wanapigwa na waisrael na kuacha kukemea Boko haramu eti kwa sababu wanaofanya ni wa dini hiyo. Natamani sana waTZ tungeacha tabia hizo, tukiemee kila baya linalofanywa na whoever bila kujali ni wa imani ganiDeviant characters wakiwa na kitu kinachowaunganisha kama dini au pombe au bange lazima tuhoji hicho kinachowaunganisha. mf. kinachowaunganisha mateja ni unga. ili kutatua matatizo ya mateja lazima tu address unga. hivyo hivyo uislam kwasababu walipua mabom wote ni waislamu. magaidi wote ni waislam hii inatufanya to deduce kwamba uislam ni tatizo ndani ya jamii yetu. tuuepuke
Kwahiyo mkuu unakubali tatizo lipo baadhi ya extremist kutumia uislamu vibaya? Au unakataa hakuna tatizo? Siwezi kusema waislamu wote ni wauaji ila kuna watu wanahuharibu uislamu kwa makusudi au kutokujua.
Alitaja watuhumiwa wengine kuwa ni Abashar Hassan Omar (24)- shekh wa msikiti
Abdulrahman Hassan (41) - Imamu wa msikiti
Morris John Muzi (28) - mfanyakazi wa Benki ya Stanbic Arusha.
Mya take: Ukiangalia kwa makini style iliyotumika kutaja wasifu wa wahusika unaweza uka'note jambo .
Hivi Waisrael wanaabudu dini gani?please I am serious,siijui dini ya majority ya waisrael
Naukataa huu utafiti wako, si kweli kama ulivyo andika hapo nilipo "Bold" nyekundu. maelezo yako ulianza vizuri, kama ulivyoelezea wala unga, hapo umewaunganisha na Waislamu wote, hao jamaa pamoja na kuwa wana dini ya Kiislamu, lakini wana kitu kinachowafanya wawe na tabia waliyonayo. Endelea kutafiti.
Tatizo ni dini ya Kiislamu na sio vinginevyo. Majina ya wahusika na nyadhifa zao ni DNA tosha.Tatizo mnaamini sana "dini" na "labeling" !!!!!
Deviants lazima watoke miongoni mwa jamii
sasa wewe ------, kwa hiyo ukristo ni ushoga kwamaana ndoa za mashoga zinafungiwa makanisani. ili kupambana na ushoga ni lazima tupambane kwanza na ukristo, ukristo ni ushenzi unaofuga mashoga.
Dini ipi???!!
Na kinachowaponza walio wengi hasa humu jamvini, ni kusapoti kila kinachofanywa na wenzao wa dini hiyo hata kama ni kibaya. Kwa mfano support inayotolewa kwa wapalestina kisa wanapigwa na waisrael na kuacha kukemea Boko haramu eti kwa sababu wanaofanya ni wa dini hiyo. Natamani sana waTZ tungeacha tabia hizo, tukiemee kila baya linalofanywa na whoever bila kujali ni wa imani gani
But all of the terrorist groups are muhammadic and worship Allah and read the diabical book of Jibr. Give me one reason why I shouldn't blame them.Can we really blame Islam for all of this mess that's been happening because Islam is undoubtedly a religion of peace.It is not fair to judge Islam blindly based on the actions of the terrorists.
Hawa wauaji wa Arusha wanalitendea vyema agizo ili
Mungu anaagiza kiumbe chake kipige kiumbe kingine, ingawa viumbe vyote kaviumba yeye, na anaendelea kuumba kafir
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mungu.
Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
Mombasa wanakaa watu gani nasikia chimbuko lake (ushoga) ni huko!
kumbe huna taarifa kuwa bush kalipua watu kama milioni moja kule irag?.
Na milioni tena kule afghnstan.na wengine wakaripua
Milion tena kule vietnam.
Bila kusahau malaki ya watu kule hiroshima.
Ama we kuripua maanake mpaka utumie bomu la kujifunga kiunoni?
Please man.
My dear you are either trying to be nice, au you are in denial maana ukweli is so ugly. Msome jamaa hapo juu aliyepoint out kuwa watu wa imani ile Ile wakifanya Yale Yale unategemea nini?
Recruitment inafanyika wapi? Angalia Yule shehe wa msimamo wa Kati wanavyojaribu kumuua.
Of course si wote tena ni wachache sana, lkn hao wachache wana sauti na wanafanya madhara makubwa.
huo ulikua ni mfano tu,kwani haitakuwa ajabu ukakuta wanatekeleza ajenda ya nchi haitatawalika kama nilivyodokeza kuwa isis wanatumika na marekani ambao si islam.hawa wa arusha usione ajabu ikaja fahamika wanatumika na cdm.