3. Alipopewa tuhuma na Saanane na Mamuya, badala ya kujibu hoja, aliandika kwa hasira, kihuni na kosa kubwa alilolifanya ni kuzungumza wazi wazi Imani ya kishirikina. Maneno kama kuaga kwetu, panya kutokusalimika n.k. hayakuwa maneno ya kuzungumzwa na ROLE MODEL ambaye ni RAIS MTARAJIWA.
/QUOTE]
Hapo kwenye RED - Kuongozwa na Rais mshirikina ni hatari sana kwa afya ya demokrasia huru!
kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru!
Chama
Gongo la mboto DSM
Kweli nimeamini kupenda ni sawa na wendawazimu.Zitto hamshindi mnyinka kwa hoja.,kwa mtu yeyote makini,atakubaliana na mm.
hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo mchaga wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Mkuu hii wala sio kupenda,we jitahidi tu kuanzia leo kuwasikiliza zitto na Mnyika,na unapowasikiliza sikiliza kwa kutumia akili sio moyo.Kweli nimeamini kupenda ni sawa na wendawazimu.
SEBM
kwa nini usirudi na ID yako ya kawaida? Zitto amewajibu vile inavyotakiwa mnajitahidi sana kumfanya slaa hayumo kwenye sakata hili; ukweli babu ndiye mhusika mkubwa kina Ben Saanane ni vikaragosi tu vinatumiwa kama ambavyo wewe unavyotumiwa; slaa ameshadanganya mengi sioni huo utukufu unaotaka kumpa!
Chama
Gongo la mboto DSM
Kweli ZZK alikuwa anamfeel sana Wema ktk picture ya pamoja,diamond sijui na kaufadhili ka ile show ya watumwa waliohisi kuwa utumwa umepungua na hivyo wanahitaji uongeza sijui kama alishtuka au alivumilia?kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru! Chama Gongo la mboto DSM
kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru!
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu wangu chama,
Punguza mapovu. Punguza mihemko. Hapa tunajadiliana kwa hoja. Kuna usemi unasema, " ... na asiye na dhambi, awe wa kwanza kumtupia jiwe mama huyu.." Unajua tafsiri na maana ya maneno haya?
Usitake tukaanza kujadili maisha binafsi ya watu. Wewe una maisha yako binafsi. Katibu Mkuu na Naibu wake wana maisha yao binafsi pia. Unakumbuka ile habari ya " wale wana ndoa wawili (Mungu awarehemu) na ile tuhuma iliyopelekea viapo vya kula kondoo kutokana na kutuhumiana kusaliti ndoa?"..
Nakuomba tusifike huko
Nakala Taswira, Mungi, Mingoi, PhD
Zitto ktk siasa hana tofauti na akina Boban, na chuji.Ni walewale wasio na faida za ukaidi wa kijinga.Ni uchokoraa tuu, boban habebeki wala hana chochote zaidi ya kiwango cha kutosha compliment siasa za majungu kwa kiasi cha kuchanganya makundi tuu ila hakuna kitu. Boba na chuji wana dhamani gani nje ya nchi hata ktk timu za bongo tuu hawana thamani hiyo.NI vitabia vya kijinga vinavyorudisha kigoma na Tabra nyuma, wao best achievement ni kuleta matatizo na ubishi wa vijiwe vya gahawa na kuhisi kuwa watajenga personal profile.zzt ni jembe hilo lipo wazi sana.....kwa jinsi baadhi ya wana cdm wanavyo muandama sijui kwanini wanafikia huko,lakini anapokuwa pale bungeni na kusimamia hoja barabara wanamkubali sana ila linapo kuja swala la kutaka kugombea madaraka ndani ya cdm jamaa anaonekana hafai....
uROHO GANI ULIO UONA
WEWE?SISI TULIO KANDA YA ZIWA TUNAMKUBALI SANA ZITO KWELI NI JEMBE.SONGA
MBELE ZITO USITISHIKE NA WATU WACHACHE SANA WANAOKUCHAFUA.
handodi= "handled". - Jamani mkiamua kuandika kiswahili muandike kiswahili tuuu.
kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru!
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu hii hoja imekujaje tena? mbona naona kama imekurupuka hivi,kwani imelenga nini hasa?na je ujembe wa Zitto nani amejitokeza kukupinga?na hata hivyo ukanda nao umekujaje?lakini hao uliowataja nao ni wa kanda gani uloitaja vile,kiongozi watu wengine mnaokolewa na ile hali ya kutumia ID hata kama siyo ya kweli,maana hapa unakurupuka ili kuleta migongano,lakini kumbuka uko nyuma ya keyboard ya computer au laa kwenye kijisimu chako nk.ila kama wewe ni mwerevu na unao uwezo wa kufanya tathimini ndogo tu kwa ufasaha tena sio lazima tafiti ndogo hiyo iwe scientific utagundua kwamba wanaochukizwa na harakati za kuigawa CDM kwa maslahi binafsi na uroho wa madaraka,na ile hali ya kuzidiwa sifa na kudhani kwamba kila unachokisema kiwe ndio hicho na kisipingwe na mtu.mnajindanganya wewe na tajiri yako,watu wengi hawataki CDM ibomolewe na wachache mnapambana na nguvu ya umma,simameni wazi majukwaani muone kitakachowapata.Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Mungu akusamehe bure kwani haujui ulinenaloSina chuki na wewe isipokuwa matendo yako ndo siyapendi na sikubaliani nawe. Mimi sitegemei siasa kuendesha maisha yangu kwahiyo siwezi kuweweseka zaidi sana wewe ndiye unaweweseka baada ya mipango yako ya usaliti kubainika.
Wasaliti wote mahali pao ni katika ziwa la moto. Ninakuhurumia ulivyojimaliza mwenyewe, umejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.
Nikukumbushe pia kwamba sihitaji kumuuliza Saanane juu ya ID yako nyingine, tayari tumedhaambiwa wewe na kundi lako mna ID kama 20 hivi mnazotumia kujibu mashambulizi hapa JF pamoja na kukusifu usiku na mchana!
Zitto ktk siasa hana tofauti na akina Boban, na chuji.Ni walewale wasio na faida za ukaidi wa kijinga.Ni uchokoraa tuu, boban habebeki wala hana chochote zaidi ya kiwango cha kutosha compliment siasa za majungu kwa kiasi cha kuchanganya makundi tuu ila hakuna kitu. Boba na chuji wana dhamani gani nje ya nchi hata ktk timu za bongo tuu hawana thamani hiyo.NI vitabia vya kijinga vinavyorudisha kigoma na Tabra nyuma, wao best achievement ni kuleta matatizo na ubishi wa vijiwe vya gahawa na kuhisi kuwa watajenga personal profile.
Mkuu hii hoja imekujaje tena? mbona naona kama imekurupuka hivi,kwani imelenga nini hasa?na je ujembe wa Zitto nani amejitokeza kukupinga?na hata hivyo ukanda nao umekujaje?lakini hao uliowataja nao ni wa kanda gani uloitaja vile,kiongozi watu wengine mnaokolewa na ile hali ya kutumia ID hata kama siyo ya kweli,maana hapa unakurupuka ili kuleta migongano,lakini kumbuka uko nyuma ya keyboard ya computer au laa kwenye kijisimu chako nk.ila kama wewe ni mwerevu na unao uwezo wa kufanya tathimini ndogo tu kwa ufasaha tena sio lazima tafiti ndogo hiyo iwe scientific utagundua kwamba wanaochukizwa na harakati za kuigawa CDM kwa maslahi binafsi na uroho wa madaraka,na ile hali ya kuzidiwa sifa na kudhani kwamba kila unachokisema kiwe ndio hicho na kisipingwe na mtu.mnajindanganya wewe na tajiri yako,watu wengi hawataki CDM ibomolewe na wachache mnapambana na nguvu ya umma,simameni wazi majukwaani muone kitakachowapata.