CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 22,996
kingkongtz sijui kama umesoma ukaelewa hiyo comment niliyoi quote kama hujaisoma nakushauriUshauri huu hapaaa...January nenda veta...kasomee welding...Ada 400000...ni miezi mitatu Tu.....ni short kozi...uzuri NI kwamba inaanza mchanaa miss ya saw Tisa....so kwa asubuhi tafuta kijiwe cha kuuza miogo.,......mpaka Sasa Saba utakuwa umepata pesa ya nauli na hata ya Kula...pia na Kodi juu ndani ya miezi mitatu...baada ya kupata ujuzi wako... Kumbuk wakati huo pesa nyingine ilipaki uliyopewa umeweka benk....baada ya kumaliza kozi.....Rudi kwenu mkoani ukiwa tayali na ujuzi wakoo....au Baki bongo uanze Maisha....ninja mashine yako ya welding na vifaa vyote.....utakuwa umetumia kama 70000....tafuta eneo la wazii anzisha hudumaa ya welding.......faida yake.....utakuwa umepata ujuzi wa kudumu....pili Maisha ya uwakika....umejiajilii....mtaji hautopotea....lakinii ukienda tofauti hapoo biashar hauna uzoefu nayo na mtaji utapoteaaa.....wape salaaaaamm...
rudia kuisoma hii comment herufi kwa herufi neno kwa neno ukimaliza nenda kaingie katika utendaji.
nakusihi ndugu yangu usiwe na haraka ya pesa,fata huu ushauri Trust me siku 1 utakuja kumkumbuka TEMBO WANGU