Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,633
- 2,299
Nenda vijiji vya kilombero kama vile kimbwe,uchindile na kitete huu ni msimu wa mavuno ya maharage wana uza kg moja tsh 1000 kisha peleka kwenye uhitaji hususan dar nimetoka huko juzi.
Toa ushauri kulingana na location.Kwa pesa hiyo nakodisha shamba hekari 5 nalima mahindi na maharage, Kukodisha shamba Tsh 200,000/=
Naandaa shamba kwa Tsh 300,000/=
Mbolea nanunua kwa Tsh 300,000/=
Mbegu nanunua Tsh 200,000/=
Gharama za kupanda Tsh 200,000/=
Kupalilia ×2 Tsh 200,000/=
Kuvuna Tsh 200,000/=
Jumla kuu 1,600,000/= unabaki na laki nne ya kulinda mfuko.
Ndani ya miezi 3 utavuna maharage si chini ya gunia 5 @Tsh120000~150000/=kwenye maharage utapata Tsh 500,000/=~700,000/=
Baada ya miezi 4 kwa hekari 5 utavuna gunia 70~90 kutegemeana na eneo la shamba.
Tufanye upate gunia 75 yaani kila hekari moja itoe gunia 75, gunia moja uuze kwa Tsh 50,000/= unapata million 3.5 ndani ya miezi 4 faida Tsh 2M.
Kwa pesa hiyo nakodisha shamba hekari 5 nalima mahindi na maharage, Kukodisha shamba Tsh 200,000/=
Naandaa shamba kwa Tsh 300,000/=
Mbolea nanunua kwa Tsh 300,000/=
Mbegu nanunua Tsh 200,000/=
Gharama za kupanda Tsh 200,000/=
Kupalilia ×2 Tsh 200,000/=
Kuvuna Tsh 200,000/=
Jumla kuu 1,600,000/= unabaki na laki nne ya kulinda mfuko.
Ndani ya miezi 3 utavuna maharage si chini ya gunia 5 @Tsh120000~150000/=kwenye maharage utapata Tsh 500,000/=~700,000/=
Baada ya miezi 4 kwa hekari 5 utavuna gunia 70~90 kutegemeana na eneo la shamba.
Tufanye upate gunia 75 yaani kila hekari moja itoe gunia 75, gunia moja uuze kwa Tsh 50,000/= unapata million 3.5 ndani ya miezi 4 faida Tsh 2M.
Mkuu, umefanya analysis nzuri sana ila kuna vitu hujaviweka sawa...Kwanza mtaji wake ni 1.7 sio 2m...Maana yake hawezi tumia 1.6 akabaki na 400k kama akiba....chapili, umemwambia side moja ya biashara bila kumwambia side nyingine...my point is..Expectation is not reality...hapo kuna weather fluctutations, pia kuna unforeseen situations plus kubadilika kwa bei sokoni...Kwa pesa hiyo nakodisha shamba hekari 5 nalima mahindi na maharage, Kukodisha shamba Tsh 200,000/=
Naandaa shamba kwa Tsh 300,000/=
Mbolea nanunua kwa Tsh 300,000/=
Mbegu nanunua Tsh 200,000/=
Gharama za kupanda Tsh 200,000/=
Kupalilia ×2 Tsh 200,000/=
Kuvuna Tsh 200,000/=
Jumla kuu 1,600,000/= unabaki na laki nne ya kulinda mfuko.
Ndani ya miezi 3 utavuna maharage si chini ya gunia 5 @Tsh120000~150000/=kwenye maharage utapata Tsh 500,000/=~700,000/=
Baada ya miezi 4 kwa hekari 5 utavuna gunia 70~90 kutegemeana na eneo la shamba.
Tufanye upate gunia 75 yaani kila hekari moja itoe gunia 75, gunia moja uuze kwa Tsh 50,000/= unapata million 3.5 ndani ya miezi 4 faida Tsh 2M.
Hahahaha kilimo cha WhatsAppKwa pesa hiyo nakodisha shamba hekari 5 nalima mahindi na maharage, Kukodisha shamba Tsh 200,000/=
Naandaa shamba kwa Tsh 300,000/=
Mbolea nanunua kwa Tsh 300,000/=
Mbegu nanunua Tsh 200,000/=
Gharama za kupanda Tsh 200,000/=
Kupalilia ×2 Tsh 200,000/=
Kuvuna Tsh 200,000/=
Jumla kuu 1,600,000/= unabaki na laki nne ya kulinda mfuko.
Ndani ya miezi 3 utavuna maharage si chini ya gunia 5 @Tsh120000~150000/=kwenye maharage utapata Tsh 500,000/=~700,000/=
Baada ya miezi 4 kwa hekari 5 utavuna gunia 70~90 kutegemeana na eneo la shamba.
Tufanye upate gunia 75 yaani kila hekari moja itoe gunia 75, gunia moja uuze kwa Tsh 50,000/= unapata million 3.5 ndani ya miezi 4 faida Tsh 2M.
Ushauri huu hapaaa...January nenda veta...kasomee welding...Ada 400000...ni miezi mitatu Tu.....ni short kozi...uzuri NI kwamba inaanza mchanaa miss ya saw Tisa....so kwa asubuhi tafuta kijiwe cha kuuza miogo.,......mpaka Sasa Saba utakuwa umepata pesa ya nauli na hata ya Kula...pia na Kodi juu ndani ya miezi mitatu...baada ya kupata ujuzi wako... Kumbuk wakati huo pesa nyingine ilipaki uliyopewa umeweka benk....baada ya kumaliza kozi.....Rudi kwenu mkoani ukiwa tayali na ujuzi wakoo....au Baki bongo uanze Maisha....ninja mashine yako ya welding na vifaa vyote.....utakuwa umetumia kama 70000....tafuta eneo la wazii anzisha hudumaa ya welding.......faida yake.....utakuwa umepata ujuzi wa kudumu....pili Maisha ya uwakika....umejiajilii....mtaji hautopotea....lakinii ukienda tofauti hapoo biashar hauna uzoefu nayo na mtaji utapoteaaa.....wape salaaaaamm...
Dar wanauzajeNenda vijiji vya kilombero kama vile kimbwe,uchindile na kitete huu ni msimu wa mavuno ya maharage wana uza kg moja tsh 1000 kisha peleka kwenye uhitaji hususan dar nimetoka huko juzi.
Yap inahiataji utashi sanaKama uzipendi izo hela Lima uone
Faida hiyo inapatikana kabisa tena kwa miezi Minne ni mingi sana mimi kwa mtaji wa 1.5M kwa mwezi natengeneza faida ya 1Mkilimo cha karatasi ni hatari
Lakini si wanasema kuna bima za mashamba, usipopata mavuno wanakulipa hela?Kama uzipendi izo hela Lima uone
Kilimo akiwa na passion na kidogo uzoefu, anatusua ila akiwa legelege hajifunzi, hajitumi, hajui palizi, hajui kupunguzia mimea, hajui wapi kutupia mbolea.. hiyo hela ataizika!Faida hiyo inapatikana kabisa tena kwa miezi Minne ni mingi sana mimi kwa mtaji wa 1.5M kwa mwezi natengeneza faida ya 1M
Mmmh! Mambo ya siasa biashara, wajanja wanakokatia bima, ni maeneo yenye uhakika! Ni mazao yanayoeleweka. Watakuambia sisi ni shayiri na mtama wa breweries tu ndiyo tunakatia bima.ILakini si wanasema kuna bima za mashamba,usipopata mavuno wanakulipa hela?