Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Anatumia jina gani instagram
Ili la kadija_ jabiry
IMG_20190718_221734_070.JPG
 
Habari zenu wadau, naombeni ushauri wenu ni BIASHARA gani nzuri yenye kuanzia na 1million km mtaji?
 
mim ni mjasiliamali mdogo najishugulisha na vitu vingi moja ya vitu vinavyo nipa pesa alakaalaka ni I tengenezaji wa batiki mtaji wangu mdogo ila napata pesa haraka mno kwa mfano 75000 na tengeneza batiki kisha napata faida 15000 sasa weka pesa Yako kwa mfano unaweka million 1,5 ukosi laki tatu kila wiki
Unafanyaje mkuu
 
Mkuu kama hutojali naomba uje pm tiweze kupanga ili jinsi ya tunavyoweza kulipeleka tafadhali!
 
mim ni mjasiliamali mdogo najishugulisha na vitu vingi moja ya vitu vinavyo nipa pesa alakaalaka ni I tengenezaji wa batiki mtaji wangu mdogo ila napata pesa haraka mno kwa mfano 75000 na tengeneza batiki kisha napata faida 15000 sasa weka pesa Yako kwa mfano unaweka million 1,5 ukosi laki tatu kila wiki
Kwanza nahitaji mtaalamu kama wewe pili pesa ya kuwekeza apo ipo naomba ushirikiano wako kaka unaweza kuwa mkombozi kimawazo
 
@PRONTO,nishakuwekea link ya huyo jamaa mkenya anauza guideline kwa bei nafuu mno,humo utapata maelezo ya bei mpaka namna ya kuenenda na masuplier,japo imeandikwa kwa kubase kenya lakini material yaliyomo yatakupa idea kubwa
Daaah ila wee jamaa waga miyeyusho kinoma yani shida ni ujuaji wako umekuwa mwingi sana kiasi kwamba hata unachokoment hujakielewa lakini tu basi ili mradi somtimez magumashi sana mk7
 
#Ankai,nimekukwaza wapi tena maana naona moyo umekuuma sana au mimba imenichukia nini?
 
Biashara ya nafaka kama mahindi,karanga, mpunga. kwa karanga mtaji milion 5 faida m 1.5 kwa mwenzi. milion 10 faida m 3 kwa mwenzi. milion 15 faida m 5.kwa mwenzi. mwaka juz brother alikopa pesa bank kama m 4 .akanipa niinunulie karanga. tripu ya kwanza tulipiga faida m 2 mtaji m 4.nimekusanya karanga kwa week 2.
Karanga una nunulia wapi mkuu?
 
fungua Imaging clinics,nunua ultrasound machine na xray machine kwa kuanzia,ajili mtaalamu mzuri umpe hata mshahara wa milioni kwa kuanzia uanze kupiga pesa,unaweza kuongeza na huduma za vipimo vingine vya kawaida kama malaria,typhod,kisukari etc,baada ya miaka mitano utafunga CT scan na hapo ndo utakua umeuaga umasikini

It has been my dream,pole pole lakini nitafika
 
Back
Top Bottom