Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Namfahamu...haaha ana bahat yake
Kumbe nawe ume mfollow; insta nime follow watu ambao wanaoweza ongeza kitu tu katika maisha yangu.

Ana ni insipire sana yule binti, na kuna mwingine anaitwa Malembo farm naye namfuatilia toka kuchunga ng'ombe za tajiri yake mpaka sasa anamiliki kampuni yake na ameajili mpaka mtu wa level ya phd
 
Sijamfollow insuch..niliwah muona you tube..mie kuhusu kilimo nilishachefukwa wala sinaga mzuka kbs nacho...yaan walaa
 
Yani ukipunwa adi msosi huli
Mzee kuna siku sikwendaga chuo kwa hasira nakumbuka nilitia 250, pesa ikawa Ikawa inakuja kama 980. Nikabakia na msubiri mnyama arsenal naye mpaka half time akawa anaongoza 3.0

Nikajisemea hii laki 9 nimeshaila nikaanza kuipigia na bajet kabisa, kipindi cha pili wasije na come timu pinzani dakika ya 90 Anderlecht anatia goli 3. Matumaini yanakufa.

Siku pouwa siku nzima maana ile hela nilikuwa nimeshaanza ipigia bajet
 
Hahahahah ni hatari apo unakuta unadaiwa afu MTU umemwambia jioni ajie hela yake afu imebak team moja mkeka utick afu mambo yanabuma lazima udate
Mzee kuna siku sikwendaga chuo kwa hasira nakumbuka nilitia 250, pesa ikawa Ikawa inakuja kama 980. Nikabakia na msubiri mnyama arsenal naye mpaka half time akawa anaongoza 3.0
Nikajisemea hii laki 9 nimeshaila nikaanza kuipigia na bajet kabisa, kipindi cha pili wasije na come timu pinzani dakika ya 90 Anderlecht anatia goli 3. Matumaini yanakufa.
Siku pouwa siku nzima maana ile hela nilikuwa nimeshaanza ipigia bajet
 
Nenda kazalishe huku!!!
Screenshot_20190718-201930.jpeg
Screenshot_20190718-201943.jpeg
 
Back
Top Bottom