Mtaji wa laki Tano nifanye Biashara gani

anatuma na mikoani.muhimu.muwasiliane then uwe na mtu dar anaenda kuwaona ofisin unatoa oda zako ukitoka China unajulishwa na utafika lini after unapigiwa njoo mzigo wako huu..Sasa usafiri anakulizia n sh ngapi anakutumia amesaidia wengi sana na ana duka sio moja somebody kelvin
Nishapigwa na Hawa watu wa delivery nadhani itanichukua muda kuwa na Imani nao ila shukrani🙏
 
Wewe ndo unayajua vizuri mazingira uliyopo,laki 5 huo ni mtaji tosha kabisa kwa biashara zenye mzunguko WA chapu chapu,cha muhimu jizime data ondoa aibu hela kwanza aibu baadae! Katafute thread za jamaa Mmoja humu anajiita Controlla ana nondo nzuri Sana kwa mtu kama wewe!
 
Kwanza kabisa punguza manung’Uniko(yanazima baraka)asilimia kubwa ya waTz masikini wala usione kama jua linakuwakia pekee yako!
-Nenda mwanza kafanye biashara ya dagaa!
-Ukishindwa fanya biashara ya bidhaa za kimachinga kama accessories zinalipa!
-Ukishindwa nunua rangi za gel na kawaida na machine paka rangi wadada(hii biashara yangu naijua vzr pamoja na sehemu za kunua mzigo)uliza lolote!
-Au nunua balo la mtumba zunguka minadani utaona matunda
-Au tafuta meza soko kuu uza matunda ama viazi, au chochote kinachoendana na mtaji wako
-biashara ya viatu vya kike inategemea na eneo ulilopo unaweza kuanzia popote ata chini (biashara yangu pia niulize chochote)
-Vitu ni vingi kaa chini ufikirie kisha tia nia!
Anza!!
NB; pesa uliyonayo ni ndogo ukikurupuka utaanza upya!

Kila la kheri!🤝🏽
Siyo Manun'guniko ni uhalisia

Niliwahi kuuza hivyo viatu vya kike na scandal za kiume Kuna muda mwingine nilikuwa nakoswa koswa kulala njaa kutokana na kwamba wateja hamna baadae niliviuza vyote kwa jamaa yangu kwa bei ya hasara

Labda kidogo hiyo ya dagaa sijajua upatikanaji wake na changamoto zake
 
Dagaa zinapatikana mwanza! Zinahitaji kuwa serious kidogo.. unatakiwa uwepo mwenyewe kwa kuwa unaanza unaamka alfajiri saa 10 kwenda mwaloni, unanunua dagaa wabichi! Ndoo huwa zinapanda mpaka 100 sometimes na zinashuka, unaweza wakausha ukauza masokoni au ukakaanga ukatafuta wateja kila mahali unauza! Ziwa huwa linafungwa kila baada ya siku 10! Lakini ukiwa na stock utauza mfano sadolin moja unaiuza kuanzia 18000, ukitafuta wateja wako mikaoni arusha dar dodoma and the like hukoswi pesa ndefu na dagaa inakuletea faida mara mbili au nusu ya mtaji ukikomaa! Uzuri dagaa wa kukaanga hawaharibiki wana uwezo wa kukaa muda mrefu!
 
anatuma na mikoani.muhimu.muwasiliane then uwe na mtu dar anaenda kuwaona ofisin unatoa oda zako ukitoka China unajulishwa na utafika lini after unapigiwa njoo mzigo wako huu..Sasa usafiri anakulizia n sh ngapi anakutumia amesaidia wengi sana na ana duka sio moja somebody kelvin
Kuna Harufu ya Mtu Kupigwa Hapa
 
Kwanza kabisa punguza manung’Uniko(yanazima baraka)asilimia kubwa ya waTz masikini wala usione kama jua linakuwakia pekee yako!
-Nenda mwanza kafanye biashara ya dagaa!
-Ukishindwa fanya biashara ya bidhaa za kimachinga kama accessories zinalipa!
-Ukishindwa nunua rangi za gel na kawaida na machine paka rangi wadada(hii biashara yangu naijua vzr pamoja na sehemu za kunua mzigo)uliza lolote!
-Au nunua balo la mtumba zunguka minadani utaona matunda
-Au tafuta meza soko kuu uza matunda ama viazi, au chochote kinachoendana na mtaji wako
-biashara ya viatu vya kike inategemea na eneo ulilopo unaweza kuanzia popote ata chini (biashara yangu pia niulize chochote)
-Vitu ni vingi kaa chini ufikirie kisha tia nia!
Anza!!
NB; pesa uliyonayo ni ndogo ukikurupuka utaanza upya!

Kila la kheri!🤝🏽
Nimeipenda hii
 
Dagaa zinapatikana mwanza! Zinahitaji kuwa serious kidogo.. unatakiwa uwepo mwenyewe kwa kuwa unaanza unaamka alfajiri saa 10 kwenda mwaloni, unanunua dagaa wabichi! Ndoo huwa zinapanda mpaka 100 sometimes na zinashuka, unaweza wakausha ukauza masokoni au ukakaanga ukatafuta wateja kila mahali unauza! Ziwa huwa linafungwa kila baada ya siku 10! Lakini ukiwa na stock utauza mfano sadolin moja unaiuza kuanzia 18000, ukitafuta wateja wako mikaoni arusha dar dodoma and the like hukoswi pesa ndefu na dagaa inakuletea faida mara mbili au nusu ya mtaji ukikomaa! Uzuri dagaa wa kukaanga hawaharibiki wana uwezo wa kukaa muda mrefu!
VP kuhusu mambo ya vibali
 
Salam. Wakuu Mimi ni kijana Ambae napambana kujiokoa na umaskini.

Mimi ndo mtoto wa kwanza nyumban kwetu na ndo mtu naetegemewa na wazazi wangu niwakomboe

Na Mimi ni maskini ndugu zangu ni maskini yaani familia nzima naweza kusema kama umaskini ni baraka basi tumebarikiwa na kama ni laana basi laana tunayo

Sasa wakuu naombeni mnipe muongozo natokaje yaani kwa huo mtaji wangu ni biashara gani naweza kuifanya na nikapata faida

Karibuni kwa mawazo natanguliza shukrani
Upo mkoa gani
 
na kuna wengine wanahongwa milioni mia sita na hawastuki! wanaona kawaida tu!
 
Back
Top Bottom