Mtaji wa laki Tano nifanye Biashara gani

Mtaji wa laki Tano nifanye Biashara gani

Wewe ndo unayajua vizuri mazingira uliyopo,laki 5 huo ni mtaji tosha kabisa kwa biashara zenye mzunguko WA chapu chapu,cha muhimu jizime data ondoa aibu hela kwanza aibu baadae! Katafute thread za jamaa Mmoja humu anajiita Controlla ana nondo nzuri Sana kwa mtu kama wewe!
Dah mkuu Controlla yuko wapi huyu profesa wa mapambano ?
Alinipa idea moja matata nikafanya nikapata hela ila shetani wa ulevi alikuwa mkubwa kuliko mimi kiumbe wa Mungu nikaishia kulewa mtaji wenyewe .
 
Back
Top Bottom