C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
Wakuu,
Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za Bar. Naombeni ushauri wenu.
Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za Bar. Naombeni ushauri wenu.
KWA WAFANYABIASHARA YA BAA
Naam ndugu ninataka kushirikiana na mtu ambaye anapenda kufanya biashara ya baa eneo lipo Dar es Salaam Ilala barabara ya kawawa linavutia sana kwa kufanya biashara hiyo ambapo sisi wenye eneo tunafanya biashara ya mgahawa kwa mda mrefu tangu mwaka 2000 mpaka sasa.
Mimi nataka kufungua biashara ya internet café na stationary ila umeme ndo hakuna .Kuna jamaa alilipa pesa ya umeme ila alishindwa kugharamia gharama za kuweka luku na kuvuta umeme hivyo kama unapenda njoo tushirikiane sisi tunakuachia biashara ya baa ila ya chakula unatuachia sisi kwani sitakudai kodi ila utagharamia gharama za kuweka luku alafu wote tunakuwa tunachangia kulipa bili ya umeme itakapokuwa inakwisha.
Eneo lipo kibiashara zaidi kwani lipo barabarani na kuna tax zinapaki masaa 24 pia kuna mtu ameweka pooltable mbili anachezesha kuanzia asubuhi mpaka saa 5 usiku na mngarisha viatu yupo pamoja na waosha magari na eneo kubwa la parking lipo.
Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa kunitumia meseji kupitia namba hizi (usipige)=0719879608
Habari zenu wadau wa JF.
Niende kwenye mada hapo juu, naomba kujuzwa hatua na taratibu muhimu za kuzingatia wakati ninapotaka kuanzisha biashara ya vilevi na vinywaji baridi yani bar(baa).
Nyingine zinajulikana kama vile wanawake wenye mvuto na kauli nzuri yaa barmaids wakali wa sura.
Naombeni hatua nyingine muhimu zikiwepo za kisheria, afya nk.