1) Wahudumu wawe wakarii
2) Kila baada ya miezi miwili jaribu kubadilisha wahudumu sio kwa mkupuo mmoja mmoja
3)Usitembee na wafanyakazi wako utawapa kiburi
tafuta biashara nyingine , baa au kuuza pombe ni nuksi tu
weka mademu visu.
Tafuta mabaamedi wazuri waliojazia neema za allah halafu Asprin atakushauri cha kufanya
weka wadada wenye makalio makuubwa
1) Wahudumu wawe wakarii
2) Kila baada ya miezi miwili jaribu kubadilisha wahudumu sio kwa mkupuo mmoja mmoja
3)Usitembee na wafanyakazi wako utawapa kiburi
Ushauri usifamye biashara ya bar tafuta nyingine
Kwa hiyo uchawi hauna nafasi kumbe?
Kwa hiyo uchawi hauna nafasi kumbe?
MO11,
Mbona ushauri wako sio makini? Haswa na 3. Asitembee nao kivipi? Mwambie asiwepo hata mmoja ambaye hajampa interview, chooni na ofisini ili ajue kuwafurahisha wateja. Angalia saloon za siku hizi. Ni zipi zinavuma??
Kama ana mke, mkewe awe mstari wa mbele kuwakuwadia hao ma baa meidi. Hakiki watajaa humo. Hakuna kimbola wala hirizi. Vyumba vya pembeni viwe vingi tu, akikosa kwenye pombe, apate makandokando.
Yaani, biashara ya baa na makandokando ni kitu na njombaake.
Unasikitisha sana aisee.MUNGU akurehemu.

The mountain lion;
Nimekutenda nini mkuu. Mbona unaniombea rehema kwa Mungu?? Nimekosea nini hapo? Ka mtu na akili ake anaona vyema auze pombe tena afungue bar. Unadhani ni familia ngapi zitaangamia kwa sababu ya hiyo bar? Watoto wangapi watalala njaa kwa sababu wazazi wamezinywa zoote? Siungi mkono mtu kuanzisha biashara hiyo, hata zilizopo ningetamani zifungwe ziwe nyumba za swalaaa. Weye ndo nakuombe rehema