Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Sitaki hata kuisikia
Changamoto yako kubwa ilikuwa ni ipi?

Mimi binafsi changamoto yangu kubwa kwa sasa ni wahudumu ninao 28 ila wengi wao ni wadangaji hawamalizi miezi miwili wameondoka nimejitahidi kuwajengea Guest House kwa ajili ya mambo yao lakini wapi.

Kuna nyakati huwa nabakiwa hadi nawahudumu nane hadi sita kichwa huwa kinanipasuka sana.
 
Usome uzi wote, utapata jibu
 
Back
Top Bottom