Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

Asalaam aleykum
Ndugu zangu nina plan yakufungua night bar
Ambayo itakuwa inauza vinywaji mbalimbali pamoja na vyakula mbalimbali kama nyama choma, chips chapati nakila aina ya vyakula vya jioni .

Kwa ushauri na kubadilishana mawazo na some experiance.
 
Wekeza halafu hakikisha ndani ya miezi sita hela imerudi.night club linatokea tukio la ajabu leo kesho serkali inaifungia

Nenda manyara babati kachukue wahudumu.walishe misupu na mibia wapigishe pamba halafu waweke front.utarudisgha fedha yako.
 
Habari zenu wadau wa JF.

Niende kwenye mada hapo juu, naomba kujuzwa hatua na taratibu muhimu za kuzingatia wakati ninapotaka kuanzisha biashara ya vilevi na vinywaji baridi yani bar(baa).

Nyingine zinajulikana kama vile wanawake wenye mvuto na kauli nzuri yaa barmaids wakali wa sura.

Naombeni hatua nyingine muhimu zikiwepo za kisheria, afya nk.
 
Nenda halmashauri kapate kibali cha vinywaji vikali, TFDA, leseni ya biashara.

Lakini kabla hujapata leseni nenda TRA upewe tax clearance ili halmashauri waweze kukupa leseni.

Baada ya hapo ni kuanzisha bar yako kama kawaida.
 
Hiyo ni biashara ya shetani. Achana nayo ama kamwe hautabarikiwa na ufalme wa milele hautauona. Utakua pamoja na shetani katika moto wa Jahannam. U will burn in Hell! U will burn in hell!
 
Hiyo ni biashara ya shetani. Achana nayo ama kamwe hautabarikiwa na ufalme wa milele hautauona. Utakua pamoja na shetani katika moto wa Jahannam. U will burn in Hell!!!! U will burn in hell!!!!!!
Ukiwa za hilo hutokaa ufanye biashara.
 
Nenda halmashauri kapate kibali cha vinywaji vikali, TFDA, leseni ya biashara.

Lakini kabla hujapata leseni nenda TRA upewe tax clearance ili halmashauri waweze kukupa leseni.

Baada ya hapo ni kuanzisha bar yako kama kawaida.
Asante kwa dondoo hizi muhimu.
 
Nenda halmashauri kapate kibali cha vinywaji vikali, TFDA, leseni ya biashara.

Lakini kabla hujapata leseni nenda TRA upewe tax clearance ili halmashauri waweze kukupa leseni.

Baada ya hapo ni kuanzisha bar yako kama kawaida.
Nikianza biashara ntaku PM tupeane uzoefu juu ya biashara hii
 
Back
Top Bottom