Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mwalimu wangu kasuka Halambo primary school, na mwaipopo Kantalamba high school, mwalimu upendo madamu wangu wa nguvu Old moshi sec. Namkumbuka sana! Naamini mola wangu atawalipa kwa kufanikisha mm kufika hapa nilipo hadi nitakapofikia !
 
Mwalimu Ngusa wa Makongoro Primary school jijini Mwanza,alikwa Mwalimu wa somo la kingereza miaka hiyoo ya 99.
Pamoja na walimu wengine wooote hapa Duniani ambao nimepita kwenye mikono yao
Mungu hawabariki sana.
 
Mwakyulu na Kyonjole Sangu Sec Mbeya walinipa muongozo mzuri sana. Nakumbuka Kyonjole aliniuliza swali,(geography) "what is force?) nikajibu ifuatavyo hadi leo sijasahau(that was 1986 form 1) " work is said to be done when a point of application of force moves, in a direction in applied force . And is measured as a perpendicular distance from the point of application of force" Basi mwalimu Kyonjole alinipa shilingi kumi , ileee ya kijani. Nadhani nilinunulia mabumunda sab yalikuwa yakiuzwa jirani na shule! Long live Sangu!
Mkuu nilikua sijaja kwenye hii dunia iliyojaa fujo lakini miaka 22 baadae nilipita hiyo shule uliopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom