Mtaalamu wa masuala ya computer science na software engineering anahitajika

Unatafuta watu wa 6 tofauti wawe ndani ya mtu mmoja.
1. Graphic designer
2.Software developer
3. Mobile app developer
4. Bloger
5. Photographer
6. Videographer
2 na 3 wanafanya kazi sawa
5 na 6 ni mtu mmoja

Hao wote wanajua kusoma na kuandika wanakua blogger muda wowote.
 
Aliniambiaga ulikua unammuomba hela kwa kufosi, asipokupa ulikua unamnuniaπŸ˜…

Amekusaidia sana, ulikua na maisha na maisha magumu mnoo
 
Aliniambiaga ulikua unammuomba hela kwa kufosi, asipokupa ulikua unamnuniaπŸ˜…

Amekusaidia sana, ulikua na maisha na maisha magumu mnoo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijawahi kuwa na maisha magumu kiasi cha kukosa bundle la jero.

Anisaidie mie wakati yeye ndo alokua anasaidiwa kuuguziwa mzazi wake, sasa angekua na huo uwezo angehitaji msaada kwa watu wengine???

Nimnunie kisa hajanipa vocha tena ya jero? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Em kaa nae vizuri akuambie zaidi, kuna script hajakupa.
 
Hili la kukusaidia usipinge, kakusaidia sana. Tatizo lako ulikua unamzunguka unawataka wapenzi wake, msaada ukakata😁😁

Hilo la wazazi haliwezi kuwa kweli, walimu wote wana bima ya afya pamoja na wazazi wao. Acha kuunga story
 
SAMAHANI waakuu MPAKA HAPO inaonekana mnajuana na Kuna Siri KIBAO tafadhali msimwage Michele kwenye kuku wengi
 
You can do all that by yourself, lipia Gemini Pro or ChatGPT 5, it’s cheaper and you’ll get perfect work, better than any human, fast and on time, huhitaji kuajiri mtu hizo kazi, or if you hire someone make sure he/she knows how to use AI tools
 
Hili la kukusaidia usipinge, kakusaidia sana. Tatizo lako ulikua unamzunguka unawataka wapenzi wake, msaada ukakata😁😁

Hilo la wazazi haliwezi kuwa kweli, walimu wote wana bima ya afya pamoja na wazazi wao. Acha kuunga story
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ cantry huu uzi hauhusu haya unayoleta hapa, naona km unataka vile kunichokonoa ili niongee mengi.

Basi ni hivi, nilikua maskini choka mbaya hoe hae, nilisaidiwa na watu, na leo nimejipataaa.

Tubaki na lengo la uzi unavyohitaji.
Ishi humo.
 
Unazuga tu, hauna mengi yoyote. Umesaidiwa sana alafu ukawa unamzunguka😁😁
 
Kuna kijana namfahamu yeye ni Mtaalam wa kutafuta Wateja kwenye mitandao ya jamii! cocastic si ajabu unamtafuta mtu kama huyo .
 
Unashingapi nikupe mtu akufanyie huduma ya 5 star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…