coca akiwa boss wangu lazima niombe maliNawaza yaani cocastic awe boss wangu
Astaghfirullah astaghfirullah dunia imeishacoca akiwa boss wangu lazima niombe mali
Unatafuta watu wa 6 tofauti wawe ndani ya mtu mmoja.Hey Wana JF
Nina uhitaji wa mtu mwenye ujuzi wa computer science na software engineering.
Awe na weledi katika masuala haya.
Blogs,
Apps,
Logos designs,
Wallpapers,
Photography,
Broadcasting Network.
Muhusika mwenye sifa tajwa na mwenye utayari, naomba aje PM. kwa mawasiliano zaidi.
.....
Mimi hapa 😎.Hey Wana JF