Nakuambia Fixed Point ukianza kujiremba kwa style za Mamndenyi usinipitie kwenda kule kwa mabest zetu. Nani akachekwe na vitoto?kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiii, rafiki na mimi nataka kuanza kujiremba, lol! Mamndenyi ukipata artist mzuri ni-call please na mimi nianze
Napenda kwa kuwa umeona kwa macho yako
kwani hujui ya kale hayanuki au old is gold.
​vuta subira atasema tu!!Ngoja tusubiri Mamndenyi kakua msiri...!!
pacha jamani mbona unan'singizia? Mie hata mafuta napaka baby care
h haaaa....Nakuambia Fixed Point ukianza kujiremba kwa style za Mamndenyi usinipitie kwenda kule kwa mabest zetu. Nani akachekwe na vitoto?
​hapy to c u again best!!
Nitashangaa kama unajihesabu kuwa tena na mke humu cc
mbona wameshaolewa wote;
pacha Lady doctor
muwekee tego mumeo shaurilo
njoo nikupeleke mahali!
Nilitaka kusema ni Vin Diesel
pacha Lady doctor
muwekee tego mumeo shaurilo
njoo nikupeleke mahali!
weeee!!pacha acha hizo
wewe c ndio umenifundisha
kupaka shedo na mac powder?!!
hilo jina liishie hapo hapo, msije mkamjazia mume wangu utitiri wa wanawake.....!
pacha Lady doctor
muwekee tego mumeo shaurilo
njoo nikupeleke mahali!
kweli shem! komaa sana kupinga hayo mambo. kwani wanaomharibu mumeo ni wanawake wenzako!!