wii majukumu yananiandama mwenzio yaani full kuadimika mjengoni, umenionea wapi mume wangu?
Mume wako gani kwani?
kuna sehe nilikumention weeeee,naona kama asubuhi uliangalia
ulikutana na n/a
aaaaaw.........thanks! i cant wait...........
![]()
ha haaaa, kujifadhili naweza.....Hii imekaa njema sana;
hata ukataka mfadhili nitakupa makontacti.
really? hata mwenye kusiriwa?Ha ha ha ha ha, he e he he he
Siri yangu ya moyoni 🙂
yaani we kesho jiandae, usisahau kuja na mumeo
Mamndenyi nakutumia mtaalam kutoka Malibu aje afanye hiyo kazi.
Sipendi wadada wenye kujipaka mapoda lkn kipenda roho hula nyama mbichi ,kwa vile unapenda basi inabidi atumike mtaalam mwenye uzoefu na elimu katika mambo hayo ili areveal urembo wako wa asili.
Hapana najua una kisasi na mm sitaki kuharibiwa sura na viungo vya mwilini.
mwenzangu....Ha ha haa hutaki mbereko.