Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,738
Mabwana na Mabibi,
Assalamu alaikum ......
Wikiendi ndo imeanza;
Leo mie Mamndenyi nina mtoko wa maana (Msiulize ninatoka na nani).
Kwa maneno mepesi sana ninahitaji mtaalam wa kupaka paka na kuremba remba
kwa lugha ya kwetu anajulikana kama " professional makeup artists";
Tafadhali bandika uzoefu na mawasiliano yako hapa usisahau kuweka bei zako malipo ni kwa dola ya kimarekeni;
Muhimu:
Haijalishi kama uko huko juu aliko chama au Mzee Mwanakijiji
au uko tandale aliko Madame B au mbagala aliko Kongosho
hata kama uko mkoa aliko Arushaone, marejesho, Erickb52 au uko chimbo aliko Vin Diesel na AmKATRINA, au town senta aliko Mtambuzi na wake zake akina mwaJ; amu na wengineo kibao;
Au uko manzese aliko sosoliso na mkewe Paloma; hata kama upo kusikojulikana kama @C6, Rejao, Slave na wengineo wengi pia karibuni.
Hii haitamhusu sana kiwatengu, Bujibuji, ladydoctor (wivu), Mr Rocky.
Ndege ipo tayari kwa ajili ya kuja kukuchukua na kukurudisha; rubani wangu Mwita Maranya anasubiri pale kwa Pdidy.
Wale wasichana warembo kama akina Heaven on earth na mrembo anayelia lia ladyfurahia, mimisa mke/wake za Bishanga mnaweza kusogea ili kupata mautaalam pia.
Karibu mwisho wa usaili ni leo saa tisa alasiri.

Last edited by a moderator: