Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Nina rafiki yangu nakumbuka enzi niko primary nilikuwa nikienda mitaa ya kwao huko kwa kindande alikuwa na brother wake anagongea bangi na mshua wao asee kule respect
 
Unapita mtaa huo unatokea tandika sokoni
Aah manina kule hapafai. ..uswahili mwingi sana. .ijapokuwa siiujui huo mtaa ila maeneo hayo yamejaa uswahili sana ...huko pamoja na kule Yombo sijui ndio Yombo vituka sijui yombo kila Kala yaani ni disaster
 
Hapo umepata picha kamili
 
Kuna siku nilikwenda huko yombo kila Kala. .yaani nilivyokuwa na pita mtaani kila mtu alikuwa ana nitizama. .Vijana wame-choka hatari. ... nilipo ondoka salama nikajiapiza kuwa sinto rudi tena --- hiyo ilikuwa ni mwaka 2014. ...na kweli mpaka Leo sija kanyaga kule
Si utani ndugu ni yakweli haya nakwambia huyo dingi yao muhuni haswa kuna siku alitufuma tunacheki porno kwenye cmu niliogopa kinyama nkajua hili soo mwanangu yeye hakuwa na wasi kabisa, eeh dingi nae si akakaa pale tukawa tunacheki wote na story anapoga
 
Back
Top Bottom