Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,144
- Thread starter
- #61
Hao vibaka wawili walikuwa ndugu hilikuwa noma hapo kwa mama chii stombagi
Wale jamaa kupasuana kwa chupa ya bia ilikuwa kwao kawaida....Pale manoti upande wa pili kulikuwa na ofisi za Chauma kuna raia walikuwa wanapenda cheza kamari kila siku defender linaingia(wenyewe wanaliitaga farasi mweupe) Basi wakikimbia wanaachaga hela sisi kazi yetu kwenda kuokoteza hahaaNa wakumbuka sana hakina mpayage na heri ngwaya na marehemu chief pusha maarufu kombola
Uliishi kumbe mkuu,haahaa off course sehem kama zile mtoto kuadapt ni rahisi sana....Aisee niliishi huko miaka kama 10 iliyopita. .hakuna raha yoyote zaidi ya Ku adopte Tabia za ajabu ajabu. ....Kuna watu Wana mambo ya ajabu uswahilini we acha tu. ...
Haahaa aliingia sehemu siyo,kuna sister wangu nae alishawah lizwa ela ya msingi wa biashara alikuwa anaenda tandika hahaaNilikuwa natoka zangu kwa Aziz mida ya saa mbili mwaka jana mwezi wa 5 kuna kajamaa akajui kuwa kupita Lebanon unapita kama upepo kapo kana chat jamaa kakakaba kakapokonywa simu kakanifuata brother nisaidie nikamwambia kaangalie kama bado yupo walitoka kama kumi wamemshikia mapanga sikujua amepitia wapi..
Jumba FC hahaa,asahivi pana baa pale inaitwa La Azizi....anayeimiliki ile bar ndo anayeimiliki ile ya KombolaMitaa hiyo unanikumbusha mbali sana enzi ,game uwanja wa tandika mabatini mateja kibao hapo zinacheza timu moja inaitwa weilas vs jumba
Ilikuwa balaa kipindi icho kwa kindande yote mpaka muembe madafu ni vurugu
Uliishi kumbe mkuu,haahaa off course sehem kama zile mtoto kuadapt ni rahisi sana....
Kweli mkuuUsipo wapa ushirikiano uswazi utaiona ngumu
Huu ni mtaa wa fujo raha na karahaHuo utakuwa mtaa wa mashabiki wa Juventus
Natumai kuna vitu ulijifunza na kuexperience hukoNiliishi mwana nyamala miaka kama 4 hivi aise ni hatari. .. but home rasmi ilikuwa ni kinondoni
La Aziz hile bar inajaa japo kuna ukata kitaa hako kasehemu kana bar 6 zimepakanaJumba FC hahaa,asahivi pana baa pale inaitwa La Azizi....anayeimiliki ile bar ndo anayeimiliki ile ya Kombola
Yah kuna ile bar ilikuwa inaitwa kivulini,kuna mashillingi,manoti,kombolaLa Aziz hile bar inajaa japo kuna ukata kitaa hako kasehemu kana bar 6 zimepakana
Kama mtaa mmoja hapa OysterbayHuu ni mtaa wa fujo raha na karaha
Kutokaje mkuu? Kimaisha au kuhamaUkitoka uswazi ww n kamanda
Natumai kuna vitu ulijifunza na kuexperience huko
Basi tumefaidika sawa mkuu,maana hata mimi kuna girl aliniambia hivyo nikamjibu short tu "poa" bas ........Vingi tu. .kimoja wapo. Nikuto ya babaikia mahusiano. .yaani huwa mapenzi haya niyumbishi kabisa. ..
If nikiwa in luv then gal wangu akaniambia let's breakup --na mjibu sawa. .Bila kumu onyesha tension yoyote ile.
Manoti nakombola ni bar za wahuni afadhali kivuliniYah kuna ile bar ilikuwa inaitwa kivulini,kuna mashillingi,manoti,kombola
Haaahaaa,nikikumbukaga ikifika eid pili wahuni wanavyolewa siku hiyo wakienda beach magar yanavyoendeshwa sasa,halafu kipindi hicho ile njia ilikuwa haina lami......Manoti nakombola ni bar za wahuni afadhali kivulini