Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Temeke napapendea zile bendi zao za mchiriku ukianzia na yule aliyeimba wimbo wa
Mwenye duka. Very down to earth
 
Dah!,mkuu umenikumbusha wahaya wa tandika,kipindi hicho buku unapata mzigo sasa utongoze demu wa nn?sijui Sasa hivi bei imefika sh ngapi?
Kwa Kindande ni zaidi wamepakana na wahaya wa tandika hii korabo ni hatari
 
alikabwa mitaa ya Soweto kwenye kiwanja cha mpira.....Vibaka wore waliomgusa yule Ustaadh wote walikufa...!
 

Jiwe anakwambia “we are on the raiti traki”...
 
Dah....kwa kindande ni noma unakabwa mchana mchana watu wanaangalia tu....Kuna io kwa kindande na huku Azimio....Keko mwanga nayo usitembee kizembe.....unakabwa watu wanaangalia!
 
Dah....kwa kindande ni noma unakabwa mchana mchana watu wanaangalia tu....Kuna io kwa kindande na huku Azimio....Keko mwanga nayo usitembee kizembe.....unakabwa watu wanaangalia!
Kuna mitaa kama unajua unapita anga zao vitu vyako vya thamani una acha nyumbani
 
Haha

Smart guy
 
Iete number mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee.
 
wajuba ukienda nao sawa hawasumbui.
 
azimio dogo mmoja alikua kibaka sugu,dingi akachoka na kesi,akavaa msuli ampe radhi,akabinuka kwamba 'mwanangu nakupa radhi,sina radhi nawe' dingi alikua hana kitu ndani,dogo akamwambia unataka kufirrwa,akatoa machine,dingi alitoka nduki mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…