fumigation halafu iweje, we mwanga nini?🙂. sema wanapatikana wapi ili jamaa awaongeze!
Weee bure kabisa mimi nilidhani umemwasha cha asubuhi kumbe bla blaNiko chumbani natweta bado siamini kilichotokea,shetani alitaka kunichepusha kwa nguvu. Nimejilawa alfajiri nijiandae kwenda kuabudu, nikiwa na taulo tu naswaka akaja dada wa chumba cha jirani kavaa kanga moja tu na kopo lake la maji na kuanza kusugua gaga mbele yangu kwa juu kidogo, maungo yote yalikuwa yanatikisika...mara lahaulah mende akampitia chini ya miguu yake, dada akaruka akateleza kufumba na kufumbua akaniangukia tukaenda wote chini tukiwa uchi kabisa! Kwa sekunde kadha miili yetu iligandana tukihisi joto la kila mmoja, halafu ghafla akanyanyuka akachukua khanga yake na kukimbilia chumbani kwake. Nami niko chumbani kwangu bado sina nguvu ya hata kupiga pasi! Najiuliza tu kwanini shetani ana majaribu kiasi hiki? Namchukia shetani lakini bado nakumbuka pale chini tulipolaliana
Chumba kimoja alipie fummigation?Hao mende tukifanya fumigation hautawaona tena. Hebu nipm tuongee biashara ukitoka church.
hata movie za kihindi hazidanganyi hivi....
Sasa wewe si ndo umeona fursa from another angle? Niondolre hapa, naweza kusupply hata panya buku
tehehehheheh......!!Mr mgeni nimemshinda shetani ndo natoka ibadani ila dada yuko chumbani kwake na kaweka ule wimbo wa nilianguka ukaninyanyua
Mkuu kazi unayo. Shetani atarudi tena kukagua kazi zake. This time akirudi atapitia kwa huyo dada. Huyo dada ipo siku ataongozwa na shetani kukugongea mlango alfjiri sana ataomba dawa yameno.
hahahaaa NAMTUMBA natamani aje usiku kuomba MSHUMAA tanesco wakikata umeme