Mswaki wa leo alfajiri

Nice fiction! Shigongo anakutafuta mkuu! Hivi inaingia akilini kweli, mliangukiana dakika ngapi kiasi cha mpaka kuanza kuhisi joto la mwingine?? Halafu katika taharuki kama hio hisia hizo zinawezekana kweli in that fraction of second?otherwise utakuwa na pepo la ngo.no, si bureeeeee!
 
Hao mende tukifanya fumigation hautawaona tena. Hebu nipm tuongee biashara ukitoka church.

Naona unakamata fursa......
Akisema hana hela ujue anategea makusudi ili jumapili ijayo aangukiane tena na mpangaji mwenzie
 
Duh ukiwa na hasira njoo zako JF utatabasamu tu hapa nimecheka pekee angu thanks alot brot' kwa kuifanya asbh yangu ianze poa nimekudondoshea like hapo,kama vipi mfate chumbani kwake mwambie mende karudi tena.

hahahahaaa
 

xiexie wo fei jhang gan xie ni!
 

spelling error ni FINCTION sio FICTION
 
ndo basi tena airisha tu hiyo ibada maana imeshaharibika
 
ndo basi tena airisha tu hiyo ibada maana imeshaharibika

Mr mgeni nimemshinda shetani ndo natoka ibadani ila dada yuko chumbani kwake na kaweka ule wimbo wa nilianguka ukaninyanyua
 
Mie naonaga fursa tu tena za hela best hahaha. Hapo tatizo ni mende ndo aliharibu. Next huyo dada akiona mende chumbani kwake hakawii kukimbilia chumbani kwa mtoa mada akamuangukia kitandani akiwa uchi. Si itakuwa majangarest? Bora tuhimize usafi kwanza.

ukitaka fumigation, nistue.
Naona unakamata fursa......
Akisema hana hela ujue anategea makusudi ili jumapili ijayo aangukiane tena na mpangaji mwenzie
 
Hapo unatakiwa ukaungame. huo tayari ni mchepuko wa mawazo
 
Hii ni komedy ile la channel 10.

 
Hao mende tukifanya fumigation hautawaona tena. Hebu nipm tuongee biashara ukitoka church.

fumigation halafu iweje, we mwanga nini?🙂. sema wanapatikana wapi ili jamaa awaongeze!
 

ukiangukiwa na kabati ndio utataharuki, ukiangukiwa na Mzigo (sauti ya sheikh kipozeo🙂) lazima ugande kwanza, maumivu yake matam!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…