Hallucinations ni uchawi? Mambo mengine yanahitaji jitihada binafsi kuelewa siy lazima yawe kwenye syllabus ya shule bwana.
Naomba usiweweseke. Ukitulia inaleta sense kuliko unavyotaka ku punic. Kwani wewe unajihami nini? Vifo vingapi vya watu duniani vinachunguzwagwa baada ya miaka mingi kupita? Tunapoulizana yahusuyo kifo cha sokoine wewe hutaki yaongelewe, kwa sababu gani?
Sasa nani anachafuliwa hapa na nani anamchafua? Nimekuambia nani alimuua sokoine ama umenisikia nimesema alikufa kifo cha namna gani?
Acha watu wajadiliane. Hakuna ubaya katika hilo. Lakini ukweli utasemwa siku zote kwamba Sokoine hakupimwa morogoro hospital kujua kama alifika pale ameshakufa ama alikuwa hai!.
Hili ninalijua. Maswali mengine bwana. Unataka nisemeje? Wenye ufahamu wameshaelewa. Unajuaje kama sikuwepo Morogoro wakati Dr. Materu anaambiwa hana sababu ya kupima?
Jifunze kuwa msikivu kuliko kubisha masual usiyoyajua!.

Ukiambiwa uthibitishe kuwa mwili ulikuwa na matundu ya....utakubali!!? Au wewe ndiye ulihusika kwenye Postmortem. Halafu Je mlikuwa wapi kumuuliza Julius maana ndiye alikuwa Mkulu kabisa. Je ni nani alikuwa IGP, Intelligence chief , Home Affair minister nk.
Nasema mna imani za kichawi kwa kuwa kati ya hoja zenu eti kwavile alikuwa anapata mauzauza.!!! Sasa hii inahusika vip.!!!? NDIO MAANA NASEMA TOKENI HUKO kwenye fikra za ajabu ajabu.
Otherwise mpo hapa KISIASA ZAIDI. but be very careful unapoamua kumchafua mtu huwa inarudi na wewe ipo siku utahusishwa na kifo cha mtu hata kama hujahusika. ACHENI SIASA MAJI TAKA