sandy candy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 490
- 89
Msuya hana jipya, ni fisadi kama walivyo mafisadi wote wa magamba.
Karibia na uchaguzi mkuu mwaka 2010, Jenerali Ulimwengu alipata kuandika kuwa tunapoelekea uchaguzi mkuu tutarajie mengi. Watu wenye heshima zao ndani ya jamii na elimu isiyo na shaka watasimama na kuongea mambo ya hovyo kabisa kuliko neno lenyewe "hovyo" linavyomaanisha. Si kwamba hatakuwa hawaelewi kuwa wanaongea upuuzi, bali watafanya hivyo ili kutimiza haja za matumbo yao.
Alilolisema Jenerali Ulimwengu takribani miaka mitano iliyopita linajirudia leo! Watu wazima wanaongea upuuzi tu bila kujali chochote! Huyu anaongea hili yule anaongea lile yaani ujinga ujinga!
Wewe uliyeleta huu uzi bila shaka unatumia kiuno kufikiri na kama si hivyo basi tumbo lako ndilo linalokuongoza kuleta huu uozo! Sokoine kafariki lini? wakati wote huo ulikuwa wapi kuiibua hii hoja yako? Mnapenda kuleta viroja kujibu hoja nzito. so hutaki Msuya akemee ufisadi? Unataka kumchafua Msuya kisa anakemea ufisadi wa bwana wako? Mlimchafua Salim Ahmed Salim na sasa mnamchafua Msuya!
Mnapokosa hoja tulieni na sio kuleta vioja.
Kifo cha sokoine kimebaki na utata mpaka kesho. Sasa watu wanataka kutumia utata huo kujinufisha kisiasa.
Mimi nalia na Balali tu,huyu mtu mkubwa katika serikali leo anafia katika nchi ya ugenini halafu eti anazikwa kienyeji tu,hivi ni nini kilikuwa kinafichwa na sisi tukijue!
Duh jaman watz tunahitaji madawa elimu bora kazi kwa vijana na kodi zetu na rasilimali zitumike kwa manufaa ya taifa wanaotaka uraisi watuhakikishie watasimamia hayo tuwaache waliotangulia wapumzike
balali hakufa maccm majinga kupitiliza.yanafikiri yataendelea kuwadanganya watanzania mpaka lini.ccm hawa wanaougua kansa yakichwa hawawezi kutuletea maendeleo kwa akili hizi ambazo hatambwa wamewazidi.toka lini mtu akafa mwili wake na maziko yake yasionyeshe ,
Two wrongs to not make one right!yani hapa nimeshajifunza kuwa EL hapendi kukosolewa.na kwa hali ya sasa hivi atafunga watu wengi sana akipata madaraka.kule mwanza alimsumbua mtoto kisa kamuuliza swali gumu.inakuwaje kifo cha sokoine aulizwe Msuya tena baada ya kumkosoa EL?dis-qualified....!