Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Yote hii ni kwa sababu ya mbio za urais. Sitaki kupinga madai kuhusu Msuya juu ya kifo cha Sokoine. Hata kama anahusika, hilo haliondoi hoja yake ya kumtosa mtembeza rushwa aliyebobea. Na kabla Msuya hajasema haya, mlikuwa wapi siku Zote kuhusu kifo cha Sokoine?