Unamhakikishia usalama?Mleta uzi kama unafahamu chochote cha kuanzia mwaga mboga mkuu usiogope.
Mbona povu linakutoka hivyo! Wewe kaa pembeni mwache Msuya aeleze anachokielewa kuhusu kifo cha Sokoine.Karibia na uchaguzi mkuu mwaka 2010, Jenerali Ulimwengu alipata kuandika kuwa tunapoelekea uchaguzi mkuu tutarajie mengi. Watu wenye heshima zao ndani ya jamii na elimu isiyo na shaka watasimama na kuongea mambo ya hovyo kabisa kuliko neno lenyewe "hovyo" linavyomaanisha. Si kwamba hatakuwa hawaelewi kuwa wanaongea upuuzi, bali watafanya hivyo ili kutimiza haja za matumbo yao.
Alilolisema Jenerali Ulimwengu takribani miaka mitano iliyopita linajirudia leo! Watu wazima wanaongea upuuzi tu bila kujali chochote! Huyu anaongea hili yule anaongea lile yaani ujinga ujinga!
Wewe uliyeleta huu uzi bila shaka unatumia kiuno kufikiri na kama si hivyo basi tumbo lako ndilo linalokuongoza kuleta huu uozo! Sokoine kafariki lini? wakati wote huo ulikuwa wapi kuiibua hii hoja yako? Mnapenda kuleta viroja kujibu hoja nzito. so hutaki Msuya akemee ufisadi? Unataka kumchafua Msuya kisa anakemea ufisadi wa bwana wako? Mlimchafua Salim Ahmed Salim na sasa mnamchafua Msuya!
Mnapokosa hoja tulieni na sio kuleta vioja.
Secretary wa Msuya, dada mmoja wa Kipare, alikuwa bado kijana tu, akisali pale Temeke Luth Church.Binafsi huwa sina tabia ya kutetea majitu kama Msuya. Usimpuuze anayemhoji huenda anafahamu zaidi yako maana Msuya kweli amejaa upuuzi tu. Mwizi, fisadi wa kueleweka.
labda anadhani wanaofahamu undani wake ni marehemu. Tupo na tunamfahamu kwa upuuzi wake.
Secretary wa Msuya, dada mmoja wa Kipare, alikuwa bado kijana tu, akisali pale Temeke Luth Church.
Dada huyu alikuwa na pacha mwenziwe, ALIPOTEA na asionekane tena katika uso wa dunia.
Sasa ni zaidi ya miaka 30 dad huyu hajaonekana.
Kwanini sasa "nduguzetu" walimbeba Prof Shaba kutoka New Africa Hotel kumrudisha kwake chapchap baada ya kunywa whisky na kuanza kusema "Sokoine hakufa kifo...alikuwa na matundu ya..."Uanjua watu wanasemaga vitu bila kujua kuna siku vitakuja kuleta maswali.
Kama kuna mtu anasema Sokoine alikuwa akiwa njiani kuelekea Morogoro, nani alithibitisha kifo cha Sokoine? Kulikuwa na Daktari kwenye ile gari aliyempima na kujua alifia njiani wakienda Morogoro?
Nini ilikuwa sababu ya kumpitisha Morogoro Regional Hospital Ikiwa walikuwa wanajua alifilia njiani hata kabla hajafika Morogoro?
Ni vizuri wakanyoosha maelezo.
Ninachokifahamu mimi, waliompeleka Hospital ya Morogoro walikataa asipimwe kwamba alishakufa. Ni jambo dogo lakini ni vizuri kuliangalia kwa upana. Pale Morogoro hakuna Daktari alimpima Sokoine kuthibitisha amekufa ama la. Dr. Materu, aliyekuwa zamu pale, aliye wapokea hakuruhusiwa ampime.
Kama ni report iliandikwa ilikuwa ni kwa formalities na kutokana na maelezo waliyokuwa wanayapata.
Ninaogopa kusema zaidi kwa hofu ya kuambiwa naandika uchochezi.
Imetosha.
vifo vingi ktk jamii za ki Africa hata kwenye ngazi ya kaya au familia zinakuwa na hisia au imani za ajabu ajabu hasa kwa watu kama wewe na mleta hoja. Hata mtu muone anaumwa EBOLA mtasena alikuwa na ugomvi na fulani. HEBU TOKENI HUKO JAMANI. Tupo ulimwengu mwingine sasaUanjua watu wanasemaga vitu bila kujua kuna siku vitakuja kuleta maswali.
Kama kuna mtu anasema Sokoine alikuwa akiwa njiani kuelekea Morogoro, nani alithibitisha kifo cha Sokoine? Kulikuwa na Daktari kwenye ile gari aliyempima na kujua alifia njiani wakienda Morogoro?
Nini ilikuwa sababu ya kumpitisha Morogoro Regional Hospital Ikiwa walikuwa wanajua alifilia njiani hata kabla hajafika Morogoro?
Ni vizuri wakanyoosha maelezo.
Ninachokifahamu mimi, waliompeleka Hospital ya Morogoro walikataa asipimwe kwamba alishakufa. Ni jambo dogo lakini ni vizuri kuliangalia kwa upana. Pale Morogoro hakuna Daktari alimpima Sokoine kuthibitisha amekufa ama la. Dr. Materu, aliyekuwa zamu pale, aliye wapokea hakuruhusiwa ampime.
Kama ni report iliandikwa ilikuwa ni kwa formalities na kutokana na maelezo waliyokuwa wanayapata.
Ninaogopa kusema zaidi kwa hofu ya kuambiwa naandika uchochezi.
Imetosha.
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 30 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za kuhusishwa na kifo cha Mh. Sokoine;kwa sababu Mh. Msuya kwa siku za karibuni amejitokeza kukemea maovu mbalimbali yanayofanywa na viongozi wa CCM bila shaka pia atakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma hizi.
Kwanini sasa "nduguzetu" walimbeba Prof Shaba kutoka New Africa Hotel kumrudisha kwake chapchap baada ya kunywa whisky na kuanza kusema "Sokoine hakufa kifo...alikuwa na matundu ya..."
Searching....
vifo vingi ktk jamii za ki Africa hata kwenye ngazi ya kaya au familia zinakuwa na hisia au imani za ajabu ajabu hasa kwa watu kama wewe na mleta hoja. Hata mtu muone anaumwa EBOLA mtasena alikuwa na ugomvi na fulani. HEBU TOKENI HUKO JAMANI. Tupo ulimwengu mwingine sasa
Ukiambiwa uthibitishe kuwa mwili ulikuwa na matundu ya....utakubali!!? Au wewe ndiye ulihusika kwenye Postmortem. Halafu Je mlikuwa wapi kumuuliza Julius maana ndiye alikuwa Mkulu kabisa. Je ni nani alikuwa IGP, Intelligence chief , Home Affair minister nk.Mtu kufa kwa risasi nayo ni imani ya kiafrica? mbona naona unataka kuutumia vibaya uafrica?
Hallucinations ni za kiafrica?
Mtu kupatwa na hallucinations akatafuta njia za kumfanya a relax no matter ni za namna gani nao ni uafrica?
Taratibu kiongozi.
Nakumbuka kwenye kipindi cha majira (RTD) tarehe 10/4/1984 - siku mbili kabla ya Sokoine "kuuliwa", Ben Kiko aliripoti kuwa Mh. Sokoine alitamka hivi (kwenye kikao cha CCM) :-
"...Na wale Ma-Padri tuliowakamata kwenye uhujumu uchumi tutawapeleka kwa Baba Askofu wao... pia kikao kijacho tutawawajibisha viongozi wa juu wa chama na serikali ambao watabainika kuhusika na uhujumu uchumi..."
Siku mbili baadaye... Sokoine was GONE...GONE Forever....!
Kwa wale ambao mlikuwa hamjazaliwa:-
Unataka kutuambia ni sahihi kwa Msuya kwa vile alivyoitwa "kidole cha damu"?