Msuya atueleze aliko Sokoine

Msuya atueleze aliko Sokoine

Tunataka Editors Forum im sumon Kibanda Maramoja atoa ushahidi takukuru au afukuzwe uandishi wa habari maana sio kazi anayoiweza
 
Huyu atakuwa chizi siyo bure.
 
We mbona una akili za nguruwe hapo tunamwona kibanda we unamtaja Lowasa.Upungufu wa akili huo
Wewe sijui ulizaliwa saa ngapi unamawazo ya hovyo kuliko watanzania wote sijui kama hata unajitambua.
 
Sidhani kama Kibanda kasema Msuya ndiye aliyeua?
Anasema ndiye anaetuhumiwa.
 
Na mimi nichangie kidogo kuhusu huyo mzee wa kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe...serikali ya Tanzania ilipokabidhiwa fedha za pensheni za wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, yeye, David Cleopa Msuya alikuwa Waziri wa Fedha. Walichofanyia hizo hela baadaye na Raisi wake Mwinyi kimebaki kitendawili hadi leo.
 
Uanjua watu wanasemaga vitu bila kujua kuna siku vitakuja kuleta maswali.

Kama kuna mtu anasema Sokoine alikuwa akiwa njiani kuelekea Morogoro, nani alithibitisha kifo cha Sokoine? Kulikuwa na Daktari kwenye ile gari aliyempima na kujua alifia njiani wakienda Morogoro?

Nini ilikuwa sababu ya kumpitisha Morogoro Regional Hospital Ikiwa walikuwa wanajua alifilia njiani hata kabla hajafika Morogoro?

Ni vizuri wakanyoosha maelezo.

Ninachokifahamu mimi, waliompeleka Hospital ya Morogoro walikataa asipimwe kwamba alishakufa. Ni jambo dogo lakini ni vizuri kuliangalia kwa upana. Pale Morogoro hakuna Daktari alimpima Sokoine kuthibitisha amekufa ama la. Dr. Materu, aliyekuwa zamu pale, aliye wapokea hakuruhusiwa ampime.

Kama ni report iliandikwa ilikuwa ni kwa formalities na kutokana na maelezo waliyokuwa wanayapata.

Ninaogopa kusema zaidi kwa hofu ya kuambiwa naandika uchochezi.

Imetosha.

sokoine wakati anapelekwa hospitali ya morogoro uso ulifunikwa na kitambaa hata huyu daktari aliyeaandika report hakujua anaandika ya nani. TISS walimwambia andika report chini ya ulinzi mkali bila hata jina.
 
Huyo naye ni mng'oa kucha original toka kipindi hichoooo cha baba wa taifa....
 
attachment.php

Tatizo kumgusa lowassa ? Tafuteni katika viongozi watata the best wa mwalimu muasisi wa taifa uwezi kumweka pembeni mzee msuya
 
na inaonekana ikulu ilimtisha asipomshambulia lowassa wataanika mauaji ya sokoine,alisahau kuwa lowassa ndio bingwa wa kuchafuana kwenye mambo hayo..
 
Tunaomba sana huu uzi msiondoe tunafutilia kwa karibu na huyu Msuya inawezekana hata Mrema alimfuza yeye Ccm asingetoka makubwa yangemkuta.Kumbe huyu msuya hawapendi viongozi wanaopenda nchi yetu na watu wake mda wakumjadili umefika naye arekebishwe.
 
#Team Lowassa at work,, Swali muhimu la kujiuliza Kwanini tuhuma hizi sasa? mwaka wa uchaguzi? miaka yote walikuwa wapi?
 
hivi ww uko kambi gani vile!!! wewe dogo una bahati huwa nikikutaja kwa ile ID yako nyingine huwa nalimwa bun!!!!.... Jaji Warioba alistahili Heshima zaidi.

Nani? Mtoto mzuri Paulina Macounder au?
 
nenda jukwaa la historia utapata mwangaza dogo

Unamwita nani dogo?hapa unazungumza na mkubwa mzee;ninachosema ni kuwa Msuya hadi kufikia tarehe 12/4/2015 ni lazima atueleze aliko Sokoine;na hakika atatueleza...sina mengi zaidi ya kusema
 
#Team Lowassa at work,, Swali muhimu la kujiuliza Kwanini tuhuma hizi sasa? mwaka wa uchaguzi? miaka yote walikuwa wapi?

Swali km lako,Lowassa hajaanza kutoa Hela leo,Je!leo mwaka wa uchaguzi ndio C.Msuya anauona huo uovu wa Lowassa?
 
Back
Top Bottom