Msuya atueleze aliko Sokoine

Msuya atueleze aliko Sokoine

jibu lako ni simple je mafisadi wana jwtz? assasinators mpaka wawe jwtz? yey msuya ni moja wa wale wahujum uchumi kwa hiyo taarifa yenyewe umesikia kwamba hakupimwa ila alitangwa kafa kweny ajali usichezee hela mkuu. escrow inamshinda kikwete kwa sabab gani? alaf ukumbuke ya balali na prof. juan mwaikusa kilichomkuta


Mkuu hapa tunaongelea kifo cha waziri mkuu siyo kifo cha kapuku kama morinyo. Hayo yanaweza kufanyika kwa kifo cha kapuku kama mimi lakini ikitokea kwa waziri mkuu tunakua na shida kujua kama hakuna baraka za mamlaka iliyo juu zaidi ya waziri mkuu.
 
Hivi kuweka siri ya zaidi ya mtu moja ni kitu rahisi? Kuna msafara , askari, wapita njia na madaktari. Hawa wote wamekuwa ni part and parcel kinachozungumzwa. Why dont you ask watoto wake , na wao waseme views zao. Ninatumaini they viewed body kabla ya kuzikwa.
 
msuya alihusika kwa asilimia 100 kwani yeye ndiye aliyekuwa DEREVA wa sokoine.
hahahahaaaaaaaa bangi hizi!!
 
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 31 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za kuhusishwa na kifo cha Mh. Sokoine;kwa sababu Mh. Msuya kwa siku za karibuni amejitokeza kukemea maovu mbalimbali yanayofanywa na viongozi wa CCM bila shaka pia atakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma hizi.
Miaka 40 sasa
 
Nakumbuka kwenye kipindi cha majira (RTD) tarehe 10/4/1984 - siku mbili kabla ya Sokoine "kuuliwa", Ben Kiko aliripoti kuwa Mh. Sokoine alitamka hivi (kwenye kikao cha CCM) :-

"...Na wale Ma-Padri tuliowakamata kwenye uhujumu uchumi tutawapeleka kwa Baba Askofu wao... pia kikao kijacho tutawawajibisha viongozi wa juu wa chama na serikali ambao watabainika kuhusika na uhujumu uchumi..."

Siku mbili baadaye... Sokoine was GONE...GONE Forever....!

Kwa wale ambao mlikuwa hamjazaliwa:-
Ccm na sio Bungeni?kazi kweli kweli💤
 
Kawawa alikufa na majibu sahihi.
Nyerere alikufa na majibu sahihi.
Dr Shaba alikufa na majibu kamili.
..TUPITIE HAPA KWANZA:
 
Mtengeti, usimkaripie. Historia hairekebishwi lakini hufundisha. Lakini pia usiwe na uhakika sana kwamba serikali mpya ijayo haitafuatilia yaliyopita hasa yenye maslahi ya taifa kama mikataba fake, ufisadi na wizi wa raslimali za taifa. Hawa tunawafahamu na tutadeal nao. Wote waliokwapua mali zetu kwa njia yoyote, zikaachwa nchini ama kupelekwa nje, tutazifuatilia. Wengine watakuwa marehemu, tutashughulika na warithi wao lengo raslimali za taifa zirudi, zifanye maendeleo ya nchi, lakini pia liwe somo kwa wanaodondosha mate wakitamani fursa za kufanya uhuni kama ule.

Kwa habari ya kifo cha Sokoine, Bwana Msuya na Kawawa ambaye ni marehemu kwa sasa, wlaikuwa kwenye system. Sidhani kama mtu akiwauliza uelewa wao juu ya jambo hilo la kifo cha Sokoine, kunakuwa na jinai yoyote.
Yeye ajibu tu anachokielewa, historia iandikwe vizuri au iwe updated. Pale atakwama, atasaidiwa.

Kwani yule mganga aliyekuwa anawaosha madawa usiku kwenye mavyungu pale kwa Msuya, ambayo yanasemekana yalimaanisha kuondoa maruwe ruwe aliyokuwa yakiwatokea baada ya kifo hicho alikufa? Kama hayupo bila shaka watoto wake bado wapo, wanaweza kusaidia pia katika uandishi wa historia hii katika kipindi hiki cha maendeleo ya sayansi.

Hallucinations zinaweza kuwa zilikuwa zikiwapata kwa labda walimpenda sana Marehemu na kuguswa sana na kifo chake kuliko wenzao. Na ukaribu huo ndio unaotamanisha watu wasikie lolote juu ya kifo hicho kutoka kwao.
Asee kumbe ilikua ntiti hadi watu kuoshwa kwenye vyungu
 
Back
Top Bottom