Msuya atueleze aliko Sokoine

Msuya atueleze aliko Sokoine

Mkuu asante kwa kunijibia hata mimi nilitaka kumuuliza hayo uliyomuuliza Sokoinekafa miaka kibao leo hii baada ya Mzee wa watu kumsema baba Fred jamaa ndio anamkumbuka Moringe,tena akamsaidie huyo Fred kunywa viroba.

Kwa hiyo Msuya asisemwe siyo?naye ana madhambi yake mengi tu;ninachopenda kukuhakikishia ni kuwa Msuya tutashughulika naye,we can easily handle him
 
Sijaelewa kitu.

Hujaelewa nini wewe!!...Timu Lowassa imekuwa kama vile nyuki wametikiswa mzingani na C.Msuya; inafanya tit for tat. Kisa Lowassa kuzidi kukataliwa!

Hawa watu hata kama wangesikia Lowassa kafa watajaza server wakimlaani Mungu, maana mungu wao Lowassa atakuwa amekufa.
 
Kibanda tangu aanze kumtumikia Fisadi Lowasa akili yake imevurugika sijui ni kwa sababu ya kung'olea jicho

Si mlimng'oa jicho wenyewe?lakini bado anaona
 
Waandishi wa habari mnategemewa sana kutoa taarifa ambazo haziwezi kuleta machafuko sasa kibanda kibovu unaposema hivyo ni unafiki na sijui unataka watanzania wakueleweje waache CCM wanajuana ni nani wamemwandaa tunawasubiri kwenye uwanja wamchague wa kwao ili watanzani waamue hatima ya maisha yao yaliyopoteza muelekeo acha kumchafua MSUYA kwani kuna mtanzania asiyejua kuwa LOWASA ni fisadi? au kwa vile kasema msuya?acha majungu kama huna cha kusema kaa kimya
 
Mwaka huu tutasikia mengi sana lakini kweli msuya hawezi mziki wa Lowasa hata afanyeje kama haamini amuulize Kinanan na Nape

unstoppable_rage_9018.jpg

Unstoppable!
 
baada ya kushinDwa kulogana sasa mmeamua kuchafuana , ccm ni chama cha hatari kuliko ukoma ! Ni hivi rais ajaye atatoka UKAWA nyinyi mtaishia kuuana tu , POOR CCM !
 
baada ya kushinDwa kulogana sasa mmeamua kuchafuana , ccm ni chama cha hatari kuliko ukoma ! Ni hivi rais ajaye atatoka UKAWA nyinyi mtaishia kusingiziana tu , POOR CCM !
 
Msuya kayataka haya....yeye na Kawawa ndio prime Suspects though ni wazi Kawawa hakuhusika...Msuya ndie aliyeliliwa na wengi na hata hayo mauzauza kipindi kile yalimhusu yeye...Mzee Rashid aliingizwa na wahuni ili Cleopa apone.

Mwalimu ali handle hii issue vyema otherwise Msuya asingelipona toka usoni machoni pa watu

Hapo kwenye RED kwa maana yako inamaanisha Mwalimu Nyerere ndio mtuhumiwa wa kwanza wa kifo hiki ni vema tukafikiria kwa mapana yake kama Nyerere alikuwa kiongozi makini na hodari inawezekana vipi kiongozi mchapakazi aliyemtegemea kama Sokoine auwawe na yeye hasichukue hatua yeyote?
 
Msuya ni bora angeweka mambo hadharani! Sioni cha ajabu kwa hili? Je waliokuwepo enzi zile watujuze uhusiano wa kikazi kati ya EMS na CM! Then kuanzia hapa tuta develop the true story! Wengine hili hatulifahamu lkabisa!
 
Jamani wengine hatuna historia vizuri juu ya tuhuma za Msuya juu ya kifo cha Sokoine? Tupeni taarifa vizuri huyo Msuya alihusikaje na hicho kifo ili tuconnect dotes wengine tumezaliwa 1989 so tulipishana na marehem.Samahani kwa kuomba data za zamani
 
Subiri nirudi MMU Mzizi Mkavu anaweza akawa ametupia episode ya Munil
 
Nakumbuka kwenye kipindi cha majira (RTD) tarehe 10/4/1984 - siku mbili kabla ya Sokoine "kuuliwa", Ben Kiko aliripoti kuwa Mh. Sokoine alitamka hivi (kwenye kikao cha CCM) :-

"...Na wale Ma-Padri tuliowakamata kwenye uhujumu uchumi tutawapeleka kwa Baba Askofu wao... pia kikao kijacho tutawawajibisha viongozi wa juu wa chama na serikali ambao watabainika kuhusika na uhujumu uchumi..."

Siku mbili baadaye... Sokoine was GONE...GONE Forever....!

Kwa wale ambao mlikuwa hamjazaliwa:-

Kumbe ccm siyo watu kabisa tupeni kule! Pumzikeni kwa heshima inatosha.
 
Baada ya msuya kumkosoa Lowassa kwa ufisadi,, naona Team Lowassa mmekuja kwakasi kujibu mapigo?! he! he! Lowassa at work

yani hapa nimeshajifunza kuwa EL hapendi kukosolewa.na kwa hali ya sasa hivi atafunga watu wengi sana akipata madaraka.kule mwanza alimsumbua mtoto kisa kamuuliza swali gumu.inakuwaje kifo cha sokoine aulizwe Msuya tena baada ya kumkosoa EL?dis-qualified....!
 
Msuya ni bora angeweka mambo hadharani! Sioni cha ajabu kwa hili? Je waliokuwepo enzi zile watujuze uhusiano wa kikazi kati ya EMS na CM! Then kuanzia hapa tuta develop the true story! Wengine hili hatulifahamu lkabisa!

Walikuwa wametofautiana kimtazamo kuhusu baadhi ya amri akizitoa Sokoine jambo ambalo ni la kawaida sehemu yoyote kama mtu hapendi majungu. Licha ya heshima kubwa niliyo nayo kwa Sokoine lakini tutambue alikuwa binadamu kama sisi wakati mwingine alikosea hata kama ilikuwa kwa nia njema!

Ushauri wangu kwa mzee Msuya ni kwamba tulipo kuwa tunahitaji kusikia sauti yake kama Taifa hatukumsikia. Ulikuwa wakati wa Mchakato na Bunge la Katiba! Pili wana CCM wote kuanzia ngazi ya chini kabisa mpaka huko juu wanatumia pesa kupata vyeo/madaraka! Hakuna mwenye nafuu.
 
Nasisitiza...Msuya ameamua kujitokeza kushiriki siasa za mapambano ya urais,hakika namthibitishia kuwa tutamchapa humu JF yeye pamoja na wapambe wake na waliomtuma kuropoka ovyo;tutamchapa humu ndani JF na tutamchapa huko nje hadharani kwenye uwanja wa mapambano,kama ana nguvu ahimili na tusimsikie analialia
 
Labda niseme kitukimoja, Alitakiwa ajue kwamba na yeye Mzee Msuya kunamambo yake watu wanajuwa ila awataki kuyasema, kwasababu amefunguka sasa na watu wanaomjuwa nao wanafunguka.
Mimi naweza kusema wazi, kuungua kwa BOT na Nasaco mzee Msuya aliusika sana.apo awezi toka couse I know.
 
Duh jaman watz tunahitaji madawa elimu bora kazi kwa vijana na kodi zetu na rasilimali zitumike kwa manufaa ya taifa wanaotaka uraisi watuhakikishie watasimamia hayo tuwaache waliotangulia wapumzike
 
Back
Top Bottom