Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,582
- 28,566
Ni Kama Tumewadharau Kwa Kujua Kua Mnakabiliwa Upungufu Mkubwa Wa Fikra Pevu Ila Tumeona Jinsi Mods Wanavyo Wasaidia Kupigia Depe Upuuzi Wenu Kwa Kuwacha Huu Uzi Uendelee Kutawala Humu
Kwa Kabisa Kwa Niaba Ya Familia Ya Mzee Msuya Tunasikitishwa Na Kulaani Kwa Nguv Zote Matumizi Holela Ya Mtandao Yenye Nia Ya Kubadili Taswira Ya Nchi Hii Inashangaza Sana Mtu Kujibu Tuhuma Kwa Kumtuhumu Alokutuhumu.Genge Hili Lenye Nia Ya Kumsafisha El Limekuwa Na Kawaida Ya Kumtuhumu Kila Anaye Mtuhumu Bwana Wao Bila Kujua Kuwa Hayo Hayawezi Kuwa Maji Ya Kumtakasa Bwana Wao
Kuhusu Mzee Msuya Kuhusishwa Na Kifo Cha Mpendwa Wetu Edwad Moringe Sokoine Hii Ni Jinai Wenye Ushahidi Mahakama Ziko Wazi Wanaweza Kwenda Huko Kama Wanataka Haki Ipatikane Na Kuonekana Kuwa Ni Haki
Kuhusu Bint Alopotea Tuelezeni Kuwa Kapotelea Ofisini Kwa Msuya Nyumbani Kwake Ao Mikononi Mwake Kama Hamna Data Tafuten Namna Ya Kumsaidia Mkuu Wenu Kwenda Ikulu Sio Kumchafua Mzee Wetu Aloipigania Nchi Yetu.
We wa Nyika na Vome!!
Kwani veve mthemaji va mdhee Mthuya!!!!!