Msuya atueleze aliko Sokoine

Msuya atueleze aliko Sokoine

Yanajirudia yale ya Salim Ahmed Salim kutuhumiwa kumuua Karume. Uchaguzi unaibuka na mambo mengi sana.

ila hili jambo kwa sisi vijana linatuhusu sana kwa sababu ufisadi umezid sana na watu wenyewe wanaua watu watetez wa wananch wanaojarib kuvaa kiatu cha sokoine. tangu wakati huo kifo cha sokoine ni utata na huyu mze ni suspect
 
Ni aibu sana kulete uzushi ambao hauna vielelezo.Sijawahi kusikia kama ipo ripoti yoyote kwenye mihimili yote 3 inayoonyesha kuwa msuya alihusika.kama ipo ripoti wekeni hapa JF.EL anaweza kutuongoza sisi kama nchi,kaweza JK bwana?tatizo anatoa hela kila kona.sasa tunamkataa kwasababu hizo na tuhuma za ufisadi.Msuya anaweza kujibu kama mnaweka hapa vielelezo.ila hivi hawezi kujibu bali mtaleta ubishani.kwanza ccm hatuitaki hata mgombane kiasi gani.
 
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 31 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za kuhusishwa na kifo cha Mh. Sokoine;kwa sababu Mh. Msuya kwa siku za karibuni amejitokeza kukemea maovu mbalimbali yanayofanywa na viongozi wa CCM bila shaka pia atakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma hizi.

hatutoki hapa tunamsubir kwa hamu atoe ufafanuz, mods tunakupa pongez usikilize shinikizo eti ufute uzi huu.
 
Ndugu yangu Mleta mada angalia tena vyanzo vyako vya habari kuhusu Kifo cha Marehemu Sokoine,Hizi taarifa unaloleta humu zinasababisha usumbufu kwa baadhi ya ndugu na jamaa wa Marehemu na sisi wengine ambao tunawafahamu hao Wazee wote na utumishi wao Serikalini.Jioni ile ya Jumatano,April 12/1984 pale Wami-Dakawa katika wilaya ya Mvomero,Mzee Sokoine alikufa katika ajali ya kawaida kabisa ya gari? Nasema hivi kwa sababu tulikuwa katika msafara ule.Kulikuwa na makosa yaliyofanywa na gari lililokuwa linakuja upande wa pili,ambalo lilikuwa linaendeshwa na Mkimbizi Dumisani Dube.Gari hilo liliserereka na kugonga gari la Waziri Mkuu,Upande aliokuwa amekaa Sokoine,na wakati huo inasadikiwa Marehemu alikuwa amelala.Mara tu baada ya ajali ile Mkimbizi yule alishikiliwa na vyombo vya usalama.Marehemu Sokoine aliiingizwa kwenye gari Jingine na kukimbizwa Hospitali ya Mkoa,Morogoro mjini.Hakuna aliyeweza kusema pale kwenye ajali ambayo ilitokea saa 10 jioni kama Waziri Mkuu alikuwa Hai au Amekufa.Habari za kifo zilithibitishwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na maelezo yake yalisema Waziri Mkuu alifariki kwenye ajali.

Hizi habari unazoziandika hapa kwamba Mzee Msuya anahusika kwa namna moja ama nyingine hazina ukweli wowote.Marehemu Sokoine alifariki katika ajali ya barabarani.Kuandika habari kama hii unaleta sintofahamu,umemuhusisha Mzee Msuya na tukio jingine la kupotea kwa secretary wake karibu miaka 30 iliyopita,siwezi kulisemea hilo kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kulisikia.Lakini naomba usielekeze tuhuma hizi nzito kwa sababu tu ya misimamo tofauti ya Kiitikadi.Mzee Msuya kama wewe anaweza kusema lolote kuhusu hizi harakati za baadhi ya Watanzania kuwania nafasi ya Urais, hana upendeleo wowote kwenye mchakato huu,mwisho wa siku ana kura yake moja tu.Nipo wazi kukosolewa lakini nimeamua kuandika hili kwa makusudi ili tusiifanye forum kama kijiwe cha kuchafua Watanzania wenzetu!

Umekariri tu vya kuambiwa pasipo kuchanganya na Akili yako, Sokoine hakufa kwa Ajali bali ni mpango ulikuwa umesukwa ile Ajali ilikuwa ni Feki tu kama ilivyokuwa Ajali ya Chacha wangwe, kubali ukatae Sokoine alipigwa Risasi wakati amesinzia kisha Gari zikagonganishwa kuwazuga watu, hata Chacha wangwe ilikuwa hivyo hivyo lakini tofauti ni kwamba wauaji watumia Kijiko ( Greda) kuiponda Gari kisha kuibinua kwenda pembeni baada ya kuwa wamempiga Risasi kupitia Mdomoni Wakati akiwa amesinzia wanaondoka haraka na kumwacha Deus Mallya akizuga kuwa ni Ajali. R. I . P chacha wangwe na Sokoine.
 
mi nadhan hustahil kujibiwa ila kwa faida ya watanzania ni kwamba sokoine alikufa kwa ajali ya gari wakat akitoka dom kwenda dar gari lake liligongana na gar ilokuwa ikiendeshwa na mkimbizi kutoka south akiitwa DUBE kuhusiana na kumzika sekretari mzee msuya hajawah kufanya kaz idara ya mazishi kwenye halmashauri yoyote nchini

tunajua hayo ila ujasir wa mze msuya kukemea ufisadi ndio uliofumua hili kwa sabab yey hakuwa msafi tangu mwanzo hasa mambo haya ya ufisadi mpaka akahusishwa na kifo cha sokoine ndio mana watu wanamtaka aje na ufafanuz wa aliko sokoine mana yey ni fisadi mkubwa wa wakati ule akijulikana kwa jina mhujumu uchumi. sasa leo anawezaje kutoa kibanzi kwenye jicho mwenzake wakati yey ana boriti kweny jicho lake? katoe kwanza boriti kweny jicho lako ndipo uweze kutoa kibanz kweny jicho la mwenzako
 
Haya ya Chacha Wangwe nayo ndio yapo hivyo??
 
Ni aibu sana kulete uzushi ambao hauna vielelezo.Sijawahi kusikia kama ipo ripoti yoyote kwenye mihimili yote 3 inayoonyesha kuwa msuya alihusika.kama ipo ripoti wekeni hapa JF.EL anaweza kutuongoza sisi kama nchi,kaweza JK bwana?tatizo anatoa hela kila kona.sasa tunamkataa kwasababu hizo na tuhuma za ufisadi.Msuya anaweza kujibu kama mnaweka hapa vielelezo.ila hivi hawezi kujibu bali mtaleta ubishani.kwanza ccm hatuitaki hata mgombane kiasi gani.

Hujawahi kusikia wewe peke yako Lakini wengine wajanja wamesikia kwani kila Jambo hapa Tz lazima ulisikie? Ulichelewa kusikia sasa sikia leo Sokoine hakufa kwa Ajali kama Chacha Wangwe ambavyo na yeye alikufa.
 
mi nadhan hustahil kujibiwa ila kwa faida ya watanzania ni kwamba sokoine alikufa kwa ajali ya gari wakat akitoka dom kwenda dar gari lake liligongana na gar ilokuwa ikiendeshwa na mkimbizi kutoka south akiitwa DUBE kuhusiana na kumzika sekretari mzee msuya hajawah kufanya kaz idara ya mazishi kwenye halmashauri yoyote nchini
Mtu ambaye anahusishwa na vifo vya utata ili aendelee katika utawala kimsingi hana mshipa wa kushauri chochote.
Ni kama wauaji wa maalbino wa miaka hii.
Kuomba ushauri wa kisiasa toka kwa Mzee wetu Msuya sawasawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji kuagua, mikono imejaa damu.
 
tunajua hayo ila ujasir wa mze msuya kukemea ufisadi ndio uliofumua hili kwa sabab yey hakuwa msafi tangu mwanzo hasa mambo haya ya ufisadi mpaka akahusishwa na kifo cha sokoine ndio mana watu wanamtaka aje na ufafanuz wa aliko sokoine mana yey ni fisadi mkubwa wa wakati ule akijulikana kwa jina mhujumu uchumi. sasa leo anawezaje kutoa kibanzi kwenye jicho mwenzake wakati yey ana boriti kweny jicho lake? katoe kwanza boriti kweny jicho lako ndipo uweze kutoa kibanz kweny jicho la mwenzako
Msimpe ujasiri mtu asiyestahili.
Kuna wakati Mwalimu akitoa wasifu wa Mawaziri wakuu waku alimsema Msuya , na alimsema kiutu uzima.
Mwalimu alisema Sokoine alikuwa mchapa kazi na alikuwa mkweli, na aliamini kile anachokifanya bila kuonea mtu wala hila.
Lipokuja kwa Msuya alisema wazi wazi kuwa ni mchapa kazi, lakini ni kama alikuwa waziri mkuu wa Mwanga.
Kwake kila kitu Mwanga kwanza.
Kwa maana alikuwa na ubinafsi, upendeleo na kuna miradi alihamisha kutoka mikoa mingine kupeleka kwao Mwanga-kimsingi huo ni ufisadi.

Alipokuja kutoa wasifu wa Kawawa, Mwalimu hadi alitoa machozi, huku akisema Kawawa amebebeshwa lawama nyingi asizo stahili, lakini alivumilia.
 
sio tu msemaji bali hata sasa niko siting room kwake tunajianda kwa chakula cha jioni na ananipatia historia nzur ya mapinduzi ya zenj. akimaliza nitapost kwa faida yenu mnaopotosha historia kwa faida ya fisadi wenu

Kwa hiyo wewe ni mwanafamilia au mganga njaa?
 
Haya ya Chacha Wangwe nayo ndio yapo hivyo??

Yapo hv : Deus Mallya Rafiki mkubwa wa Mnyika alipandikizwa kwa Chacha kwa Gia kuwa atakuwa akimpa Siri juu ya nini kilikuwa kinaendelea Upande wa pili, kipindi Hicho chacha alikuwa kasimamishwa Kazi, Deus malya akatengeneza mazoea ya kasi kwa chacha akawa anampelekea Habari za kizushi akizuga kuwa kawasikia cc wakimteta chacha nk ndipo chacha akaanza kumwamini Deus: SIKU YA TUKIO chacha akiwa Bungeni aliomba maji ya kunywa ameze dawa, lakini Mrema wa CDM alimpatia maji yenye dawa ya Usingizi akaanza kujisikia vibaya akaamua kuludi nyumbani haraka, akiwa nyumbani Deus akaenda kumgongea wasafiri kwenda Dsm kwenye msiba wa Bhoke Mnanka, chacha akamwambia Deus waahirishe Safari mama anajisikia vibaya,Deus akawa King'ang'anizi alienda kumgongea mara 3 hadi akaamka ili wasafiri, wakati huo Deus alikuwa kaikorokochoa Gari kiaina huku akiwasilana na Wauaji wawili ambao mmoja ni mbunge wa huko kasikazini na mwingine yupo makao makuu Kinondoni. Safari ikaanza huku Chacha akiwa anasinzia sinzia walipofika eneo la Tukio chacha akawa bado yupo macho ikabidi Deus Mallya azuge kuwa Gari ni Mbovu ili wapate sababu ya kuludi Dodoma angalau wakiludi eneo la Tukio kuwe kuna Giza ,wakaludi Dodoma walipofika Deus akazikaza zile Nati ambazo alizilegeza awali na Safari ikaanza tena hatamae wakafika eneo la Tukio Giza likiwa limeingia ,Wakati Huo chacha alikuwa kasinzia Deus akasimamisha Gari wakapanda watu wawili wote wanatoka kasikazini mmoja ni mbunge na mwingine yupo makao makuu, baada ya kupanda Gari wakaenda kuegesha Gari walipopaandaa wakampiga Risasi Mdomoni kisha Kijiko (Greda) kikaibonda Gari kwa juu na kuibinua na kutokomea huku wale watu wawili nao wakipanda Gari na kuishia wakimwacha Deus Mallya akizuga na kuwahadaa Watanzania kuwa ni Ajali, wanakijiji wa pale na Polisi walijua Mchezo wote lakini Rushwa ni Adui wa haki kwa leo tuishie hapa siku ingine nitakujuza zaidi.
 
tunajua hayo ila ujasir wa mze msuya kukemea ufisadi ndio uliofumua hili kwa sabab yey hakuwa msafi tangu mwanzo hasa mambo haya ya ufisadi mpaka akahusishwa na kifo cha sokoine ndio mana watu wanamtaka aje na ufafanuz wa aliko sokoine mana yey ni fisadi mkubwa wa wakati ule akijulikana kwa jina mhujumu uchumi. sasa leo anawezaje kutoa kibanzi kwenye jicho mwenzake wakati yey ana boriti kweny jicho lake? katoe kwanza boriti kweny jicho lako ndipo uweze kutoa kibanz kweny jicho la mwenzako

Mzee msuya alidhani kajificha kwenye Msitu kumbe yupo kwenye shamba la karanga.
 
Ni aibu sana kulete uzushi ambao hauna vielelezo.Sijawahi kusikia kama ipo ripoti yoyote kwenye mihimili yote 3 inayoonyesha kuwa msuya alihusika.kama ipo ripoti wekeni hapa JF.EL anaweza kutuongoza sisi kama nchi,kaweza JK bwana?tatizo anatoa hela kila kona.sasa tunamkataa kwasababu hizo na tuhuma za ufisadi.Msuya anaweza kujibu kama mnaweka hapa vielelezo.ila hivi hawezi kujibu bali mtaleta ubishani.kwanza ccm hatuitaki hata mgombane kiasi gani.

usikimbilie habar hii kuita ni uzushi na aibu wakati mwingine udhaif wetu ni dawa yetu kuna mambo ya msingi yamesemwa hapa na kuna watu wamejitokeza kama mashuhuda kwamba sokoine hakupimwa na mwili wake ulikuwa na matundu. kwa suala la lowasa na kambi yake huenda wanahangaika kumsaidia lakini wanampoteza wala wasikuumize akili sis tuko na msuya ajitokeze mana hili jambo kubwa
 
Ukiambiwa uthibitishe kuwa mwili ulikuwa na matundu ya....utakubali!!? Au wewe ndiye ulihusika kwenye Postmortem. Halafu Je mlikuwa wapi kumuuliza Julius maana ndiye alikuwa Mkulu kabisa. Je ni nani alikuwa IGP, Intelligence chief , Home Affair minister nk.
Nasema mna imani za kichawi kwa kuwa kati ya hoja zenu eti kwavile alikuwa anapata mauzauza.!!! Sasa hii inahusika vip.!!!? NDIO MAANA NASEMA TOKENI HUKO kwenye fikra za ajabu ajabu.
Otherwise mpo hapa KISIASA ZAIDI. but be very careful unapoamua kumchafua mtu huwa inarudi na wewe ipo siku utahusishwa na kifo cha mtu hata kama hujahusika. ACHENI SIASA MAJI TAKA

Aulizwe Nyerere??? Nyerere yupi?. Yule Nyerere ambae alikua anajua kila kitu peke yake nchi nzima ambae sasa tunataka awe mtakatifu zaidi kuliko kardinal Rugambwa, kardinali wa kwanza mweusi Duniani tangu kanisa katoliki lianzishwe ulimwenguni?.

Inauma sana kwa yaliyofanywa kwa watoto wa Tanganyika na Zanzibar chini ya Saint Nyerere!
 
Hallucinations ni uchawi? Mambo mengine yanahitaji jitihada binafsi kuelewa siy lazima yawe kwenye syllabus ya shule bwana.

Naomba usiweweseke. Ukitulia inaleta sense kuliko unavyotaka ku punic. Kwani wewe unajihami nini? Vifo vingapi vya watu duniani vinachunguzwagwa baada ya miaka mingi kupita? Tunapoulizana yahusuyo kifo cha sokoine wewe hutaki yaongelewe, kwa sababu gani?

Sasa nani anachafuliwa hapa na nani anamchafua? Nimekuambia nani alimuua sokoine ama umenisikia nimesema alikufa kifo cha namna gani?

Acha watu wajadiliane. Hakuna ubaya katika hilo. Lakini ukweli utasemwa siku zote kwamba Sokoine hakupimwa morogoro hospital kujua kama alifika pale ameshakufa ama alikuwa hai!.

Hili ninalijua. Maswali mengine bwana. Unataka nisemeje? Wenye ufahamu wameshaelewa. Unajuaje kama sikuwepo Morogoro wakati Dr. Materu anaambiwa hana sababu ya kupima?

Jifunze kuwa msikivu kuliko kubisha masual usiyoyajua!.

R . I .P chacha wangwe
 
Back
Top Bottom