Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Mrungi ihalalishwe jamani haina shida na watu ile mimea.mirungi mirungi mirungi
 
Kwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua
....tuliowaiga kuiharamisha bangi kwa kutumia sbb zao, wameanza kuihalalisha.....alichoshauri ni pamoja na kufanya tafiti za kuangalia madhara ya viloba ukilinganisha na bangi na sbb za kuhalalisha viroba
 
Katika kile kinachoonekana kukurupuka na kutojielewa leo mbunge musukuma kasheku ameomba serikali ihalalishe matumizi ya bangi ili iweze kuongeza pato la serikali. Hii inaonesha ni aina gani ya wabunge tulionao katika awamu hii. Naomba serikali ipige marufuku wabunge wa namna hii.
Dah,hapa hakuna mbunge ni mauzauza
 
Kwa nchi za wenzetu elimu NI kitu kikubwa unapoomba uongozi

Lakini kwetu ni tofauti sana kwetu umashuhuuuri NA utajiri Ndio kigezo cha uongozi
 
TCC na TBL wanafahamu madhara ya sigara na pombe lakini bado wanatengeza na kutuuzia tena kwa bei ghali ; isitoshe kuna maneno yenye onyo kama vile 'Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na mengine Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako' respectively kwa nini bhangi ndo izuiliwe?
Mbona mataifa makubwa yameruhusu bangi kwani wao hafahamu madhara yake?
Bunge lialalishe bangi na watu tuvute kwa raha tena bila kujificha!!
Hata kama wengine wamehalalisha haina maana kwetu inatufaa. Kuna waliohalalisha prostitution leo wanajuta, wengine walihalalisha silaha sasa uamuzi unawatokea puani. We have to do what is right for Tanzania ya sasa na hata miaka 100 ijayo.
 
Mbunge yupo sahihi. Labda tueleweshwe madhara ya bangi vs sigara. Sigara inayoua watu kila siku mmeikalia kimya tu. Naunga mkono hoja...ihalalishwe
Reduced resistance to common illnesses (colds, bronchitis, etc.)
Suppression of the immune system
Growth disorders
Increase of abnormally structured cells in the body
Reduction of male sex hormones
Rapid destruction of lung fibers and lesions (injuries) to the brain could be permanent
Reduced sexual capacity
Study difficulties: reduced ability to learn and retain information
Apathy, drowsiness, lack of motivation
Personality and mood changes
Inability to understand things clearly
 
Reduced resistance to common illnesses (colds, bronchitis, etc.)
Suppression of the immune system
Growth disorders
Increase of abnormally structured cells in the body
Reduction of male sex hormones
Rapid destruction of lung fibers and lesions (injuries) to the brain could be permanent
Reduced sexual capacity
Study difficulties: reduced ability to learn and retain information
Apathy, drowsiness, lack of motivation
Personality and mood changes
Inability to understand things clearly
It may be true. weka za sigara sasa
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.

Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.
Awatafutie wakulima matrekta na kuwahamasisha walime kilimo cha akili. Hii nchi ovyo kabisa! Pata picha wakulima na wafugaji watakavyopigana wakisha vuta.
 
Mkuu na mimi nina elimu ya hapa na pale
Hebu kwa faida ya wenzangu kama Msukuma naomba unitajie madhara ya bangi ??
Bangi ni neno ambalo hutumika kuelelezea sehemu iliyokaushwa ya maua, mbegu, mche na majani ya mmea ujulikanao kama Indian hemp. Uko mitaani bangi ina majina mengi na watumiaji wake wameipa majina kama: dope, nyasi, majani, mche, ganja, magugu, kitu, sigara kali, blanti na mboga.


Kwa kitaalam “cannabis” huelezea aina mbali mbali za dawa za kulevya zitokanazo na mmea wa
Indian hemp ambazo ni bangi (marijuana) nahashish.


Aina hizi za dawa zitokanazo na mmea huu ziko katika kundi la dawa za kulevya ziletazo maruweruwe
(hallucinogen) au dawa zinazoathiri ubongo na kubadili jinsi tunavyotazama mambo katika uhalisia wake.Kuna zaidi ya aina 400 za kemikali katika mmea huu na kemikali ya kulaumiwa inayohusika na mabadiliko haya katika ubongo hujulikana kamatetrahydrocannabinol (THC). Kiasi cha THC hutofautiana kulingana na eneo ulikolimwa mmea wa Indian hemp.


Kama tulivyoona bangi ni sehemu iliyokaushwa ya majani, mbegu,maua, na mche na huwa na rangi ya kijani,kijivu au brauni na bangi ni dawa ya kulevya ambayo hutumika kinyume cha sheria katika sehemu nyingi duniani.


Bangi hutumika kwa kuvuta moshi kutoka katika msokoto, sigara iliyoungwa au bomba maalum ya kuvutia moshi wake. Ni mara chache huchanganywa katika chakula, kuliwa kama mboga au kutengeneza kinywaji. Wakati mwingine watumiaji hupukutisha sigara na kujaza bomba la sigara bangi au bangi iliyochanganywa na dawa nyingine za kulevya kama cocaine na aina hii hujulikana na watumiaji kama “blunt”


Mtumiaji anapovuta msokoto wa bangi, huanza kufanya kazi baada ya dakika chache na mvutaji huanza kuhisi mapigo ya moyo yakienda mbio, mapokeo ya uhalisia huanza kubadilika na kuona vitu visivyo katika uhalisia (ndoto za mchana/maruweruwe).Matokeo haya ya muda mfupi baada kuvuta moshi wa bangi, huweza kudumu kwa muda wa saa mbili hadi nne au kuendelea kwa muda mrefu zaidi ikitegemea na kiasi cha THC kilichovutwa na ukali wake.


Mara nyingi wavutaji wa bangi huvuta moshi kwa nguvu ndani ya mapafu na kuushikilia kwa muda mrefu ili kuongeza ufanyaji kazi wa THC ukilinganisha na anayevuta sigara na hii husababisha madhara makubwa katika mapafu ya mvutaji. Mbali na maudhi kama kukohoa na koo kuwasha, imeonekana kuwa uvutaji wa aina hii wa moshi unamweka mvutaji katika hatari mara tano zaidi ya kupata saratani ukilinganisha na mvutaji sigara.


Matatizo ya ubongo yanayopelekea kuathiri afya ya akili ni ugonjwa mbaya uwapatao wavutaji wa bangi. Anayevuta bangi huwa na uwezo mdogo wa kumbukumbu na pia humuondolea uwezo wa asili wa kufanya maamuzi yaliyo sahihi ukilinganisha na mtu asiyevuta bangi.




1454389362675.jpg
 
Rastafarian hapa watajaa sana na watumiaji wengine wa mmea huo. Ni ujinga kuamini kuwa bhangi ndo inakufanya uwaze na ni hatari kuendeshwa na akili inayotumia bhangi kufikiri. Ni kweli wengine inawapa ukasiri wa uongo and they do stupid things kwa kusukumw na bhang na wengine inawapa ujasiri fake wa kufanya mambo kadhaa wa kadhaa. Kama una ujasiri hebu kuwa nao wa asili na usiwe fake wa pombe,bhang na madawa ya kulevya. Ambaye haoni madhara ya bhangi aende Jamaica aone Taifa lilivyochoka kwa sabab ya matumiz ya bhangi.
 
Back
Top Bottom