Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,867
Haha umenitajia Glaucoma nikakumbuka Movie ya due date ,Anyway sasa hizo side effects za bangi linganisha na side effects za quinine, sigara,Cocacola, nk ipi ina afadhali ??Bhang/Ganja/Marijuana:
Biological source;Cannabis sativa plant
Active ingredient; Tetrahydrocannabinol which has a psychoactive effect.
Medicinal effects;
-for recreation (relaxation)
-causes increased appetite
-antiemetic
-anti epileptic effect
-antispasmodic
-anti asthmatic
-treatment of glaucoma
Side effects;
-Heavy and prolonged uses increase the risk of psychotic disorders
-anxiety
-dry mouth
-red eyes
-impared motor skills
-decreased short term memory.
Spread the knowledge manBangi haramu lakini pombe na sigara halal...babylon system
Mkuu kwenye psychiatric units,psychiatric cases nyingi hiyo "substance" pia inahusika.Haha umenitajia Glaucoma nikakumbuka Movie ya due date ,Anyway sasa hizo side effects za bangi linganisha na side effects za quinine, sigara,Cocacola, nk ipi ina afadhali ??
Mkuu sasa hapa ni kama umezidisha au inakuaje mkuu ??Mkuu kwenye psychiatric units,psychiatric cases nyingi hiyo "substance" pia inahusika.
You sound like zero brain if you can not do just a personal research. Kazi ipo mtu kama wewe ujitambue sijui lini,actually we got long way to goKwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua
Polisi walikuwa mbali? Walitakiwa kumsachi mara mojaKatika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.
Bora walipe kodi ili uchumi ukue
mzee wa chopa katika ubora wake!!Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.
Mkuu mimi nilishuhudia kijana wa jirani yanguMkuu na mimi nina elimu ya hapa na pale
Hebu kwa faida ya wenzangu kama Msukuma naomba unitajie madhara ya bangi ??
Ni akina nani kweli walioiunga mkono hiyo hoja ya Msukuma? Nasikia walikuwa wengi lakini TBC haikuwarusha live!Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.