Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Rastafarian hapa watajaa sana na watumiaji wengine wa mmea huo. Ni ujinga kuamini kuwa bhangi ndo inakufanya uwaze na ni hatari kuendeshwa na akili inayotumia bhangi kufikiri. Ni kweli wengine inawapa ukasiri wa uongo and they do stupid things kwa kusukumw na bhang na wengine inawapa ujasiri fake wa kufanya mambo kadhaa wa kadhaa. Kama una ujasiri hebu kuwa nao wa asili na usiwe fake wa pombe,bhang na madawa ya kulevya. Ambaye haoni madhara ya bhangi aende Jamaica aone Taifa lilivyochoka kwa sabab ya matumiz ya bhangi.
 
Bangi ni neno ambalo hutumika kuelelezea sehemu iliyokaushwa ya maua, mbegu, mche na majani ya mmea ujulikanao kama Indian hemp. Uko mitaani bangi ina majina mengi na watumiaji wake wameipa majina kama: dope, nyasi, majani, mche, ganja, magugu, kitu, sigara kali, blanti na mboga.


Kwa kitaalam “cannabis” huelezea aina mbali mbali za dawa za kulevya zitokanazo na mmea wa
Indian hemp ambazo ni bangi (marijuana) nahashish.


Aina hizi za dawa zitokanazo na mmea huu ziko katika kundi la dawa za kulevya ziletazo maruweruwe
(hallucinogen) au dawa zinazoathiri ubongo na kubadili jinsi tunavyotazama mambo katika uhalisia wake.Kuna zaidi ya aina 400 za kemikali katika mmea huu na kemikali ya kulaumiwa inayohusika na mabadiliko haya katika ubongo hujulikana kamatetrahydrocannabinol (THC). Kiasi cha THC hutofautiana kulingana na eneo ulikolimwa mmea wa Indian hemp.


Kama tulivyoona bangi ni sehemu iliyokaushwa ya majani, mbegu,maua, na mche na huwa na rangi ya kijani,kijivu au brauni na bangi ni dawa ya kulevya ambayo hutumika kinyume cha sheria katika sehemu nyingi duniani.


Bangi hutumika kwa kuvuta moshi kutoka katika msokoto, sigara iliyoungwa au bomba maalum ya kuvutia moshi wake. Ni mara chache huchanganywa katika chakula, kuliwa kama mboga au kutengeneza kinywaji. Wakati mwingine watumiaji hupukutisha sigara na kujaza bomba la sigara bangi au bangi iliyochanganywa na dawa nyingine za kulevya kama cocaine na aina hii hujulikana na watumiaji kama “blunt”


Mtumiaji anapovuta msokoto wa bangi, huanza kufanya kazi baada ya dakika chache na mvutaji huanza kuhisi mapigo ya moyo yakienda mbio, mapokeo ya uhalisia huanza kubadilika na kuona vitu visivyo katika uhalisia (ndoto za mchana/maruweruwe).Matokeo haya ya muda mfupi baada kuvuta moshi wa bangi, huweza kudumu kwa muda wa saa mbili hadi nne au kuendelea kwa muda mrefu zaidi ikitegemea na kiasi cha THC kilichovutwa na ukali wake.


Mara nyingi wavutaji wa bangi huvuta moshi kwa nguvu ndani ya mapafu na kuushikilia kwa muda mrefu ili kuongeza ufanyaji kazi wa THC ukilinganisha na anayevuta sigara na hii husababisha madhara makubwa katika mapafu ya mvutaji. Mbali na maudhi kama kukohoa na koo kuwasha, imeonekana kuwa uvutaji wa aina hii wa moshi unamweka mvutaji katika hatari mara tano zaidi ya kupata saratani ukilinganisha na mvutaji sigara.


Matatizo ya ubongo yanayopelekea kuathiri afya ya akili ni ugonjwa mbaya uwapatao wavutaji wa bangi. Anayevuta bangi huwa na uwezo mdogo wa kumbukumbu na pia humuondolea uwezo wa asili wa kufanya maamuzi yaliyo sahihi ukilinganisha na mtu asiyevuta bangi.




View attachment 320740
Sikua na umuhimu wa ku qoute bandiko lote hili kwa maneno mawili ya shukrani lakini imenibidi ,hizi tafiti za bangi zipo nyingi na kwa kifupi zinachanganya ila katikati ya hizo tafiti kuna ukweli upo mahali ,nashukuru nitachukua baadhi ninayoona yanafaa kwenye tafiti hizi halafu nitachanganya na experience zangu kufikia kwenye conclusion
 
Rastafarian hapa watajaa sana na watumiaji wengine wa mmea huo. Ni ujinga kuamini kuwa bhangi ndo inakufanya uwaze na ni hatari kuendeshwa na akili inayotumia bhangi kufikiri. Ni kweli wengine inawapa ukasiri wa uongo and they do stupid things kwa kusukumw na bhang na wengine inawapa ujasiri fake wa kufanya mambo kadhaa wa kadhaa. Kama una ujasiri hebu kuwa nao wa asili na usiwe fake wa pombe,bhang na madawa ya kulevya. Ambaye haoni madhara ya bhangi aende Jamaica aone Taifa lilivyochoka kwa sabab ya matumiz ya bhangi. Mwngne haon madhara ya bhang. Yeaah ataonaje wakat ameshaharibika. Hakuna mtumiaji cocaine,heroin ,mandrax n.k anayeona madhara. Hata mtumiaji sigara,pombe na mchawi hawaoni madhara. Tayar wameshakuwa addicted. I hve lost friends coz ya mabhangi yenu hayo sasa wamekuwa mateja wanabembea tu wakat wote
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.

Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.

Kasheku Msukuma hiyo ndio sample ya "quality" ya wabunge wa ccm; God save our country.
 
Ibada umestisha kwa muda?Ni wewe au Ma hackers

Sitositisha ibada abadan.

Bangi ni mmea wenye faida nyingi sana kiafya na kijamii. Ni hasara kubwa kuupiga marufuku. Ukisoma historia ya bangi utaona kuwa ilipigwa marufuku kutokana na shinikizo la wachache waliotaka wawe na monopoly ya zao hilo. Na sisi tukarithi sheria ya Waingereza blindly.

Mirungi ukilinganisha na sigara utaona kuwa mirungi ina afadhali mara millioni kuliko sigara.
 
Bangi nibangue!!!!
Hongera samana msukuma kwa kuwa na upeo wa kuona size ya andunje!!!!!
Hongera kwa kufikiria bangi ikiruhusiwa kulimwa litakua zao la biashara bila kuainisha masoko yako wapi au tutegemee soko la ndani ambapo kila sehemu italimwa!!!!
Hongera sana kwa kutukumbuka walima bhangi tunaolima kwa siri na kuwasahau wakulima wa mchungwa wa tanga na mahindi yanayoharibika kwa kukosa soko naamini ipo siku utawakumbuka na wauza gongo maana nao watasaidia kukuza pato la taifa!!!!
Kipindi unatoa maneno machafu jukwaani bila kutumia tafsida nilikua najiuliza maswali mengi sana nimegundua halikua kosa lako unaongozwa na hii kitu!!!!! Hongera sana mheshimiwa kwa kuwa mdau wa hii kitu karibu nyonga tuwashe camp upate cha tarime!!!!!
 
Nilipata kusikia majani ya bangi ni mboga kwa maeneo mengine ya nchi yetu.Lakini kwa hili hapa Tz litakuwa gumu kutekelezeka maana hata pombe kali aina ya gongo bado mwafaka wake bado tunaita pombe haramu
 
Hizo bangi aliyeziharamisha ni binadamu kama Msukuma tu so kama Msukuma ana hoja za msingi zinazoweza kukubalika na wengi then why isihalalishwe?
 
Sitositisha ibada abadan.

Bangi ni mmea wenye faida nyingi sana kiafya na kijamii. Ni hasara kubwa kuupiga marufuku. Ukisoma historia ya bangi utaona kuwa ilipigwa marufuku kutokana na shinikizo la wachache waliotaka wawe na monopoly ya zao hilo. Na sisi tukarithi sheria ya Waingereza blindly.

Mirungi ukilinganisha na sigara utaona kuwa mirungi ina afadhali mara millioni kuliko sigara.
Lakini mirungi nasikia inauwa ile kitu yenu pwendwa kina mama Eeh.. Huoni ni hatari zaidi?
 
Sitositisha ibada abadan.

Bangi ni mmea wenye faida nyingi sana kiafya na kijamii. Ni hasara kubwa kuupiga marufuku. Ukisoma historia ya bangi utaona kuwa ilipigwa marufuku kutokana na shinikizo la wachache waliotaka wawe na monopoly ya zao hilo. Na sisi tukarithi sheria ya Waingereza blindly.

Mirungi ukilinganisha na sigara utaona kuwa mirungi ina afadhali mara millioni kuliko sigara.
Mmea muhimu sana :- 23 Health Benefits Of Marijuana
 
Sitositisha ibada abadan.

Bangi ni mmea wenye faida nyingi sana kiafya na kijamii. Ni hasara kubwa kuupiga marufuku. Ukisoma historia ya bangi utaona kuwa ilipigwa marufuku kutokana na shinikizo la wachache waliotaka wawe na monopoly ya zao hilo. Na sisi tukarithi sheria ya Waingereza blindly.

Mirungi ukilinganisha na sigara utaona kuwa mirungi ina afadhali mara millioni kuliko sigara.
 
labda anatumia ndio maana anaitetea, bangi ni mbaya sana, haifai
 
Back
Top Bottom