NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
mmmmh,asara tupu...........
Kwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua
Kuna nchi wameruhusu biashara ya ngono na ushoga na sisi tuige???Tembea kidogo japo Ethiopia tuu... utabaki mdomo wazi. huwezi amini kuna baadhi ya majimbo serikali imeruhusu watu kuvuta bangi bila bugudha yoyote
labda anatumia ndio maana anaitetea, bangi ni mbaya sana, haifai
Hali isiyo ya kawaida kivipi?Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.
Elimu duni kivipi jamaa?Kwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua
Umewahi kutumia? Ili kufanya nini? Au una sikia tu Maneno ya watu?labda anatumia ndio maana anaitetea, bangi ni mbaya sana, haifai
We bibie naonaga wanakusema sema.. Kumbe wanakuonea tuSitositisha ibada abadan.
Bangi ni mmea wenye faida nyingi sana kiafya na kijamii. Ni hasara kubwa kuupiga marufuku. Ukisoma historia ya bangi utaona kuwa ilipigwa marufuku kutokana na shinikizo la wachache waliotaka wawe na monopoly ya zao hilo. Na sisi tukarithi sheria ya Waingereza blindly.
Mirungi ukilinganisha na sigara utaona kuwa mirungi ina afadhali mara millioni kuliko sigara.
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.
Kipi kina kushangaza?Inashangaza....
Hao watakuwa wamechanganya na madawa mengine ya kulevya. Pia bangi inahitaji usiwe na stress...ule vizuri, chakula kisiwe cha mawazo.
Usiniulize nimejuaje....